Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Go? Where?!Mbowe must go
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Go? Where?!Mbowe must go
Kwani JF ndio Lissu? Tutabanana humu humu. Na tutawakumbusha tambo na ahadi zao kila siku inayopita.Na mimi nakufuata! Tutakuwa wapumbavu sana yaani chama tumpe diaspora?
Kuna faida gan ya uchaguzi ambao CCM inapita bila kupingwa Majimbo yote?.Sawa. Na baada ya hapa mtaachana na hayo maridhiano uchwara na mtaleta mabadiliko ya Tume ya Uchaguzi na Katiba Mpya. Na mtashinda uchaguzi bila kushiriki. Hongereni sana.
Amandla...
Usichoelewa ni nini, au mshaanza kuchanganyikiwa?Tafakuri za kijinga hizi! Huyo mwenyekiti ndiye anaweka kura kwenye sanduku?
Jitoe mapema kabisaaLisu akishinda najitoa JF
Kulea wajukuu.Go? Where?!
Tunatunza risiti hii.Lisu akishinda najitoa JF
Aibu gani hii kwetu ccm🤣🤣🤣Oyaaa oyaaa ni aibukwa Timu Mbowe...
Katibu Mkuu siakataka Wajumbe wapendekeze nani anakua mwenyekiti.
Timu Mbowe wakapendekeza DICKSON MATATA.
TIMU LISSU Wakapendekeza FRANK MWAKAJOKA.
Baada ya hapo, Si ikabidi Kura zipigwe ili Mwenyekiti wa Uchaguzi ajulikane.
Oyaaa oyaaaa Timu LISSU a.k.a MWAKAJOKA KASHINDA KWA KISHINDO CHA TRUMP.
Timu Mbowe matumbo joto, Kuna Mjumbe Mmoja wa Timu Mbowe akaanzisha Fujo, ikabidi KM MKUU MNYIKA aingilie Kati.
Na ndio tunachosubiri. Tutaona kama uchaguzi hautakuwepo kwa sababu Lissu ameususia. Na hayo mapambano tunayangoja kwa hamu maana mpaka sasa haileweki kama mtakubali majadiliano, mtaingia barabarani au mtawatia adabu kupitia X. Au yote kwa pamoja. Mwezi wa sita hauko mbali na Zitto amekaa katika mkao wa kula.Kuna faida gan ya uchaguzi ambao CCM inapita bila kupingwa Majimbo yote?.
TUNDU LISSU kasema, ataongoza mapambano ya Katiba Mpya, na tume huru ya uchaguzi.
Udidhalilishe utu wa mtu boss ingefaa hii post ufute but tuko pamoja kwa TALMods naomba msiunganishe Huu Uzi ili TIMU MAKENGEZA wajioneee .
Kipimo cha ushindi wa Lissu kitaanza kesho. Honeymoon haitadumu milele.
Amandla...
Subirini kuraOyaaa oyaaa ni aibukwa Timu Mbowe...
Katibu Mkuu siakataka Wajumbe wapendekeze nani anakua mwenyekiti.
Timu Mbowe wakapendekeza DICKSON MATATA.
TIMU LISSU Wakapendekeza FRANK MWAKAJOKA.
Baada ya hapo, Si ikabidi Kura zipigwe ili Mwenyekiti wa Uchaguzi ajulikane.
Oyaaa oyaaaa Timu LISSU a.k.a MWAKAJOKA KASHINDA KWA KISHINDO CHA TRUMP.
Timu Mbowe matumbo joto, Kuna Mjumbe Mmoja wa Timu Mbowe akaanzisha Fujo, ikabidi KM MKUU MNYIKA aingilie Kati.
NAtamani Lissu+Heche+Lema+Mpuna siku moja. Watengeneze colaboTunapiga Makengeza, Tukishachukua Chama , tunakisafisha .
Orodha ipo ya watu watakaopigwa Panga.
Hamna namna.
gentleman,Oyaaa oyaaa ni aibukwa Timu Mbowe...
Katibu Mkuu siakataka Wajumbe wapendekeze nani anakua mwenyekiti.
Timu Mbowe wakapendekeza DICKSON MATATA.
TIMU LISSU Wakapendekeza FRANK MWAKAJOKA.
Baada ya hapo, Si ikabidi Kura zipigwe ili Mwenyekiti wa Uchaguzi ajulikane.
Oyaaa oyaaaa Timu LISSU a.k.a MWAKAJOKA KASHINDA KWA KISHINDO CHA TRUMP.
Timu Mbowe matumbo joto, Kuna Mjumbe Mmoja wa Timu Mbowe akaanzisha Fujo, ikabidi KM MKUU MNYIKA aingilie Kati.
😆😆😆😆Frank Mwakajoka amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa uchaguzi wa CHADEMA ambao unaondelea katika ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam leo Jumanne Januari 21, 2025.
Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?
Frank Mwakajoka inadaiwa kuwa ni Timu Lissu, ambapo imeonyesha nguvu kwa upande huo katika kushinda nafasi hiyo ya uwenyekiti wa CHADEMA Taifa.