peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
CCM ni wajinga wa mwisho! UsimshangaeMleta uzi badala ya kujikita kupata elimu,yeye huwa anakuwa na chuki zake kwenye pochi.
CCM ni wajinga wa mwisho! UsimshangaeMleta uzi badala ya kujikita kupata elimu,yeye huwa anakuwa na chuki zake kwenye pochi.
Kwani kesi iliendeshwa kwa siku ngapi?Jamani heshimuni sheria, tuache ulopokaji. Kilicho mpoza ni ulopokaji bila kujali madhara na matokeo ya maneno yake..
Naamini hadi na kwa jinsi alivyo henya atakuwa amejifunza na hadi sasa anajutia matendo na maneno yake.
Ila sikuzote lazima tufahamu kuwa "sheria ni msumeno" unakata mbele na nyuma.
sheria ni muhimu sana inatekelezwa kama ilivyo nadhani itapendeza zaidi 🐒Hawawezi kumnyonga
Anaogopa vipi mtu amepigwa risasi zaidi ya 20 na katoboa..huyo sio mwenzio..Jamani heshimuni sheria, tuache ulopokaji. Kilicho mpoza ni ulopokaji bila kujali madhara na matokeo ya maneno yake..
Naamini hadi na kwa jinsi alivyo henya atakuwa amejifunza na hadi sasa anajutia matendo na maneno yake.
Ila sikuzote lazima tufahamu kuwa "sheria ni msumeno" unakata mbele na nyuma.
Wewe Kwa upumbavu wako,unaona point wengine tunampata darasa Tena Bure pole Yako!Jamani heshimuni sheria, tuache ulopokaji. Kilicho mpoza ni ulopokaji bila kujali madhara na matokeo ya maneno yake..
Naamini hadi na kwa jinsi alivyo henya atakuwa amejifunza na hadi sasa anajutia matendo na maneno yake.
Ila sikuzote lazima tufahamu kuwa "sheria ni msumeno" unakata mbele na nyuma.
Ukisikia watu wachochezi wanaoligawa Taifa kizembe,Wewe ni mmoja wapo!hata akipewa siku 90,
ni lazima sheria na katiba ya nchi kuheshimiwa na kwakweli hatua zichukuliwe bila huruma, aibu wala haya, kwa wote wanaozikiuka 🐒
Watu hawana akili hawajifunzi, kwanza hawashangai mtu kujitetea mwenyewe lile ni somo tosha.Mleta uzi badala ya kujikita kupata elimu,yeye huwa anakuwa na chuki zake kwenye pochi.
We mpuuzi tu na manipulatorsheria ni muhimu sana inatekelezwa kama ilivyo nadhani itapendeza zaidi 🐒
ngoja kwanza awafundhishe sheria hao majaji wa CCM wanafikiri kila mtu ni wa kumpikia kezi za uwongo!Jamani heshimuni sheria, tuache ulopokaji. Kilicho mpoza ni ulopokaji bila kujali madhara na matokeo ya maneno yake..
Naamini hadi na kwa jinsi alivyo henya atakuwa amejifunza na hadi sasa anajutia matendo na maneno yake.
Ila sikuzote lazima tufahamu kuwa "sheria ni msumeno" unakata mbele na nyuma.
Hata Nyerere hakuwai kunyonga mtuuJamani heshimuni sheria, tuache ulopokaji. Kilicho mpoza ni ulopokaji bila kujali madhara na matokeo ya maneno yake..
Naamini hadi na kwa jinsi alivyo henya atakuwa amejifunza na hadi sasa anajutia matendo na maneno yake.
Ila sikuzote lazima tufahamu kuwa "sheria ni msumeno" unakata mbele na nyuma.
Wakati Lowasa anagombea uraisi mwaka 2015. Kuna watu walikuwa wanapiga push ups majukwaani kwamba wao ni miamba wako na afya nzuri kuliko yeye na kumbeza kwamba mgonjwa hatotoboa ila waliokuwa wanambeza walitangulia wao kwanza. Maisha ni fumbo!Usishangae unakufa kabla yake. Hata usiku huu unaweza usiamke asubuhi. Usichukue nafasi ya Mungu dhidi ya wanadami wenzako
tuliza mihemko useless jukwaani, na usihamishe mjadala kwa porojo tafadhali gentleman na itapendeza zaidi 🐒We mpuuzi tu na manipulator
Nenda kamtafute nchimbi huko
Kufa ni kwa kila mtu,Jamani heshimuni sheria, tuache ulopokaji. Kilicho mpoza ni ulopokaji bila kujali madhara na matokeo ya maneno yake..
Naamini hadi na kwa jinsi alivyo henya atakuwa amejifunza na hadi sasa anajutia matendo na maneno yake.
Ila sikuzote lazima tufahamu kuwa "sheria ni msumeno" unakata mbele na nyuma.
Kila mwenye akili anajua hakuna kesi pale,hata kina Mobutu na madikteta wengine kama Samuya walikuwa wanafunga wapinzani kwa kesi kama hizi, mwisho wa upumbavu kama huu ni fedheha tuu na aibuJamani heshimuni sheria, tuache ulopokaji. Kilicho mpoza ni ulopokaji bila kujali madhara na matokeo ya maneno yake..
Naamini hadi na kwa jinsi alivyo henya atakuwa amejifunza na hadi sasa anajutia matendo na maneno yake.
Ila sikuzote lazima tufahamu kuwa "sheria ni msumeno" unakata mbele na nyuma.
Unapata nguvu kumjibu huyu nyumbuBaba yako haogopi kunyongwa?
Je baba yako ana madini ya kichwani kujitetea siku tatu mfululizo?
Au baba yako ni zezeta tu kama makada wengine wa mbogamboga?