Lissu anapigania Mambo ya msingi kuliko hata Dudu Baya. Lakini angalia akili za wabongo wengi. Hopelessly

Lissu anapigania Mambo ya msingi kuliko hata Dudu Baya. Lakini angalia akili za wabongo wengi. Hopelessly

Hawezi kujigawanya kote huko amewaachia wengine,tuko Watanzania 65m kwa nini mnataka mmuachie peke yake majanga yote?huko kwingine unaweza ukasaidia hata wewe ila yeye hilo analofanya ndilo analolimudu
Kweli hii nchi, raia wake ni maiti zinazilotembea. Khaaah
 
Wabongo wanapenda kwenda na upepo wa vitu vyepesi vyepesi
wanapenda vitu vya mtandaoni umbea maisha ya watu maarufu nk

Asilimia 90 ya watanzania wanapenda udaku na umbeya..

Ni ngumu sana kumuamsha mfu wa akili!
Hii comment ungei bold kabisaa.
 
Wewe kichaa nani akuelewe muda wote unajiharishia tu,

Ungekua na uelewa ungewarespect wanaomsapoti Dudubaya,ungekua na uelewa usinge kua mjinga wa kutaka kuwapangia watu wafuatilie nini au wasifuatilie nini,
Nani amekupa mamlaka ya kuwapangia watu maisha?

Naona umeanza kujitongozesha kwa kuniwekea vi emoji vya kunichekea,kaa mbali na mimi,sina time na nyie mapapai.
Twende taratibu Mimi nataka nikupe habari za Afya ya akili ili taifa letu lisipotee maana dalili zote unaonyesha kuna aina 2
organic psychotic na non organic psychotic
Tuanze na ipi
 
Mbona wakati tunawasema maccm kwa ufisadi kwa kuwataja majina, hakuna anayelialia kama mbwa coco?
Iweje kutaja majina ya machoko iwe nongwa?
Hao mafisadi ushahidi ulikuweoo, vipi mashoga ushahidi upo??
 
Sikuchukulii serious mpaka ubadili avatar 😆 jokes

Hiyo quote ili ni ku quote umeandika wewe kweli😅😅
Naelewa mshangao wako mkuu😁😁 maana matendo yangu ya hovyo jukwaani na user name vinakupa mshangao lakini naitwa mwehu kwa sababu mkuu
(my mind operates beyond infinity so far beyond the ordinary that it borders on insanity).nimejipakulia minyama kidogo.
Pamoja sana Binti yangu
 
Twende taratibu Mimi nataka nikupe habari za Afya ya akili ili taifa letu lisipotee maana dalili zote unaonyesha kuna aina 2
organic psychotic na non organic psychotic
Tuanze na ipi
Nenda taratibu na mumeo,sina mazowea na nyie machoko,hapa utapelekewa moto tu,huna marinda,so huna issue yeyote hapa,kajadili na machoko wenzako mlioshindwa kulinda migongo yenu.
 
Bila kupinga maelezo yako yote, suala la dudubaya linatrend siku 2 hizi, baada ya hapo watu watahamia kwenye jingine. Bado watu wana muamko mkubwa sana na anachosimamia Lisu kuliko hili suala la dudubaya. Anchosimamia Lisu ni issue marathon, wakati hili la dudubaya nia mbio fupi.
Sio kwa wabongo, hili la dudu baya litatrend hadi walio lipanga wakamilishe jambo lao.
 
Kwa akili yako ndogo unafikiri Tundu Lissu angekuwa shoga angeweza kufanya anayofanya!? YBWB!
Lissu huyo huyo ndiye aliyepigania haki ya mashoga akasema ni faragha yao hawapaswi kuingiliwa, au habari huna??
 
Ko kumbe watu wanakimbilia huko km kipozeo cha kuogopa siasa kupotezwa??
Ukiacha kuogopa kupotezwa hyo michezo haikubaliki kijamii Wala kidini.
Sawa watu wanakwepa siasa wanakemea ushoga sababu ni jambo baya.
 
Ukiacha kuogopa kupotezwa hyo michezo haikubaliki kijamii Wala kidini.
Sawa watu wanakwepa siasa wanakemea ushoga sababu ni jambo baya.
Hii yako yote haina mashiko, kuna mashoga hawana dini, na kunao ambao jamii sio suala lao. Labda km una hoja nyingine mkuu, ruksa kuiweka.
 
Back
Top Bottom