Uchaguzi 2020 Lissu anatumia njia gani kukusanya mafuriko yake?

Uchaguzi 2020 Lissu anatumia njia gani kukusanya mafuriko yake?

luvcyna

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2009
Posts
1,848
Reaction score
1,940
Ndugu zangu wa upande wa pili mimi mwanachama dormant wa mboga mboga, nina swali kwenu
Kwa kweli nimeshindwa kuelewa Lissu anatumia njia zipi kukusanya umati kwenye mikutano yake, bado nashindwa kukubali kama ni hizi spika za matangazo peke yake zinazopita masaa mawili kabla.

Leo alipita katika jimbo nililopo, gari la matangazo likapita masaa mawili tu kabla, lakini cha ajabu nimeshindwa kuelewa taarifa zimewafikiaje watu wote waliojaa uwanjani ndani ya masaa mawili tu?

Leo nimeshuhudia Impact ya Ponda kwa sie muslims, kwenye kila vijiwe vyetu vya dini yetu muamko umeibuka ghafla, sijui huwa tukoje inapotoka tu TAKBIIIR kwa kinywa cha sheikh mwenye ushawishi kiwango cha ponda msisimko unakuwa wa ajabu sana na kurudi nyuma inakuwa mwiko.

Viongozi wangu polepole najua unasoma humu, nashauri mshughulikie hili la Sheikh Ponda mapema litakwenda kuvuruga kila kitu. Kumbukeni Ponda ni kiongozi wa waumini wenye msimamo mkali, hawa walikuwa washa giveup kupiga kura, ujio wa Ponda unakwenda kuwaamsha vibaya mno.

Update:
Nasikia hapa chopa zimezuiliwa kuruka mara baada ya Mnyika kutangaza idadi ya mikutano watakayofanya. Good move mboga mboga
 
Watu wengi wanaenda kushangaa vioja vyake.

Huoni hata huku mtaani vikao vya mipasho, mikutano ya umbea hujaza kuliko mikutano ya maendeleo ngazi ya mtaa.
 
Wote hukusanywa na neno moja tu: USHOGA

IMG_0079.jpg

IMG_0410.jpg
 
Wote hukusanywa na neno moja tu: USHOGA
Tunakwenda kuwafundisha adabu tarehe 28.

Tunamkataa shetani na kazi zake, tena mnekuwa mna akili japo za kuvukia barabara hizo nyumba mmazogawana mngesubiri kwanza uchaguzi upite, ila msivyo na akili mnadhani ni political millage kumne ndio mnazidi kuwajaza hasira raia waliopigiga na maisha magumu.
 
Back
Top Bottom