The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Halafu awamu hii au tuseme kuanzia awamu iliyopita value ya Ukuu wa Mkoa au Wilaya imeshushwa kwa kiasi kikubwa.Hakuna 100% solution of anything,kuna trade-offs..
Utawala wa mikoa ni most pathetic system ever happen..
Majimbo na mikoa,majimbo system ni afadhali kuliko huo uchafu wa kikoloni..
Pick your poison!
USA zile states zinahistoria tofauti Sana na kuungana kwao kuna historia tofauti.
Changamoto za majimbo ni chache ukilinganisha na hii tuliyo nayo sasaHata utawala wa majimbo unazo changamoto zake nyingi tu, nenda kazitembelee nchi zenye majimbo utazifahamu kwa ukaribu.
Tunajua mnatamani sana kuingia ikulu na ni haki yenu, ni bahati mbaya kwamba tayari mmesha feli kukamata dola, sababu zitazowafelisha ni ilani yenu. Kinachowafelisha ni hiki hapa;Concept ya majinbo ,ni kutolaliana kuwa mnachangia gharama za uendeshaji jimbo kwa mgawanyo sawa na hakuna eneo linamlalia mwenzie chake.
Jimbo hugawanywa kwa mikoa lakini kila mkoa chake chake sio kuwa singida ataponea pesa zitazoingizwa morogoro hata kama wako jimbo moja isipokuwa kwa ile miradi ya pamoja.
Ukiunda jimbo ni kuwa mfano umeunda jimbo lenye mikoa miwili wa singida na kilimanjaro usidhani hapo kuwa pesa za utalii za kilimanjaro zitaenda singida .Haiwezekani .kodi kila mkoa unakusanya zake asilimia fulani ndio wanapeleka mfuko wa jimbo hawapeleki zote kwa ajili ya kugharimia gharama za uendeshaji wa jimbo. Lakini hakuna mkoa ambao utabeba mkoa mwingine kwa pesa zake kila mmoja anajibeba mweyewe.
Mimi nitakuwa wa kwanza kuunga mkono jimbo la Tanzania iwapo wataibuka kina Kwame Nkrumah wa miaka ya sasa watakaoanzisha wazo la United States of Africa.
Ndio maana ilipigwa chini bungeni.
Mkuu nadharia na uhalisia ni vitu viwili tofauti.Kwani sera ya majimbo ndio utajiri?Nchi kuendelea Kuna factor nyingi kuwa tu na mfumo mzuri wa utawala haitoshi lakini kwa mazingira ya Tzn ,tukiweka mfumo huu nchi itapaa Sana kiuchumi.Leo hii Zanzibar iko hoi kiuchumi kuliko awali kwa sababu iko treated Kama mkoa
Unakimbilia USA kabla ya kuweza Jumuiya ya Africa Mashariki kwanza ambayo M7 anataka awe Rais wake wa kwanza!
Kwa sababu mfumo uliopo unakinufaisha zaidi chama chako na ndio waliohodhi mchakato wa katiba mpya ilikuwa lazima ipigwe chini
eti nchi itasambaratika ndio yule kichaa wenu kawaambia halafu mlivyo hamnazo you run with that nonsense!
Kama ni hivyo basi USA,South Africa,Kenya,Canada,India...na even your beloved stupid totalitarian China ungekuta washa sambaratika,lakini wapo na wanazidi prosper..
Hamna hoja kwenye hili,Lissu katoa msumari na wananchi seem to accept hapo ndio matako yanawauma sana..
Eti tutasambaratika,jibu la hovyo sana...halafu wananchi hawajawaelewa na majibu yenu kabisa mnabaki kuchanganyikiwa even more
Natukana yes,kashitaki kwa mawe!
Wewe unaonaje??Kwamba tunaanzisha majimbo kwaajili ya mtu mmoja amesema hatapeleka maendelea sehemu Fulani?
Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Yaani hawa wakoloni weusi ni wabaya hata kuliko mzungu, wanakung'ata huku wanakuchekea.Hivi mnadhani kwa kuwa chama tawala nyie mna hatimiliki ya akili za Watanzania?
Kwamba sisi hatuelewi tunachoambiwa kuhusu majimbo yanayosemwa na kwamba tutapelekwa tu halutakuwa na vikao vya kuamua namna gani hayo majimbo yaendeshwe? Faida mojawapo ya majimbo tumeelezwa ni kuongozwa na Magavana wa kuchaguliwa, sasa hivi Wakuu wa mikoa na wilaya hawana tofauti na viongozi wa Kikoloni (Area commissioners) waliokuwa wanqogopwa kwa kukamata wananchi na kuwaweka ndani hata kwa makosa yasiyotajwa kwenye sheria.
Mmemsilkia Magufuli mwenyewe akisema wazi hata vitambulisho vya Machinga watu hawakupaswa kulazimishwa, lakini uliza mikoani Wakuu wa Wilaya ambao ni wateule wa Rais na Makada wa CCM wamewatendea nini Wananchi? Ni watumishi wangapi wamekamatwa kwa amri ya maDc kwa kosa la kuchelewa kikao cha mkubwa, huku sheria ikimtaka DC kukamata na kuweka ndani masaa 24 kwa makosa ya jinai na uvunjifu wa amani pekee na si makosa ya Nidhamu? Tumechoshwa na umyanyasaji wa "Wakoloni" wenu weusi.
Mbona logic ni.simple mkuu namna ya kuendesha shughuli za kijimbo. Ni hv ngazi ya jimbo inabebwa kuanzia mikoa miwili yaan kanda. Ktk hayo maeneo kuna shughuli za kiuchumi. Shughuli za kiuchumi huzalisha kodi za ndani ambazo hutumika kutatua kero ndani.ya hayo maeneo kabla.ya kuomba msaada serikali kuu. Serikali kuu.inabaki kudeal na mishahara ya wafanyakazi nchi nzima na majanga km tetemeko,mafuriko, dharura yyt ile. Vyanzo vyake vya mapato ni bandari zote, viwanja vya ndege, gas asilia, hifadhi za taifa na pori tengefu, viwanda vikubwa na makampuni ya kitaifa km.mitandao ya simu nkLisu anaongelea tu majimbo kujiamulia mambo ila haelezi gharama za uendeshaji jimbo litatoa wapi.
Anaeleza kijanja janja huku akificha kuwa uendeshaji jimbo unatakiwa uendeshwe kwa pesa za ndani ya jimbo ikiwemo miradi ya maendeleo.
Chukulia Singida tegemeo lake kuu la uchumi ni kuuza vidumu vya mafuta ya alizeti. Hivyo vyaweza jenga barabara za lami? Kilomita moja tu ya lami inasoma Gharama ya bilioni moja. Hivyo vidumu vya alizeti vyaweza jenga barabara na kulipa mishahara ya wafayakazi wa jimbo?
Afafanue pia kuhusu gharama za kuendesha jimbo asilaghai tu ohh mujiamulie wenyewe.
Ukimsikiliza uaona kabisa mlaghai kwenye gharama za uendeshaji na za miradi ya maendeleo zitakako toka hagusi anahamia hoja nyingine mbio.
Nchi zenye majimbo (Marekani, Ujerumani, Nigeria, DRC,...) zinafanye?Lisu anaongelea tu majimbo kujiamulia mambo ila haelezi gharama za uendeshaji jimbo litatoa wapi.
Anaeleza kijanja janja huku akificha kuwa uendeshaji jimbo unatakiwa uendeshwe kwa pesa za ndani ya jimbo ikiwemo miradi ya maendeleo.
Chukulia Singida tegemeo lake kuu la uchumi ni kuuza vidumu vya mafuta ya alizeti. Hivyo vyaweza jenga barabara za lami? Kilomita moja tu ya lami inasoma Gharama ya bilioni moja. Hivyo vidumu vya alizeti vyaweza jenga barabara na kulipa mishahara ya wafayakazi wa jimbo?
Afafanue pia kuhusu gharama za kuendesha jimbo asilaghai tu ohh mujiamulie wenyewe.
Ukimsikiliza uaona kabisa mlaghai kwenye gharama za uendeshaji na za miradi ya maendeleo zitakako toka hagusi anahamia hoja nyingine mbio.
Lisu anaongelea tu majimbo kujiamulia mambo ila haelezi gharama za uendeshaji jimbo litatoa wapi.