Lissu anakuwa na nguvu pale panapokuwa na Siasa za mapambano (confrontational politics), zilikuwepo enzi ya Magufuli, Sasa hazipo, kapoteza relevancy

Lissu ni mwanasiasa anaye shine/anayeng'aa pale panapokuwa na Siasa za mapambano, Siasa hizo zilikuwepo enzi ya jiwe, yule Mzee wa Chato.

Kwa Sasa ni SSH, hana Siasa hizo za piga nikupige. Ndio maana baada ya ujio wa Lissu, ndani ya muda mfupi "amechuja" na umaarufu wake umechuja kwa asilimia 80.

Aina hii ya Siasa aliwahi kuijadili Mbowe akiwa nje ya nchi, Mbowe alisema anawafahamu watanzania kwa muda mrefu, kwamba Siasa zao ni tofauti na Siasa za Kenya, Kenya Wana Siasa za mapambano, kuandamana, mikutano, hawaogopi. Nadhani Lissu anahitaji kuisoma upya jamii ya watanzania na kucheza ndani ya engo ya saikolojia ya watanzania.

Mbowe alikamatwa ndani ya vuguvugu la katiba mpya, hakuna Cha Mnyika, Heche, Wala nani aliyeandamana. Watu wako bize na mambo yao.

Mbowe alikuwa sahihi alipofanya mabadiliko ya mbinu kwa kuingia katika mjadala na Serikali.

Na ndio watanzania tulivyo, tangu ukoloni, Nyerere alitusoma akajua hawa ni watu wa kwenda nao taratibu, na ni wazi aliona hakuna wa kuandamana Wala kuingia katika vita kupigania Uhuru, kama ilivyokuwa kwa MAU MAU Kenya, Nyerere Kaa mezani, Uhuru ukaja.

Pia Lissu kama kiongozi awe anaangalia muda gani anaongea angalau watu wammisi, watu wamemsikiliza Twitter mpaka wakachoka, kiongozi angalia timing ya kuongea, kaa kimya, ulisema unaongea watu wanashtuka, au kuwa na hamu. Sasa akina maria sarungi wakishavuta Hela za mabeberu, kujustify retirement, wanakimbia kwa Lissu, Lissu anaongea masaa kadhaa, anachuja.

Nadhani Kila nchi Ina set up ya kisaikolojia ambayo wanasiasa wanatakiwa kuisoma na kuifanyia uchambuzi, na pengine hata Kila Jimbo, Tarime na Mkunazini Zanzibar haziwezi kuwa sawa.

Wasalaam.
Watu kama nyie msiopenda mabadiliko mnakuwa kama sanamu za kumimina nawinashangaza utakuta ni vijana wadogo. Mkizeeka itakuwaje?
 
Labda kapoteza relevance kwa mama yako baada ya kuishi makuu kwa muda mrefu sana!
TL ni mwanasiasa tactical na wa all seasons, sasa wewe ukimuangalia kwa makengeza kupitia macho ya mama yako aliyeachwa huwezi kumuelewa TL kwa IQ yako hiyo -0! Kumbafu!
 
Let Hilo boga tulitafune
 
Chawa ni chawa tu, cjui huwa mnawaza kutumia nn , enzi za shetwani makomeo kulikuwa na ushindani upi wa kisiasa ??? Hamchelewi kusema marehemu hasemwagi vibaya wkt ninyi ndo chanzo cha mzilankende kuchambwa hapa jukwaani... Kiukweli na sisi hatutaacha kumchamba huyo mtukufu wenu [emoji14][emoji14][emoji14]
Asante sana! Kitu cha ncha kali hichooo![emoji91]
 
Wewe ndio sanamu la barafu, jua likiwaka inayeyuka kama Lissu alivyoyeyuka
Mpende mabadiliko vijana la sivyo mtakuwa vikongwe kabla ya wakati wenu. Kijana wa 1990s unashabikia CCM ya kina Mzee Kingunge?!
 
Mkapa aliwaambia mkitaka mabadiliko badilisheni jinsia muolewe…upo tayari kijana Fazili?
 
Kwa hali ilivyo saaa ajenda ni nyingi mno zinazogusa wananchi. Gharama za chakula, kutokuwa na uhakika wa umeme, kudumaa kwa huduma za afya, ubadhirifu kurudi kwa kasi kila siku unaripotiwa.

Kilichotokea ni asali aliyolambishwa mwenyekiti ili kuuza ajenda zote kwa ccm. Matokeo yake wamelainika hawana hata cha kuongea majukwaani.
 
Ongezea Mv Magogoni
 
Lissu ni mwanasiasa anaye shine/anayeng'aa pale panapokuwa na Siasa za mapambano, Siasa hizo zilikuwepo enzi ya jiwe, yule Mzee wa Chato.

Kwa Sasa ni SSH, hana Siasa hizo za piga nikupige. Ndio maana baada ya ujio wa Lissu, ndani ya muda mfupi "amechuja" na umaarufu wake umechuja kwa asilimia 80.

Aina hii ya Siasa aliwahi kuijadili Mbowe akiwa nje ya nchi, Mbowe alisema anawafahamu watanzania kwa muda mrefu, kwamba Siasa zao ni tofauti na Siasa za Kenya, Kenya Wana Siasa za mapambano, kuandamana, mikutano, hawaogopi. Nadhani Lissu anahitaji kuisoma upya jamii ya watanzania na kucheza ndani ya engo ya saikolojia ya watanzania.

Mbowe alikamatwa ndani ya vuguvugu la katiba mpya, hakuna Cha Mnyika, Heche, Wala nani aliyeandamana. Watu wako bize na mambo yao.

Mbowe alikuwa sahihi alipofanya mabadiliko ya mbinu kwa kuingia katika mjadala na Serikali.

Na ndio watanzania tulivyo, tangu ukoloni, Nyerere alitusoma akajua hawa ni watu wa kwenda nao taratibu, na ni wazi aliona hakuna wa kuandamana Wala kuingia katika vita kupigania Uhuru, kama ilivyokuwa kwa MAU MAU Kenya, Nyerere Kaa mezani, Uhuru ukaja.

Pia Lissu kama kiongozi awe anaangalia muda gani anaongea angalau watu wammisi, watu wamemsikiliza Twitter mpaka wakachoka, kiongozi angalia timing ya kuongea, kaa kimya, ulisema unaongea watu wanashtuka, au kuwa na hamu. Sasa akina maria sarungi wakishavuta Hela za mabeberu, kujustify retirement, wanakimbia kwa Lissu, Lissu anaongea masaa kadhaa, anachuja.

Nadhani Kila nchi Ina set up ya kisaikolojia ambayo wanasiasa wanatakiwa kuisoma na kuifanyia uchambuzi, na pengine hata Kila Jimbo, Tarime na Mkunazini Zanzibar haziwezi kuwa sawa.

Wasalaam.
Chiembe umepatwa na nini tena? Kuna wakati ulikuwa unaonekana akili zimeanza kurudi, lakini sasa naona unarudi kule kule ulikokuwa zamani.
 
Ni ukweli usio kuwa na shaka kuwa Mama Samia amezibadili siasa za nchi hii…na kwa sasa wapinzani wanacheza mziki anaoupiga mama…!
 
True naunga mkono hoja. Nimemsikia TL alipohojiwa ITV akasema atagombea urais 2025, nikashauri kwa vile mgombea urais wa CCM kwa mwaka 2025 ni Mwanamke, Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! nimemshauri Lissu asigombee urais, akalitetee jimbo lake!. Kugombea 2025 na kushindwa na Mwanamke itakuwa aibu!.
P
Acha kabisaaa.!! Ash kwenye tray harufu ya ua Rose kwenye Migiro sema ndo ivo Mti hukua kwa kulalia kwenye matawi yenye uzito.....!!!
 
Hakuna Cha mpunga walikuja Kwa mihemko wakategemea Rais ataleta siasa za uhasama akawapuuza wamepoteana
Ndo maana Mbowe hajampokea Wala kumsindikiza daaaah ila wanatukatisha tamaa wanasiasa wetu, tulitegemea aseme taifa kwanza famila ndugu na jamaa baadae lakini kwake ni familia kwanza ndugu na jamaa na baadae taifa lenye wananchi Milioni stini karibia na Kenda (Prof. Kabudi voice) Hadi sasa
 
Back
Top Bottom