Lissu anashinda Kwa kishindo, Wajumbe wamteua Mwakajoka kuwa Mwenyekiti kwa kishindo dhidi ya Dickson Matata

Sawa. Na baada ya hapa mtaachana na hayo maridhiano uchwara na mtaleta mabadiliko ya Tume ya Uchaguzi na Katiba Mpya. Na mtashinda uchaguzi bila kushiriki. Hongereni sana.

Amandla...
Kuna faida gan ya uchaguzi ambao CCM inapita bila kupingwa Majimbo yote?.

TUNDU LISSU kasema, ataongoza mapambano ya Katiba Mpya, na tume huru ya uchaguzi.
 
Oyaaa oyaaa ni aibukwa Timu Mbowe...

Katibu Mkuu siakataka Wajumbe wapendekeze nani anakua mwenyekiti.

Timu Mbowe wakapendekeza DICKSON MATATA.

TIMU LISSU Wakapendekeza FRANK MWAKAJOKA.

Baada ya hapo, Si ikabidi Kura zipigwe ili Mwenyekiti wa Uchaguzi ajulikane.

Oyaaa oyaaaa Timu LISSU a.k.a MWAKAJOKA KASHINDA KWA KISHINDO CHA TRUMP.

Timu Mbowe matumbo joto, Kuna Mjumbe Mmoja wa Timu Mbowe akaanzisha Fujo, ikabidi KM MKUU MNYIKA aingilie Kati.
Aibu gani hii kwetu ccm🤣🤣🤣
 
Kuna faida gan ya uchaguzi ambao CCM inapita bila kupingwa Majimbo yote?.

TUNDU LISSU kasema, ataongoza mapambano ya Katiba Mpya, na tume huru ya uchaguzi.
Na ndio tunachosubiri. Tutaona kama uchaguzi hautakuwepo kwa sababu Lissu ameususia. Na hayo mapambano tunayangoja kwa hamu maana mpaka sasa haileweki kama mtakubali majadiliano, mtaingia barabarani au mtawatia adabu kupitia X. Au yote kwa pamoja. Mwezi wa sita hauko mbali na Zitto amekaa katika mkao wa kula.

Amandla...
 
Kipimo cha ushindi wa Lissu kitaanza kesho. Honeymoon haitadumu milele.

Amandla...
1000228167.jpg
 
Oyaaa oyaaa ni aibukwa Timu Mbowe...

Katibu Mkuu siakataka Wajumbe wapendekeze nani anakua mwenyekiti.

Timu Mbowe wakapendekeza DICKSON MATATA.

TIMU LISSU Wakapendekeza FRANK MWAKAJOKA.

Baada ya hapo, Si ikabidi Kura zipigwe ili Mwenyekiti wa Uchaguzi ajulikane.

Oyaaa oyaaaa Timu LISSU a.k.a MWAKAJOKA KASHINDA KWA KISHINDO CHA TRUMP.

Timu Mbowe matumbo joto, Kuna Mjumbe Mmoja wa Timu Mbowe akaanzisha Fujo, ikabidi KM MKUU MNYIKA aingilie Kati.
Subirini kura
 
gentleman,
sasa ushindi hapo nini hasa mbona kama unaweweseka?🐒
 
Kuna watu wana matumaini akishinda Mbowe chama kitasonga mbele na Kuna watu wana matumaini akishinda Lissu chama kitasonga mbele pia.

Hao hao wana mashaka akishinda Lissu au akishinda Mbowe kuwa chama kitasinyaa.

La ukweli ambalo wote wanalikubali, ni kuwa baada ya uchaguzi huu maisha yataendelea na CHADEMA inatakiwa iwepo ikiwa bado ni tumaini la watanzania.
 
Frank Mwakajoka amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa uchaguzi wa CHADEMA ambao unaondelea katika ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam leo Jumanne Januari 21, 2025.

Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?

Frank Mwakajoka inadaiwa kuwa ni Timu Lissu, ambapo imeonyesha nguvu kwa upande huo katika kushinda nafasi hiyo ya uwenyekiti wa CHADEMA Taifa.

😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom