USA ilipigana civil war, ni nchi iliyojengwa kwa misingi ya ubaguzi wa rangi.
Huwezi ukayalinganisha majimbo yao na hizi ndoto za alinacha za Lissu.
Sioni umuhimu kwa Tanzania ya 2020 kuwa na serikali ya majimbo...mbona sasa hivi kuna mikoa na wilaya?
..Je, kuna mkoa au wilaya unanyanyapaa mkoa au wilaya nyingine?
..Kwa mfano, wilaya ya Kinondoni imewahi kunyanyapaa wilaya ya Ilala?
..Au mkoa wa Geita umewahi kunyanyapaa mkoa wa Shinyanga, au Simiyu?
..hata wakati wa mkoloni na mara baada ya uhuru majimbo hayakuwa na matatizo.
..wananchi waliweza kutoka jimbo moja kwenda lingine kutafuta fursa.
..pia wapo watumishi wa serikali walikuwa wakihamishwa toka jimbo moja kwenda lingine.
Tundu lissu tunampa nchi na mfumo wa majimbo atauanzisha, jiandae kutafuta nchi inayoendesha mfumo uliopo Uhamie huko
Haki inatendeka tangu tupate uhuru...jambo la msingi ni kuwepo kwa utawala unaotenda HAKI kwa watu wote.
..waliokuwa wakitetea UTUMWA ndiyo waliosababisha civil war ya Wamarekani.
Sioni umuhimu kwa Tanzania ya 2020 kuwa na serikali ya majimbo.
Upo udhaifu mwingi wa mfumo huu lakini bado hauhalalishi maamuzi ya nchi kugawa kwenye majimbo.
Usisahau kodi hawakusanyi, na atuambie deni la taifa tunagawana vipi kwenye majimbo?Lisu anaongelea tu majimbo kujiamulia mambo ila haelezi gharama za uendeshaji jimbo litatoa wapi.
Anaeleza kijanja janja huku akificha kuwa uendeshaji jimbo unatakiwa uendeshwe kwa pesa za ndani ya jimbo ikiwemo miradi ya maendeleo.
Chukulia Singida tegemeo lake kuu la uchumi ni kuuza vidumu vya mafuta ya alizeti. Hivyo vyaweza jenga barabara za lami? Kilomita moja tu ya lami inasoma Gharama ya bilioni moja. Hivyo vidumu vya alizeti vyaweza jenga barabara na kulipa mishahara ya wafayakazi wa jimbo?
Afafanue pia kuhusu gharama za kuendesha jimbo asilaghai tu ohh mujiamulie wenyewe.
Ukimsikiliza uaona kabisa mlaghai kwenye gharama za uendeshaji na za miradi ya maendeleo zitakako toka hagusi anahamia hoja nyingine mbio.
Huo uhalisia ni upi na nadharia ni ipi? Majibu yako kwa wapiga kura ndio waamuziMkuu nadharia na uhalisia ni vitu viwili tofauti.
We jamaa hivi una kura ya veto? Kwamba kura yako moja ni sawa na kura milioni 15 eeh? Huyo babu yenu mwambieni ajiandae kukabidhi nchi kwa lissu sawa?Mtampa nchi ya Facebook na twitter hii inayoitwa Tanzania inabidi msahau.
Usisahau kodi hawakusanyi, na atuambie deni la taifa tunagawana vipi kwenye majimbo?
Ukimaliza tatizo la kuhodhi utagundua kuwa umezalisha tatizo jingine jipya la matumizi ya rasilimali chache zilizopo...huo ni mtizamo wako na una kila haki ya kuutetea.
..sisi wengine msimamo wetu ni kuwepo kwa mfumo wa majimbo na tuna haki ya kutetea hoja hiyo.
..mfumo wa majimbo utakomesha utaratibu mbaya ulioko sasa hivi wa serikali kuu kuhodhi kila kitu.
Lissu akipata nusu ya kura alizopata Lowassa yatakuwa ni mafanikio makubwa kwake.We jamaa hivi una kura ya veto? Kwamba kura yako moja ni sawa na kura milioni 15 eeh? Huyo babu yenu mwambieni ajiandae kukabidhi nchi kwa lissu sawa?
Kama tunatumia style iliopo kwa nini unataka majimbo?..kwani sasa hivi tulivyo na mfumo wa mikoa deni la taifa tumeligawana vipi?
Ukimaliza tatizo la kuhodhi utagundua kuwa umezalisha tatizo jingine jipya la matumizi ya rasilimali chache zilizopo.
Majimbo ni muendelezo wa ubinafsi na choyo tu za baadhi ya watanzania.
hebu nitafutie katiba ya kenya tujifunze wao majimbo wanayaendeshaje,maana sijwasikia wanalalamikia serikali za majimbo kwamba zinawaletea umaskiniConcept ya majinbo ,ni kutolaliana kuwa mnachangia gharama za uendeshaji jimbo kwa mgawanyo sawa na hakuna eneo linamlalia mwenzie chake.
Jimbo hugawanywa kwa mikoa lakini kila mkoa chake chake sio kuwa singida ataponea pesa zitazoingizwa morogoro hata kama wako jimbo moja isipokuwa kwa ile miradi ya pamoja.
Ukiunda jimbo ni kuwa mfano umeunda jimbo lenye mikoa miwili wa singida na kilimanjaro usidhani hapo kuwa pesa za utalii za kilimanjaro zitaenda singida .Haiwezekani .kodi kila mkoa unakusanya zake asilimia fulani ndio wanapeleka mfuko wa jimbo hawapeleki zote kwa ajili ya kugharimia gharama za uendeshaji wa jimbo. Lakini hakuna mkoa ambao utabeba mkoa mwingine kwa pesa zake kila mmoja anajibeba mweyewe.
Kama tunatumia style iliopo kwa nini unataka majimbo?
Kwa hiyo Lisu kulazwa Kenya imekuwa nongwa hata katiba tunatakiwa ku copy na ku paste ya Kenya alikolazwa mheshimiwa mgombea Lisu!!!!! Na majimbo tu copy Kenya ha ha ha hahebu nitafutie katiba ya kenya tujifunze wao majimbo wanayaendeshaje,maana sijwasikia wanalalamikia serikali za majimbo kwamba zinawaletea umaskini
duuh sikujua kama najadili na mtu anayeelewa masuala, kumbe najadili na mtu wa kuendekeza vijimambo!!!, kwanza mimi nilikuwa hata nimesahau kwamba lisu alilazwa nairobi, akili yangu ilizama kwenye mjadala, wa wanaounga mkono majimbo na wanaoipinga. ndio maana nikamkumbuka jirani yetu kenya yeye ana majimbo lakini hata siku moja sijasikia jimbo linalalamika halina mapato ya kutosha kulinganisha na jimbo fulani, the same goes to USA. tunapojadili masuala ya nchi ni vyema tukaexhaust kila kitu ili tunapokuja na jibu liwe la kusaidia nchi na si ushabikishabiki tu, wengine sisi hatuko kwenye politiki tuko kwenye masuala ya nchi, ndiyo maana Mwalimu Nyerere aliwaaambia waandishi tujadili masuala sio kuja na mswali mepesiKwa hiyo Lisu kulazwa Kenya imekuwa nongwa hata katiba tunatakiwa ku copy na ku paste ya Kenya alikolazwa mheshimiwa mgombea Lisu!!!!! Na majimbo tu copy Kenya ha ha ha ha
wakati waukoloni ilikuwa na mikoa ipi?Kwa huu mfumo wa Lissu, Singida itakuwa pamoja na mikoa gani kuunda jimbo moja?
Mkuu sio hivyo tu,unapozungumzia watu wa majimbo kujiamulia mambo yao wenyewe ni kudanganya watu.Lisu anaongelea tu majimbo kujiamulia mambo ila haelezi gharama za uendeshaji jimbo litatoa wapi.
Anaeleza kijanja janja huku akificha kuwa uendeshaji jimbo unatakiwa uendeshwe kwa pesa za ndani ya jimbo ikiwemo miradi ya maendeleo.
Chukulia Singida tegemeo lake kuu la uchumi ni kuuza vidumu vya mafuta ya alizeti. Hivyo vyaweza jenga barabara za lami? Kilomita moja tu ya lami inasoma Gharama ya bilioni moja. Hivyo vidumu vya alizeti vyaweza jenga barabara na kulipa mishahara ya wafayakazi wa jimbo?
Afafanue pia kuhusu gharama za kuendesha jimbo asilaghai tu ohh mujiamulie wenyewe.
Ukimsikiliza uaona kabisa mlaghai kwenye gharama za uendeshaji na za miradi ya maendeleo zitakako toka hagusi anahamia hoja nyingine mbio.