Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
- Thread starter
- #21
Makengeza lazima tumng'oeMbowe must go
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makengeza lazima tumng'oeMbowe must go
Wewe ndio unadhani haya ni mashindano ya u Miss Tanzania. Akishinda Lissu itakuwa ishara ya ukomavu wa Mbowe kuiishi demokrasia. Sisi wengine ndicho tulichotaka. Hamna coronation. Boksi la kura liamue na karata ziangukie zitakako anguka. Tutasikitika mgombea wetu akishindwa lakini tutawatakia kila la kheri katika safari ya kufikisha chama chenu katika nchi ya ahadi.Bado , Leo lazima macho yawe mekundu kwelikweli Kwa kipigo tunachoenda kuwapa.
Hana uwezo, alibebwa na Akina LISSU ,Heche , Lema Kwa mara zote kumwambia aendelee kua mwenyekiti.Nilichogundua Mbowe alizoea kupita bila kupingwa,safari hii kapewa fupa anahangahika nalo
Amin amini nakuambia, Timu Makengeza hamkua na mpango wowote wa Mabadiliko na kuwapigania Watanzania.Wewe ndio unadhani haya ni mashindano ya u Miss Tanzania. Akishinda Lissu itakuwa ishara ya ukomavu wa Mbowe kuiishi demokrasia. Sisi wengine ndicho tulichotaka. Hamna coronation. Boksi la kura liamue na karata ziangukie zitakako anguka. Tutasikitika mgombea wetu akishindwa lakini tutawatakia kila la kheri katika safari ya kufikisha chama chenu katika nchi ya ahadi.
Amandla...
Na kesho jua litachomoza na maisha yataendelea. Lissu atakuwa Mwenyekiti na Mbowe Mwenyekiti Emeritus. Mzigo wote utakuwa wenu. Hamna tena visingizio.Mtapigwa Leo kisawasawa
Tafakuri za kijinga hizi! Huyo mwenyekiti ndiye anaweka kura kwenye sanduku?Oyaaa oyaaa ni aibukwa Timu Mbowe...
Katibu Mkuu siakataka Wajumbe wapendekeze nani anakua mwenyekiti.
Timu Mbowe wakapendekeza DICKSON MATATA.
TIMU LISSU Wakapendekeza FRANK MWAKAJOKA.
Baada ya hapo, Si ikabidi Kura zipigwe ili Mwenyekiti wa Uchaguzi ajulikane.
Oyaaa oyaaaa Timu LISSU a.k.a MWAKAJOKA KASHINDA KWA KISHINDO CHA TRUMP.
Timu Mbowe matumbo joto, Kuna Mjumbe Mmoja wa Timu Mbowe akaanzisha Fujo, ikabidi KM MKUU MNYIKA aingilie Kati.
Tunapiga Makengeza, Tukishachukua Chama , tunakisafisha .Piga huyo Ayatollah Mbowe Samia Ccm
Asiyejua maana, haambiwi maana.Tafakuri za kijinga hizi! Huyo mwenyekiti ndiye anaweka kura kwenye sanduku?
Hana upande, ila wajumbe ndio wana upande. Hata hivyo, yeye ni msimamizi tu wa mchakato.Sasa Mwenyekiti anakuwaje na upande si ndio chanzo cha vurugu.
Sawa. Na baada ya hapa mtaachana na hayo maridhiano uchwara na mtaleta mabadiliko ya Tume ya Uchaguzi na Katiba Mpya. Na mtashinda Uchaguzi Mkuu bila kushiriki. Hongereni sana.Amin amini nakuambia, Timu Makengeza hamkua na mpango wowote wa Mabadiliko na kuwapigania Watanzania.
Ndio maana mlikuja na maridhiano uchwara.
Na kesho jua litachomoza na maisha yataendelea. Lissu atakuwa Mwenyekiti na Mbowe Mwenyekiti Emeritus. Mzigo wote utakuwa wenu. Hamna tena visingizio.
Amandla...
Na mimi nakufuata! Tutakuwa wapumbavu sana yaani chama tumpe diaspora?Lisu akishinda najitoa JF
cc: MaxmeloLisu akishinda najitoa JF
Sawa tuLisu akishinda najitoa JF
Lisu akishinda najitoa JF
Kwa nini mkamruhusu awe kwa boksi?Na mimi nakufuata! Tutakuwa wapumbavu sana yaani chama tumpe diaspora?
Lisu akishinda najitoa JF