Lissu anapigania Mambo ya msingi kuliko hata Dudu Baya. Lakini angalia akili za wabongo wengi. Hopelessly

Na minyama umeipakua hasa baba angu nimejipatia baba mhaya πŸ˜…πŸ˜…
 
Nenda taratibu na mumeo,sina mazowea na nyie machoko,hapa utapelekewa moto tu,huna marinda,so huna issue yeyote hapa,kajadili na machoko wenzako mlioshindwa kulinda migongo yenu.
Kama tunataka taifa lililo imara lazima tusaidie wenye Afya ya akili
labda hujajua madhara yake kuanzia kamari ulevi drugs abuse hizi zote zinapelkea tatizo la Afya ya akili najua mpka hapa nimekupa habari za schizophrenia lakini ambayo hii inatokea katika non organic psychoticdisorder
 
Hatuwezi kukubali ushoga mkuu, hata kama tuta ishi kimaskini
 
Huu uzi unawajadili nyie mapapai,hizo hoja zako kaanzishe uzi wako,usitaka kudivert issue ya kuwajadili mapapai,hiyo mbinu yako imesha feli tayari.
 
Lissu anapigania taifa sisi tunapigania jamii kwa ujumla hatutakubali wa punga ya exist na sisi tuna angalia tu
 
Huu uzi unawajadili nyie mapapai,hizo hoja zako kaanzishe uzi wako,usitaka kudivert issue ya kuwajadili mapapai,hiyo mbinu yako imesha feli tayari.
Hakuna tunajadili hapa hapa kwakuwa neno lipo wazi ww ndio umeniquote Mimi sijakufata wewe na mie sheria zangu kabla ya kujadiliana na mtu lazima nipime uwezo wake wa akili nisije kuwa naweka mjadala na mtu mwenye post traumatic disorder nikishajua basi naenda nae hivyo hivyo
Tena nimekumbuka jambo muhimu kabla sijakuelezea psychotic disorder lazima ujue akili inafanyaje kazi ambapo hapo utapata conscious mind na subcounsious mind
 
Acheni hizo nyie, dudubaya hizo hara kati kazianza Jana? Ina maana hatupaswi kujadili mambo mengine yanayohusu jamii zetu?

Hili suala linahusu jamii nyie mnaona ni upuuzi, nani asiyejua mchango wa lissu kupigania haki nchi hii? Mbona watu tumeshapaza sana sauti? Mnataka tufanyaje sasa ili mfurahi?
 

Unafikiri kwa nini jambo hili linaungwa mkono mpaka na wadau serikalini? Why now?
 
Wabunge ni wanafiki wengi ni waabudu miungu wanaogopa kuliwa vichwa

Kupinga Ushoga ni jambo rahisi kabisa kwa sababu ni ishu inayowahusu minority.
Pinga jambo ambalo hata wazazi au ndugu zako wa karibu au hata wewe unalifanya. Hapo tutapima uadilifu wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…