Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
HellGo? Where?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HellGo? Where?!
Weka kapuni MkuuHuwezi ,utoka nakuja na Id nyingine ,wadanganye wajinga
Hana shamba lolote chawa yuleMjumbe wangu ukisha nichagulia lissu , safari ya kwanza nitaenda kwa YERIKO NYERERE, nachukua shamba lake la bamia lote
Kumbuka wamepigiwa kura nani awe mwenyekiti, so kashinda maana yake team lissu wamekua wengi kuliko team Mbowe , nuru njema hiiSasa hapa mwakanjuki team lissu anaongezaje kura kwa lissu?
asante nafatilia hapa lakini inaonesha CHADEMA wajumbe somo la utulivu vikaoni .....hawakulielewa wanatuboa sisi watanzamaji .....red bregade haipoCrown TV
kuna mwenzako kajibu vema, we unajibu nyodokama ubongo wako unachenga chenga huwezi elewa
Kazi ya Mwakajoka ni kuhakikisha tu kuwa hakuna figisu, kunakuwa na haki.Sasa Mwenyekiti anakuwaje na upande si ndio chanzo cha vurugu.
mwezangu kivipi kwamba mkewangukuna mwenzako kajibu vema, we unajibu nyodo
Isije ikawa wanampa kamba ya kujinyonga mwenyewe🐼Kumbuka wamepigiwa kura nani awe mwenyekiti, so kashinda maana yake team lissu wamekua wengi kuliko team Mbowe , nuru njema hii
mbona kama umelewa skanka? Usijitoe ufahamumwezangu kivipi kwamba mkewangu
Haha wenje kaka kisanii sanii sanaWakuu WENJE ANALIA LIAAAA ANALIAAAAA ANALIAAAA
Mwishooooon anajikuta analopoka 'Et yupo tayari kufanya kazi na mwenyekiti yoyote'
Leo utapona kichaaOyaaa oyaaa ni aibu kwa Timu Mbowe...
Katibu Mkuu siakataka Wajumbe wapendekeze nani anakuwa mwenyekiti.
Timu Mbowe wakapendekeza DICKSON MATATA.
TIMU LISSU Wakapendekeza FRANK MWAKAJOKA.
Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?
Baada ya hapo, Si ikabidi Kura zipigwe ili Mwenyekiti wa Uchaguzi ajulikane.
Oyaaa oyaaaa Timu LISSU a.k.a MWAKAJOKA KASHINDA KWA KISHINDO CHA TRUMP.
Timu Mbowe matumbo joto, Kuna Mjumbe Mmoja wa Timu Mbowe akaanzisha Fujo, ikabidi KM MKUU MNYIKA aingilie Kati.
Tutaelewana tu!Oyaaa oyaaa ni aibu kwa Timu Mbowe...
Katibu Mkuu siakataka Wajumbe wapendekeze nani anakuwa mwenyekiti.
Timu Mbowe wakapendekeza DICKSON MATATA.
TIMU LISSU Wakapendekeza FRANK MWAKAJOKA.
Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?
Baada ya hapo, Si ikabidi Kura zipigwe ili Mwenyekiti wa Uchaguzi ajulikane.
Oyaaa oyaaaa Timu LISSU a.k.a MWAKAJOKA KASHINDA KWA KISHINDO CHA TRUMP.
Timu Mbowe matumbo joto, Kuna Mjumbe Mmoja wa Timu Mbowe akaanzisha Fujo, ikabidi KM MKUU MNYIKA aingilie Kati.
Majaji wa supreme court Marekani wanajulikana kwa pande zao za kisiasa, ndio iwe msimamizi uchaguzi chadema?Sasa Mwenyekiti anakuwaje na upande si ndio chanzo cha vurugu.
Hapa game over…. Lissu akajipange upya!Majaji wa supreme court Marekani wanajulikana kwa pande zao za kisiasa, ndio iwe msimamizi uchaguzi chadema?