Lissu anashinda Kwa kishindo, Wajumbe wamteua Mwakajoka kuwa Mwenyekiti kwa kishindo dhidi ya Dickson Matata

Bado , Leo lazima macho yawe mekundu kwelikweli Kwa kipigo tunachoenda kuwapa.
Wewe ndio unadhani haya ni mashindano ya u Miss Tanzania. Akishinda Lissu itakuwa ishara ya ukomavu wa Mbowe kuiishi demokrasia. Sisi wengine ndicho tulichotaka. Hamna coronation. Boksi la kura liamue na karata ziangukie zitakako anguka. Tutasikitika mgombea wetu akishindwa lakini tutawatakia kila la kheri katika safari ya kufikisha chama chenu katika nchi ya ahadi.

Amandla...
 
Amin amini nakuambia, Timu Makengeza hamkua na mpango wowote wa Mabadiliko na kuwapigania Watanzania.

Ndio maana mlikuja na maridhiano uchwara.
 
Tafakuri za kijinga hizi! Huyo mwenyekiti ndiye anaweka kura kwenye sanduku?
 
Amin amini nakuambia, Timu Makengeza hamkua na mpango wowote wa Mabadiliko na kuwapigania Watanzania.

Ndio maana mlikuja na maridhiano uchwara.
Sawa. Na baada ya hapa mtaachana na hayo maridhiano uchwara na mtaleta mabadiliko ya Tume ya Uchaguzi na Katiba Mpya. Na mtashinda Uchaguzi Mkuu bila kushiriki. Hongereni sana.

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…