- Thread starter
- #81
Eti anajifanya mandela wa Tanzania.Mandela feki huyo! Mandela wa kweli hakuwa mwoga alikaa miaka 27 gerezani huyo kibaraka mwaka na nusu anavyolia sasa, amechanganyikiwa faraja yake ni kuona hao nyumbu wake. Hizo porojo zote ni kutoa stress hakuna point anajaza tu makaratasi.
Kwanza Mandela mwenyewe hakuwa mlopokaji, alikuwa ni mtu mwenye hekima na busara.
Ni dhambi isiyo sameheka Kumlinganisha Tata Mandela na huyo kibaraka mchafuzi.