Lissu anapigania Mambo ya msingi kuliko hata Dudu Baya. Lakini angalia akili za wabongo wengi. Hopelessly

Lissu anapigania Mambo ya msingi kuliko hata Dudu Baya. Lakini angalia akili za wabongo wengi. Hopelessly

Kabisa duniani hakuna msafi ila watu wanachagua dhambi kama umeamua kutetea watu tetea wote tuone kweli wee mtu wa haki
Mie huko kwenye dhambi wala sipo, couz siamini ktk muktadha wa dhambi.
Ninachokisema ni kuwa mtu mzima aliyeamua kifanya kitu kwa matakwa yake binafsi, nini iwe shida kwa mwingine?
 
Unaemtetea alichagua style ya kuongea na alijua matokeo yake ila unawashwa kusema anaonewa, next time atakuja kuua red handed na bado mtasema AI shubamiti kabisa, lisu akichagua kuropoka na kuongea mambo ambayo anajua yatamweka matatani, unawashwa nini akiwekwa jela? Si alichagua mwenyewe, kuna mtu alimchagulia kusema hayo maneno?
Kuna mengine anapatia na kuna mengine anakosea hata wewe una makosa umefanya na unafanya mpaka hii Leo
 
Hao wanaofuatilia movement ya Dudubaya,wamewazuwia nyie kufuatilia hayo mambo yenu?

Kwanini na nyie msifuatilie mambo yenu ili muwazidi nguvu? Inaonekana hata nyie mnafuatilia issue ya Dudubaya ndio maana mna habari zote,

Machoko na wasagaji watapigwa vita iwe mvua liwe jua,

Acheni kupangia watu maisha,kila mtu apigane vita yake kwa upende wake,nchi ikishajaa machoko,wataweza kweli hata kujikomboa? Au watakua wanajiharishia hovyo tu Barabarani?

Ukisha muona mtu anajiona kua yeye ana akili na kuwaita wenzake ni wapumbavu basi ujue mtu huyo yeye ndio mpumbavu.

Y B W Y B
Weka humu 🚮
 
Kwa mfano dimpoz akiwa shoga mie naathirika na nini maana hayo maisha kachagua mwenyewe
lakini angalia kila mtu anamuona dudu shujaa wakati kiuhalisia ana matatizo ya akili maana hata yeye ana dhambi lakini mbona watu wapo kimya mlevi na biblia inakataa ulevi
kiufupi umeongea point ya muhimu sana Leo
Dudu baya anazuia ili ushoga usisambae na baadae watoto wako wasijiingize kwenye ushoga.
Usijudge kwa mtindo huo eti kwa vile wale mashoga sio ndugu zako ndio uchukulie haikuhusu hili ni janga la taifa zima.
 
Nchi hii shida Sana, tunaongozwa na vilaza watupu,
Nimeona mkuu wa, majeshi anazindua ukumbi wa, biashara! Seriously jeshi linaona Hilo ni jambo LA maana,!!
Hizo, ni kumbi wanafanya watu binafsi, taasisi tungeona kiwanda cha drones, APCs, ushirkiano na Turkish, au German, au, Israel kujenga military industry kubwa sio huu upuuzi
Kwanini huwa mnawaza mambo yaliyo nje ya uwezo wenu?

Ushajiuliza wale vijana wa pale COET Udsm tangu kuanzishwa kwa ile College wamewahi kugundua kitu cha maana hapa Tanzania ambacho Udsm wanaweza kujivunia?
 
Mazuzu wengi sana kazi kweli
Wewe ***** toa harufu ya tope hapa,nenda kwenye nyuzi ukapiganie unachoona kwako ni sahihi,na wengine waache wapiganie wanachoona kwao ni sahihi,

Wewe ni nani hasa mpaka uwapangie watu maisha? Wewe ni nani hasa mpaka uwapangie watu wafuatilie nini na nini wasifuatilie?

Nenda kampangie mumeo,achana na sisi.

Y B W Y B
 
Kuna sehemu nili comment kuhusu hii issue nikaonekana naunga mkono ushoga si ajabu nikaitwa shoga pia

Yaani watu na akilizi zao timamu wanaamini dudu baya atakomesha ushoga kweli?

Tu focus jamani hili swala la ushoga linatakiwa elimu na nikuanzia ngazi ya familia sio kukemea mitandaoni 🙌🙌
Wanaelewa sasa? Wao wanachojua kubwata mtandaoni ndio kusolve jambo, ajabu iliyoje.
 
Dudu baya anazuia ili ushoga usisambae na baadae watoto wako wasijiingize kwenye ushoga.
Usijudge kwa mtindo huo eti kwa vile wale mashoga sio ndugu zako ndio uchukulie haikuhusu hili ni janga la taifa zima.
Watajua wenyewe dunia ni uwanja wa vita ukiwa legelege yatakukuta mengi inatakiwa uishi kwa akili sana hivi ushakuwa mwanaume halafu unakuwa shoga huoni kama utakuwa na matatizo ya akili sasa mtu kama huyu mie siwezi kupoteza nguvu zangu kufatilia
 
Dudu baya movement yake ni muhimu kuliko siasa za maigizo za Chadema na Ccm
 
  • Thanks
Reactions: Nus
Dudu baya anazuia ili ushoga usisambae na baadae watoto wako wasijiingize kwenye ushoga.
Usijudge kwa mtindo huo eti kwa vile wale mashoga sio ndugu zako ndio uchukulie haikuhusu hili ni janga la taifa zima.
Kwani hakemei utekaji? Uuaji? Ufisadi? Rushwa? Au haya sio majanga ya Taifa zima?
 
Wewe ***** toa harufu ya tope hapa,nenda kwenye nyuzi ukapiganie unachoona kwako ni sahihi,na wengine waache wapiganie wanachoona kwao ni sahihi,

Wewe ni nani hasa mpaka uwapangie watu maisha? Wewe ni nani hasa mpaka uwapangie watu wafuatilie nini na nini wasifuatilie?

Nenda kampangie mumeo,achana na sisi.

Y B W Y B
matatizo ya akili ni Janga la taifa
 
Kwani hakemei utekaji? Uuaji? Ufisadi? Rushwa? Au haya sio majanga ya Taifa zima?
Kwanini kuna kanuni inayolazimisha watu wote kukemea masuala fulani na kutokemea mengine?
Au kwa mfano Dudubaya akikemea mashoga, wewe ukakemea ubakaji, ulawiti na utekaji kuna ubaya?
 
Kwa sababu vichwani wamebeba mavimavi.

Ushoga ni kosa lakini sio tishio na haijawahi kuw tishio duniani tangu dunia imeumbwa.
Ni dhambi chafu. Lakini sio changamoto
Don't say that, kuna msemo siku hizi unasemwa sana, "kichaa anachekesha kama sio ndugu yako" na misemo mingine inayofanana na hiyo.

Nini nataka kusema, kila harakati ina umuhimu wake kwa wakati wake. Whether it's staged by the government or not (kwa sababu tunawajua viongozi wetu), bado haiondoi ukweli kwamba taifa bora linaje.gwa na jamii iliyo imara, familia imara.

So, to cut the story short, Dudu Baya na Lissu wote wanapambania mambo yanayohitaji attention ya jamii, nimesema iwe wamekuwa staged au wapo intent kwa wanachokifanya.
 
Haina ubaya Dr manyau nyau.
😂😂😂

Sahihi mkuu Mimi kama dr manyau nyau nipo na Dudu baya


Dudu baya yupo anafanya movement really wakati huo huo wanasiasa wanafanya fake movement

Watanzania watu mnaamini ni wajinga hapana they know who is really and who is fake
 
Back
Top Bottom