Lissu anashinda Kwa kishindo, Wajumbe wamteua Mwakajoka kuwa Mwenyekiti kwa kishindo dhidi ya Dickson Matata

Sawa. Na baada ya hapa mtaachana na hayo maridhiano uchwara na mtaleta mabadiliko ya Tume ya Uchaguzi na Katiba Mpya. Na mtashinda uchaguzi bila kushiriki. Hongereni sana.

Amandla...
Kuna faida gan ya uchaguzi ambao CCM inapita bila kupingwa Majimbo yote?.

TUNDU LISSU kasema, ataongoza mapambano ya Katiba Mpya, na tume huru ya uchaguzi.
 
Aibu gani hii kwetu ccm🀣🀣🀣
 
Kuna faida gan ya uchaguzi ambao CCM inapita bila kupingwa Majimbo yote?.

TUNDU LISSU kasema, ataongoza mapambano ya Katiba Mpya, na tume huru ya uchaguzi.
Na ndio tunachosubiri. Tutaona kama uchaguzi hautakuwepo kwa sababu Lissu ameususia. Na hayo mapambano tunayangoja kwa hamu maana mpaka sasa haileweki kama mtakubali majadiliano, mtaingia barabarani au mtawatia adabu kupitia X. Au yote kwa pamoja. Mwezi wa sita hauko mbali na Zitto amekaa katika mkao wa kula.

Amandla...
 
Subirini kura
 
gentleman,
sasa ushindi hapo nini hasa mbona kama unaweweseka?πŸ’
 
Kuna watu wana matumaini akishinda Mbowe chama kitasonga mbele na Kuna watu wana matumaini akishinda Lissu chama kitasonga mbele pia.

Hao hao wana mashaka akishinda Lissu au akishinda Mbowe kuwa chama kitasinyaa.

La ukweli ambalo wote wanalikubali, ni kuwa baada ya uchaguzi huu maisha yataendelea na CHADEMA inatakiwa iwepo ikiwa bado ni tumaini la watanzania.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…