Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
K
Kifo sio mchezo tena cha kupigwa kwambaJamani heshimuni sheria, tuache ulopokaji. Kilicho mpoza ni ulopokaji bila kujali madhara na matokeo ya maneno yake..
Naamini hadi na kwa jinsi alivyo henya atakuwa amejifunza na hadi sasa anajutia matendo na maneno yake.
Ila sikuzote lazima tufahamu kuwa "sheria ni msumeno" unakata mbele na nyuma.