Lissu anaogopa kunyongwa ndio maana anajitetea siku tatu mfululizo

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,598
Reaction score
9,539
Jamani heshimuni sheria, tuache ulopokaji. Kilicho mpoza ni ulopokaji bila kujali madhara na matokeo ya maneno yake..

Naamini hadi na kwa jinsi alivyo henya atakuwa amejifunza na hadi sasa anajutia matendo na maneno yake.
Ila sikuzote lazima tufahamu kuwa "sheria ni msumeno" unakata mbele na nyuma.
 
hata akipewa siku 90,
ni lazima sheria na katiba ya nchi kuheshimiwa na kwakweli hatua zichukuliwe bila huruma, aibu wala haya, kwa wote wanaozikiuka 🐒
 
Baba yako haogopi kunyongwa?
Je baba yako ana madini ya kichwani kujitetea siku tatu mfululizo?
Au baba yako ni zezeta tu kama makada wengine wa mbogamboga?
 
Kwenye ukoo wake walipata mtu "atakayenyongwa" vipi kuna uwezekano wa kumpata mwingine wa "kunyongwa" kwenye ukoo wake? Kabila je?
 
Kwenye ukoo wake walipata mtu "atakayenyongwa" vipi kuna uwezekano wa kumpata mwingine wa "kunyongwa" kwenye ukoo wake? Kabila je? Maana wale jamaa huwa kama ndio kazi yao kutokuelewa
 
Kwenye ukoo wake walipata mtu "atakayenyongwa" vipi kuna uwezekano wa kumpata mwingine wa "kunyongwa" kwenye ukoo wake? Kabila je? Labda mkoa
 
hata akipewa siku 90,
ni lazima sheria na katiba ya nchi kuheshimiwa na kwakweli hatua zichukuliwe bila huruma, aibu wala haya, kwa wote wanaozikiuka 🐒
Hawawezi kumnyonga
 
Kuna binadamu asiyeogopa kufa?
 
Na samia amemuogopa Lissu kwenda kutoa ushahidi mahakamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…