Ipo hivi kutakuwa na serikali kuu,serikali ya mkoa na serikali ya jimbo na serikali ya vijiji. Rasilimali ya mkoa mfano kama Arusha utalii na madini hivi chini ya serikali ya mkoa, kodi serikali ya jimbo, usimamizi wa maendeleo serikali za vijiji.Chukulia Singida tegemeo lake kuu la uchuimi ni kuuza vidumu vya mafuta ya alizeti.
Uchoyo utatoka wapi?Sera ya majimbo msingi wake ni ubinafsi, ukabila na roho ya uchoyo.
Ni sera ambayo imechukuliwa kutoka nje pasipo kuangalia msingi wa utaifa wetu.
Msingi wa utaifa wa Marekani ni tofauti na ule wa Russia ni tofauti na ule wa Zambia ni tofauti na ule ww Afrika ya Kusini.
Ni sera ambayo ukiitazama kwa juu juu unaweza kudanganyika.
Unajua gharama za kuendesha Wilaya?
- Mkuu wa wilaya
-Mbunge tena wilaya zingine wabunge ni wawili...
Kasome katiba ya Warioba utayakuta majimbo humo nayo tulichukua kutoka nje.Sera ya majimbo msingi wake ni ubinafsi, ukabila na roho ya uchoyo.
Ni sera ambayo imechukuliwa kutoka nje pasipo kuangalia msingi wa utaifa wetu...
Jiulize ni kwanini jimbo la Bwege na mengine ya upinzani yanaonekana “mzigo”, tafakari kwa undani usiitazame taswira ya juu juu ukajenga hoja potofu.Uchoyo utatoka wapi?
Mbona nyie kwa mfumo wa sasa ndo mnafanya uchoyo na ubaguzi? Kwa nini magufuli alisema hawezi kujenga stand jimboni kwa mbunge Bwege kwa sababu ni mpinzani?
Nijibu swali langu usilete tantalilaJiulize ni kwanini jimbo la Bwege na mengine ya upinzani yanaonekana “mzigo”, tafakari kwa undani usiitazame taswira ya juu juu ukajenga hoja potofu.
Sera ya majimbo inakwenda kujenga hulka ya watu kujitambulisha kwa maeneo wanayotoka, jambo ambalo ni bata sana linaloua moyo wa utaifa.
Mkuu Yehodaya, sera ya kunadi serikali za majimbo ni hatua ya awali kabisa ya kutaka kurudisha mamlaka ya kusimamia vyama na kwa ufanisi rasilimali na mapato kwa wanachi badala ya kuhodhiwa na viongozi wachache waliopo serikali kuu. Sera hii ina mfanano na ile ya Mwl. Nyerere ya madaraka mikoani, isipokuwa hii mipango yote ya mapato na matumizi itasimamiwa na bunge la jimbo husika...
Hivi mnadhani kwa kuwa chama tawala nyie mna hatimiliki ya akili za Watanzania?Sera ya majimbo msingi wake ni ubinafsi, ukabila na roho ya uchoyo.
Ni sera ambayo imechukuliwa kutoka nje pasipo kuangalia msingi wa utaifa wetu...
ya vidumu vya alizeti?
Chama changu CCM sa hivi hakina watu kabisa.
Concept ya majinbo ,ni kutolaliana kuwa mnachangia gharama za uendeshaji jimbo kwa mgawanyo sawa na hakuna eneo linamlalia mwenzie chake.Usilazimishe Kutokuelewa Kwa Maksudi, unazidi kuudhihirisha Ujuha Wako.
Je Unayajua Majimbo yatakavyokua na mikoa itakayoyaunda hayo majimbo?
Hiyo singida uisemayo itakua katika jimbo la kati litakalojumuisha mikoa ya MOROGORO, DODOMA SINGIDA NA TABORA. haya hapo umasikini unatokea wapi ikiwa kuna vyanzo vingi vya mapato katk mikoa hiyo.
Mnakera hata kama mnalipwa, wengi ni mambumbumbu.! Yaani Weupe vichwani.
Nijibu swali langu usilete tantalila