Ukisema hivyoUnamuuliza mtu, kwenu kuna shoga yoyote? Anajibu hapana.
Unamuuliza ushoga ni changamoto kubwa kwenye familia na ukoo wako? Anajibu hapana.
Unamuuliza mbona kwa Lisu upo kimya. Linatoa meno
Sema ndy hvy Mimi niwe mkweli ningekuwa lisu ningekubali mabilioni yangu yaingie benki niondoke niwaache wa Tanzania wenyewe. Kwasababu unasaidia watu ambao hawaoni msaada wako Wala umuhimu wako.TUNDU LISSU ANAPIGANIA MAMBO YA MSINGI KULIKO HATA DUDU BAYA. LAKINI ANGALIA AKILI ZA WABONGO WENGI HOPELESSLY.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Ukitaka kujua akili za watu angalia yale wanayoyashabikia na kuyapigania. Hiyo itakupa picha upo na watu wa aina gani.
Tundu Lisu ni moja ya wapiganaji wa level za juu katika nchi hii ambapo mambo anayoyapigania yanagusa maisha ya watu moja kwa moja, kila familia, kila ukoo. Mtu yeyote.
Lisu anapigania haki mpaka za viongozi waliopo madarakani, usalama wa taifa, polisi, wanajeshi,magereza, watumishi wa umma na Watanzania wote.
Lisu anapigania HAKI, anataka jamii yehye kufuata sheria, yenye kutii sheria, yenye kuheshimu haki za binadamu.
Lisu hataki watu waonewe. Yeye huo ndio wimbo wake.
Kwa level ya elimu na kiwango cha maarifa alichonacho. Lisu angeweza kula na State, dola akakaa zake kimya maisha yakendelea. Na serikali ingemfaidi. Lakini yeye akachagua njia ngumu.
Dudu baya yeye kaja na Kupinga Ushoga. Kama nilivyosema yuko sawa.
Lakini mshtuko wangu upo hapa,
Uungwaji mkono kwa Dudu baya ni mkubwa sana.
Kila mtu YBWYB kila mtu Linda mgongo wako. Imefikia hatua watu wanachanga kwaajili ya Dudubaya.
Mpaka watu wanachapa Tsheti. Imagine.
Mpaka watu wanatukana basata.
Mpaka wasemaji wa timu za mipira nao. Wanamuunga mkono.
Yaani ni makundi mengi sana.
Lakini upande wa Lisu anayetetea Haki na mambo mengi na makubwa zaidi pamepoa.
Lisu anatetea haki sio tuu za wenye HAKI bali mpaka haki za waliokosea.
Kwamba huyu ni muuaji lakini naye anahaki zake. Yaani mnyonge mnyongeni lakini haki zake mpeni. Mnyongeni kwa kufuata taratibu.
Fikiria watu walivyokuwa wanatekwa alafu kila makundi ya watu wawe wanapiga kelele.
Embu angalia picha ikivuja ya uchi watu watakavyoishabikia. Wanajua kabisa ni uovu. Lakini wanashabikia.
Fikiria suala la Engonga yule aliyevujisha video za uchi. Angalia vijana wanavyompenda. Licha ya kuwa ule ulikuwa udhalilishaji. Unaweza ukaona upo kwenye jamii ya aina gani.
Fikiria ongezeko la single mothers ambapo ni matokeo ya ngono zembe na zinaa.
Unapinga Single mothers alafu upande wa pili wanaume wanajisifu kutia mimba wanawake hovyohovyo.
Jamii yetu inahitaji kubadilishwa kifikra ambapo ndio kazi kubwa kuliko kazi yoyote duniani.
Ni rahisi kubadilisha uchumi lakini ni ngumu sana kubadilisha fikra.
Kubadilisha mfumo wa utamaduni.
Watu kupambana na chanzo badala ya kupambana na matokeo.
Mimi nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Kahama, Shinyanga
Huko mbali, wengine hata kufuatilia muenendo wa case hawana huko mda, ndio kwanza utasikia, atajua yeye na chadema yake.Sijawahi kumuona mtu kavaa tshirt imeandikwa FREE TUNDU LISSU.
Wote wako bize wanapambania mavi na mikundu.
Mimi nilikuwa nabishana na mtu namwambia ommy akiwa shoga wewe unaathirika na nini hana jibu la maanaUnamuuliza mtu, kwenu kuna shoga yoyote? Anajibu hapana.
Unamuuliza ushoga ni changamoto kubwa kwenye familia na ukoo wako? Anajibu hapana.
Unamuuliza mbona kwa Lisu upo kimya. Linatoa meno
😂😂😂 halafu sasa hana hoja ya msingi, sana kufuata tu upepo ionekane yeye haungi mkono ushoga, hana cha maana zaidi.Unamuuliza mtu, kwenu kuna shoga yoyote? Anajibu hapana.
Unamuuliza ushoga ni changamoto kubwa kwenye familia na ukoo wako? Anajibu hapana.
Unamuuliza mbona kwa Lisu upo kimya. Linatoa meno
Dizi wala diziNa wewe ukiwemo
Oyaa divisheni foo tumia lugha nyepesi isiyo na makali na kumbuka kuzingatia majukumu yako serikalini.Sijawahi kumuona mtu kavaa tshirt imeandikwa FREE TUNDU LISSU.
Wote wako bize wanapambania mavi na mikundu.
Sasa mie nikiwa ***** wewe unawashwa na niniMachoko mmepata pa kuhemea kudadeki zenu.
Hao ni wachache sana...kuna namna watu wanaamka kimya kimya kufuatilia vitu baada ya kujua mbinu za wanaosemwa.Wasingetumia nguvu kubwa kutunga tunga ideas za kijinga jinga kama hizo.Huko mbali, wengine hata kufuatilia muenendo wa case hawana huko mda, ndio kwanza utasikia, atajua yeye na chadema yake.
Raia wa hii nchi ni Maiti zinazotembea. Khaaah
Agenda ipi wanahamisha?Dizi wala dizi
Mimi I'm the realistic guy najua hiyo movement ni planned na Hilo tamasha la miaka 30 ni la Ccm na hao Ccm ndo wanampa airtime
Lengo kuhamisha ajenda
Sasa mie nikiwa ***** wewe unawashwa na nini
Aina ya watu wanaojitokeza hivi sasa kuunga mkono ndiyo inadhihirisha kuwa kuna watu wameamua kwenda na beat kwenye jambo hili. Kwa kifupi wameli pora mazima.TUNDU LISSU ANAPIGANIA MAMBO YA MSINGI KULIKO HATA DUDU BAYA. LAKINI ANGALIA AKILI ZA WABONGO WENGI HOPELESSLY.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Ukitaka kujua akili za watu angalia yale wanayoyashabikia na kuyapigania. Hiyo itakupa picha upo na watu wa aina gani.
Tundu Lisu ni moja ya wapiganaji wa level za juu katika nchi hii ambapo mambo anayoyapigania yanagusa maisha ya watu moja kwa moja, kila familia, kila ukoo. Mtu yeyote.
Lisu anapigania haki mpaka za viongozi waliopo madarakani, usalama wa taifa, polisi, wanajeshi,magereza, watumishi wa umma na Watanzania wote.
Lisu anapigania HAKI, anataka jamii yehye kufuata sheria, yenye kutii sheria, yenye kuheshimu haki za binadamu.
Lisu hataki watu waonewe. Yeye huo ndio wimbo wake.
Kwa level ya elimu na kiwango cha maarifa alichonacho. Lisu angeweza kula na State, dola akakaa zake kimya maisha yakendelea. Na serikali ingemfaidi. Lakini yeye akachagua njia ngumu.
Dudu baya yeye kaja na Kupinga Ushoga. Kama nilivyosema yuko sawa.
Lakini mshtuko wangu upo hapa,
Uungwaji mkono kwa Dudu baya ni mkubwa sana.
Kila mtu YBWYB kila mtu Linda mgongo wako. Imefikia hatua watu wanachanga kwaajili ya Dudubaya.
Mpaka watu wanachapa Tsheti. Imagine.
Mpaka watu wanatukana basata.
Mpaka wasemaji wa timu za mipira nao. Wanamuunga mkono.
Yaani ni makundi mengi sana.
Lakini upande wa Lisu anayetetea Haki na mambo mengi na makubwa zaidi pamepoa.
Lisu anatetea haki sio tuu za wenye HAKI bali mpaka haki za waliokosea.
Kwamba huyu ni muuaji lakini naye anahaki zake. Yaani mnyonge mnyongeni lakini haki zake mpeni. Mnyongeni kwa kufuata taratibu.
Fikiria watu walivyokuwa wanatekwa alafu kila makundi ya watu wawe wanapiga kelele.
Embu angalia picha ikivuja ya uchi watu watakavyoishabikia. Wanajua kabisa ni uovu. Lakini wanashabikia.
Fikiria suala la Engonga yule aliyevujisha video za uchi. Angalia vijana wanavyompenda. Licha ya kuwa ule ulikuwa udhalilishaji. Unaweza ukaona upo kwenye jamii ya aina gani.
Fikiria ongezeko la single mothers ambapo ni matokeo ya ngono zembe na zinaa.
Unapinga Single mothers alafu upande wa pili wanaume wanajisifu kutia mimba wanawake hovyohovyo.
Jamii yetu inahitaji kubadilishwa kifikra ambapo ndio kazi kubwa kuliko kazi yoyote duniani.
Ni rahisi kubadilisha uchumi lakini ni ngumu sana kubadilisha fikra.
Kubadilisha mfumo wa utamaduni.
Watu kupambana na chanzo badala ya kupambana na matokeo.
Mimi nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Kahama, Shinyanga
Mie mtu makini sana katika kuishi duniani siwezi kuishi kwa kanuni alizoziweka mwarabu kupitia uislam au mzungu kupitia ukristoHawawezi kukuelewa hapa, sana watakuja kuku attack na kashfa hiyo hiyo tu.
Hao ndio Wabongo.
Hujajibu swali langu mie nikiwa ***** wewe unaathirika na niniUnachaFua hali ya hewa.
Wengine tunashindwa kuishi kwa raha mustarehe.