Konda wa bajaj
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 604
- 918
UTV ya azamchannel ipi inaonesha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UTV ya azamchannel ipi inaonesha
Hawawezi kuunganisha mods wenyewe wanamtaka Lissu😂Mods naomba msiunganishe Huu Uzi ili TIMU MAKENGEZA wajioneee .
Crown TVchannel ipi inaonesha
Wenzako kijana, wameamua kuweka katiba Yao kapuni.Itakuwa wanafata katiba yao
KimbungaaOyaaa oyaaa ni aibu kwa Timu Mbowe...
Katibu Mkuu siakataka Wajumbe wapendekeze nani anakuwa mwenyekiti.
Timu Mbowe wakapendekeza DICKSON MATATA.
TIMU LISSU Wakapendekeza FRANK MWAKAJOKA.
Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?
Baada ya hapo, Si ikabidi Kura zipigwe ili Mwenyekiti wa Uchaguzi ajulikane.
Oyaaa oyaaaa Timu LISSU a.k.a MWAKAJOKA KASHINDA KWA KISHINDO CHA TRUMP.
Timu Mbowe matumbo joto, Kuna Mjumbe Mmoja wa Timu Mbowe akaanzisha Fujo, ikabidi KM MKUU MNYIKA aingilie Kati.
LISSU ni mwenyekiti na ni Mgombea.Ngoja nilale nitakutana na matokeo nikiamka
Btw, hawa wamejipanga na ataekosa uenyekiti ndio atakuwa mgombea Urais
Watu wa chama kimoja mnatukanana, ni akili au matope kichwani?Mods naomba msiunganishe Huu Uzi ili TIMU MAKENGEZA wajioneee .
Crown TV
kama ubongo wako unachenga chenga huwezi elewaSasa hapa mwakanjuki team lissu anaongezaje kura kwa lissu?
Kufa kabisa!Lisu akishinda najitoa JF
Ameteuliwa Mwakajoka kimkakati kwamba atakapotangaza matokeo ya Mbowe kashinda, mshikane mashati Timu Lissu wenyewe kwa wenyewe. Kumbuka ni Lema ndio mhesabuji mkuu w Lissu. Hapo unalalamikia nini?Oyaaa oyaaa ni aibu kwa Timu Mbowe...
Katibu Mkuu siakataka Wajumbe wapendekeze nani anakuwa mwenyekiti.
Timu Mbowe wakapendekeza DICKSON MATATA.
TIMU LISSU Wakapendekeza FRANK MWAKAJOKA.
Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?
Baada ya hapo, Si ikabidi Kura zipigwe ili Mwenyekiti wa Uchaguzi ajulikane.
Oyaaa oyaaaa Timu LISSU a.k.a MWAKAJOKA KASHINDA KWA KISHINDO CHA TRUMP.
Timu Mbowe matumbo joto, Kuna Mjumbe Mmoja wa Timu Mbowe akaanzisha Fujo, ikabidi KM MKUU MNYIKA aingilie Kati.
Nimecheka kwa nguv kddkNilichogundua Mbowe alizoea kupita bila kupingwa,safari hii kapewa fupa anahangahika nalo
Sio kweliNgoja nilale nitakutana na matokeo nikiamka
Btw, hawa wamejipanga na ataekosa uenyekiti ndio atakuwa mgombea Urais
Hujui Dunia weweNa mimi nakufuata! Tutakuwa wapumbavu sana yaani chama tumpe diaspora?
Huwezi ,utoka nakuja na Id nyingine ,wadanganye wajingaLisu akishinda najitoa JF