Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
Bado huamini?Kwa hiyo unadhani saccos watashinda?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado huamini?Kwa hiyo unadhani saccos watashinda?.
Huyu huyu aliyefoji PhD na kuamua kumteka na kumpoteza Ben Saa8?Tumchague mwanasayansi na siyo mwingine ni DR JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI
Wanaumshabikia jiwe haziwatoshi na wengi ni mazezeta amefanya mambo mabaya sana kwa ustawi wa mwanadamuSiwezi kumchagua mtu asiyejali utu wa mwingine.
Magufuli katutesa watumishi wa umma kwa miaka mitano pasi kutupatia nyongeza ya mishahara wala kutupandisha vyeo.
Hayo madaraja yake aliyoyajenga hayawezi kunifanya mimi nipate kiinua mgongo kikubwa pale nitakapostaafu isipokuwa upandaji vyeo kwa wakati utaniwezesha kukomba mamilioni ya kutosha wakati wa kustaafu.
Meko ana hali ngumu sana uchguzi huu.
Wakati huohuo anasema pesa hipo pesa hipo na makusanyo yameongezeka.Siwezi kumchagua mtu asiyejali utu wa mwingine.