Lissu anashinda Kwa kishindo, Wajumbe wamteua Mwakajoka kuwa Mwenyekiti kwa kishindo dhidi ya Dickson Matata

Ngoja nilale nitakutana na matokeo nikiamka

Btw, hawa wamejipanga na ataekosa uenyekiti ndio atakuwa mgombea Urais
 
Kimbungaa
 
Nuru haiwezi kwenda na giza Kitendo cha FAM kuweka karibu Mganga wa kienyeji YERIKO NYERERE , ndo madhara yake aya
 
Ameteuliwa Mwakajoka kimkakati kwamba atakapotangaza matokeo ya Mbowe kashinda, mshikane mashati Timu Lissu wenyewe kwa wenyewe. Kumbuka ni Lema ndio mhesabuji mkuu w Lissu. Hapo unalalamikia nini?
 
Mjumbe wangu ukisha nichagulia lissu , safari ya kwanza nitaenda kwa YERIKO NYERERE, nachukua shamba lake la bamia lote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…