Kwahiyo nyie wenye hiyo ajenda nyingine mmezidiwa nguvu sio?
Siku hizi hata mvua ikinyesha mtasema inataka kuwatoa kwenye reli,
Dudubaya pia anapigania matatizo yanayo ikabili jamii,ndio mgawanyo wa majukumu ulivyo,na nyie fuatilieni mlichokua interested nacho,tusipangiane maisha,
Msijione kua nyie ndio mna akili kuliko watu wote,nyie katika kufuatilia kwenu mmebadilisha nini? Imewasaidia nini so far? Yani mataka kuwapangia watu wote wafuatilie jambo moja!!
Dudubaya chochea kuni,machoko wamesha anza kutoa milio kila kona.