Lissu anashinda Kwa kishindo, Wajumbe wamteua Mwakajoka kuwa Mwenyekiti kwa kishindo dhidi ya Dickson Matata

Sasa Mwenyekiti anakuwaje na upande si ndio chanzo cha vurugu.
Kazi ya Mwakajoka ni kuhakikisha tu kuwa hakuna figisu, kunakuwa na haki.

HAKI ikitamalaki Ayatollah Mbowe hutaamini, lazima aangukie pua mapema tu
 
Wakuu WENJE ANALIA LIAAAA ANALIAAAAA ANALIAAAA

Mwishooooon anajikuta analopoka 'Et yupo tayari kufanya kazi na mwenyekiti yoyote'
 
Ni ngumu sana kufanya ushirila na Shetani alafu hapohapo uwe na kibali
 
Oyaaa oyaaa ni aibu kwa Timu Mbowe...

Katibu Mkuu siakataka Wajumbe wapendekeze nani anakuwa mwenyekiti.

Timu Mbowe wakapendekeza DICKSON MATATA.

TIMU LISSU Wakapendekeza FRANK MWAKAJOKA.

Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?

Baada ya hapo, Si ikabidi Kura zipigwe ili Mwenyekiti wa Uchaguzi ajulikane.

Oyaaa oyaaaa Timu LISSU a.k.a MWAKAJOKA KASHINDA KWA KISHINDO CHA TRUMP.

Timu Mbowe matumbo joto, Kuna Mjumbe Mmoja wa Timu Mbowe akaanzisha Fujo, ikabidi KM MKUU MNYIKA aingilie Kati.
Leo utapona kichaa
 
Tutaelewana tu!
 
Back
Top Bottom