Lissu anapigania Mambo ya msingi kuliko hata Dudu Baya. Lakini angalia akili za wabongo wengi. Hopelessly

Lissu anapigania Mambo ya msingi kuliko hata Dudu Baya. Lakini angalia akili za wabongo wengi. Hopelessly

Hiyo
Unamuuliza mtu, kwenu kuna shoga yoyote? Anajibu hapana.
Unamuuliza ushoga ni changamoto kubwa kwenye familia na ukoo wako? Anajibu hapana.

Unamuuliza mbona kwa Lisu upo kimya. Linatoa meno
Ukisema hivyo
Ni sawa na mimi ambaye hakuna ndugu yangu aliyewahi kuchukuliwa na vyombo vya utekaji wa serikali, nisipaze sauti kuwakosoa kwa sababu hakuna jamaa yangu aliyewahi kutekwa. Very foolish and weak argument.
 
TUNDU LISSU ANAPIGANIA MAMBO YA MSINGI KULIKO HATA DUDU BAYA. LAKINI ANGALIA AKILI ZA WABONGO WENGI HOPELESSLY.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Ukitaka kujua akili za watu angalia yale wanayoyashabikia na kuyapigania. Hiyo itakupa picha upo na watu wa aina gani.

Tundu Lisu ni moja ya wapiganaji wa level za juu katika nchi hii ambapo mambo anayoyapigania yanagusa maisha ya watu moja kwa moja, kila familia, kila ukoo. Mtu yeyote.

Lisu anapigania haki mpaka za viongozi waliopo madarakani, usalama wa taifa, polisi, wanajeshi,magereza, watumishi wa umma na Watanzania wote.

Lisu anapigania HAKI, anataka jamii yehye kufuata sheria, yenye kutii sheria, yenye kuheshimu haki za binadamu.

Lisu hataki watu waonewe. Yeye huo ndio wimbo wake.

Kwa level ya elimu na kiwango cha maarifa alichonacho. Lisu angeweza kula na State, dola akakaa zake kimya maisha yakendelea. Na serikali ingemfaidi. Lakini yeye akachagua njia ngumu.

Dudu baya yeye kaja na Kupinga Ushoga. Kama nilivyosema yuko sawa.
Lakini mshtuko wangu upo hapa,
Uungwaji mkono kwa Dudu baya ni mkubwa sana.

Kila mtu YBWYB kila mtu Linda mgongo wako. Imefikia hatua watu wanachanga kwaajili ya Dudubaya.

Mpaka watu wanachapa Tsheti. Imagine.
Mpaka watu wanatukana basata.

Mpaka wasemaji wa timu za mipira nao. Wanamuunga mkono.
Yaani ni makundi mengi sana.

Lakini upande wa Lisu anayetetea Haki na mambo mengi na makubwa zaidi pamepoa.

Lisu anatetea haki sio tuu za wenye HAKI bali mpaka haki za waliokosea.
Kwamba huyu ni muuaji lakini naye anahaki zake. Yaani mnyonge mnyongeni lakini haki zake mpeni. Mnyongeni kwa kufuata taratibu.

Fikiria watu walivyokuwa wanatekwa alafu kila makundi ya watu wawe wanapiga kelele.

Embu angalia picha ikivuja ya uchi watu watakavyoishabikia. Wanajua kabisa ni uovu. Lakini wanashabikia.

Fikiria suala la Engonga yule aliyevujisha video za uchi. Angalia vijana wanavyompenda. Licha ya kuwa ule ulikuwa udhalilishaji. Unaweza ukaona upo kwenye jamii ya aina gani.

Fikiria ongezeko la single mothers ambapo ni matokeo ya ngono zembe na zinaa.
Unapinga Single mothers alafu upande wa pili wanaume wanajisifu kutia mimba wanawake hovyohovyo.

Jamii yetu inahitaji kubadilishwa kifikra ambapo ndio kazi kubwa kuliko kazi yoyote duniani.
Ni rahisi kubadilisha uchumi lakini ni ngumu sana kubadilisha fikra.

Kubadilisha mfumo wa utamaduni.

Watu kupambana na chanzo badala ya kupambana na matokeo.

Mimi nimemaliza.

TaikonMaster
Kwa sasa Kahama, Shinyanga
Sema ndy hvy Mimi niwe mkweli ningekuwa lisu ningekubali mabilioni yangu yaingie benki niondoke niwaache wa Tanzania wenyewe. Kwasababu unasaidia watu ambao hawaoni msaada wako Wala umuhimu wako.
 
Unamuuliza mtu, kwenu kuna shoga yoyote? Anajibu hapana.
Unamuuliza ushoga ni changamoto kubwa kwenye familia na ukoo wako? Anajibu hapana.

Unamuuliza mbona kwa Lisu upo kimya. Linatoa meno
Mimi nilikuwa nabishana na mtu namwambia ommy akiwa shoga wewe unaathirika na nini hana jibu la maana
kusema kweli wajinga Tanzania wapo japo mie ccm lakini i feel pain for lissu maana kuna sehemu anaongea kweli
 
Ni kikundi cha watu hawazidi Millioni..hao ndio hutumika tuone kuwa kuna nguvu ipo kubwa.Mambo magumu kama ya Lissu si kwamba watu hawataki kusema..je wanaosemwa wako tayari kusemwa?
Nguvu ya watu ipo na ndio maana pressure ni kubwa kwa hao watu..
 
Unamuuliza mtu, kwenu kuna shoga yoyote? Anajibu hapana.
Unamuuliza ushoga ni changamoto kubwa kwenye familia na ukoo wako? Anajibu hapana.

Unamuuliza mbona kwa Lisu upo kimya. Linatoa meno
😂😂😂 halafu sasa hana hoja ya msingi, sana kufuata tu upepo ionekane yeye haungi mkono ushoga, hana cha maana zaidi.
Unabaki kujiuliza hili taifa lina shida gani? Mbona raia wake ni zaidi ya matahira. Lol
 
Dudubaya ongeza kuchochea moto,
Machoko na wasagaji wameanza kutoa milio kila kona.
 
Huko mbali, wengine hata kufuatilia muenendo wa case hawana huko mda, ndio kwanza utasikia, atajua yeye na chadema yake.
Raia wa hii nchi ni Maiti zinazotembea. Khaaah
Hao ni wachache sana...kuna namna watu wanaamka kimya kimya kufuatilia vitu baada ya kujua mbinu za wanaosemwa.Wasingetumia nguvu kubwa kutunga tunga ideas za kijinga jinga kama hizo.

Tanzania hii ya sasa wanasiasa wasipo jibadili kuna watu watateseka sana huko mbeleni kwa mbinu zile zile wanazotumia.MUDA
 
Mkuu Mtibeli, naomba nikupinge kidogo.

Kwanza, umaarufu wa jambo si kipimo cha akili za jamii wala umuhimu wa jambo. Mtu anaweza kujadili Dudu Baya leo kwa sababu ni burudani, na kesho akafuatilia kesi ya Lissu. Hayo hayapingani.

Pili, nadhani unalinganisha mambo mawili yaliyo kwenye mazingira tofauti. Suala la Dudu Baya wananchi wanaweza kuliathiri moja kwa moja kwa kumfuatilia, kumuunga mkono, kumkosoa au hata kuchangia. Lakini kesi ya Lissu iko kwenye mchakato wa mahakama; wananchi wanaweza kudai haki na kufuatilia, lakini uamuzi wa mwisho uko kwenye mhimili wa Mahakama.

Tatu, kusema watu wanachanga kwa Dudu Baya hakuthibitishi kwamba hawajali Lissu. Kunathibitisha tu kwamba wameamua kutumia muda au fedha zao kwenye jambo hilo. Trending si referendum ya akili za Watanzania.Halafu ni asilimia ngapi ya waTanzania wanafuatiliwa jambo Hilo la dudu baya?

Kwa hiyo mkuu, kama lengo ni kubadilisha fikra za Watanzania, tujadii kwa nini haki, utawala wa sheria na kesi ya Lissu ni muhimu, badala ya kutumia umaarufu wa Dudu Baya kama ushahidi kwamba Watanzania hawana akili.

Umaarufu wa Dudu Baya ni ushahidi wa umaarufu wake; si ushahidi wa ujinga wa Watanzania.
 
TUNDU LISSU ANAPIGANIA MAMBO YA MSINGI KULIKO HATA DUDU BAYA. LAKINI ANGALIA AKILI ZA WABONGO WENGI HOPELESSLY.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Ukitaka kujua akili za watu angalia yale wanayoyashabikia na kuyapigania. Hiyo itakupa picha upo na watu wa aina gani.

Tundu Lisu ni moja ya wapiganaji wa level za juu katika nchi hii ambapo mambo anayoyapigania yanagusa maisha ya watu moja kwa moja, kila familia, kila ukoo. Mtu yeyote.

Lisu anapigania haki mpaka za viongozi waliopo madarakani, usalama wa taifa, polisi, wanajeshi,magereza, watumishi wa umma na Watanzania wote.

Lisu anapigania HAKI, anataka jamii yehye kufuata sheria, yenye kutii sheria, yenye kuheshimu haki za binadamu.

Lisu hataki watu waonewe. Yeye huo ndio wimbo wake.

Kwa level ya elimu na kiwango cha maarifa alichonacho. Lisu angeweza kula na State, dola akakaa zake kimya maisha yakendelea. Na serikali ingemfaidi. Lakini yeye akachagua njia ngumu.

Dudu baya yeye kaja na Kupinga Ushoga. Kama nilivyosema yuko sawa.
Lakini mshtuko wangu upo hapa,
Uungwaji mkono kwa Dudu baya ni mkubwa sana.

Kila mtu YBWYB kila mtu Linda mgongo wako. Imefikia hatua watu wanachanga kwaajili ya Dudubaya.

Mpaka watu wanachapa Tsheti. Imagine.
Mpaka watu wanatukana basata.

Mpaka wasemaji wa timu za mipira nao. Wanamuunga mkono.
Yaani ni makundi mengi sana.

Lakini upande wa Lisu anayetetea Haki na mambo mengi na makubwa zaidi pamepoa.

Lisu anatetea haki sio tuu za wenye HAKI bali mpaka haki za waliokosea.
Kwamba huyu ni muuaji lakini naye anahaki zake. Yaani mnyonge mnyongeni lakini haki zake mpeni. Mnyongeni kwa kufuata taratibu.

Fikiria watu walivyokuwa wanatekwa alafu kila makundi ya watu wawe wanapiga kelele.

Embu angalia picha ikivuja ya uchi watu watakavyoishabikia. Wanajua kabisa ni uovu. Lakini wanashabikia.

Fikiria suala la Engonga yule aliyevujisha video za uchi. Angalia vijana wanavyompenda. Licha ya kuwa ule ulikuwa udhalilishaji. Unaweza ukaona upo kwenye jamii ya aina gani.

Fikiria ongezeko la single mothers ambapo ni matokeo ya ngono zembe na zinaa.
Unapinga Single mothers alafu upande wa pili wanaume wanajisifu kutia mimba wanawake hovyohovyo.

Jamii yetu inahitaji kubadilishwa kifikra ambapo ndio kazi kubwa kuliko kazi yoyote duniani.
Ni rahisi kubadilisha uchumi lakini ni ngumu sana kubadilisha fikra.

Kubadilisha mfumo wa utamaduni.

Watu kupambana na chanzo badala ya kupambana na matokeo.

Mimi nimemaliza.

TaikonMaster
Kwa sasa Kahama, Shinyanga
Aina ya watu wanaojitokeza hivi sasa kuunga mkono ndiyo inadhihirisha kuwa kuna watu wameamua kwenda na beat kwenye jambo hili. Kwa kifupi wameli pora mazima.
Kuhusu Lissu kamwe usitarajie upuuzi kuja kuzidiwa na logical issues.
Katika yote anayopigania issue, hili la Dudubaya ni subset tu, lakini watu wameliinua hilo na kuliweka juu na kuu kuliko vifo vya watu, kutekwa, dhurma, ubahirifu, rushwa n.k
 
Huu ni uzi wangu bora kwa siku ya leo
Naunga mkono hoja

Taifa limejaa watu wajinga na wapumbavu halafu washamba

Sina maana kua watu wasifurahie maisha au wawe serious muda wote hapana ila kuna vitu ukiangalia unaona kabisa ni upuuzi

Na ukiseme kinyume watu wanakuja kukuita shoga

Dudu baya anachopinga ni sahihi lakini lakini ukingalia ni kama anatumika
Kuleta attention mtandaoni

Airtime aliyopewa japo sio kwa ubaya
Ingetumika kwenye mambo ya msingi pia tungefika mbali sana

Nimegundua watanzania ni wafata mkumbo

Mtu kama TL angepewa Airtime kama hivi tungekua tumepiga hatua sana

Hili taifa hili 🙌🙌
 
Hawawezi kukuelewa hapa, sana watakuja kuku attack na kashfa hiyo hiyo tu.
Hao ndio Wabongo.
Mie mtu makini sana katika kuishi duniani siwezi kuishi kwa kanuni alizoziweka mwarabu kupitia uislam au mzungu kupitia ukristo
 
Back
Top Bottom