Uchaguzi 2020 Lissu anatumia njia gani kukusanya mafuriko yake?

Mwaka huu anayefikiria kwamba Magufuli atarudi ikulu tena afikirie kwa umakini sana habari za ndani zinasema anajifungia chumbani mwenyewe na kulia kila siku.

Na vyombo vya usalama vitamuweka mtu Kati baada ya jahazi kuzama..

Uchaguzi wa mwaka huu ni wa kihistoria utakumbukwa kwa vizazi na vizazi.
 
Magufuli ndiye Rais wa Tanzania kwa 89%,Lissu 9%.
IMG_20201017_161714_577.jpg
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
 
Mwaka huu anayefikiria kwamba Magufuli atarudi ikulu tena afikirie kwa umakini sana habari za ndani zinasema anajifungia chumbani mwenyewe na kulia kila siku.

Na vyombo vya usalama vitamuweka mtu Kati baada ya jahazi kuzama..

Uchaguzi wa mwaka huu ni wa kihistoria utakumbukwa kwa vizazi na vizazi.
Utopolo mtupu, ungejua hakuna mtanzania makini na Mzalendo atakaye pigia kura genge la wahuni ungejikalia kimya tu. Lissu mmemwingiza chaka, angegombea ubunge tu ingekuwa kheri kwake.
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
IMG_20201017_221108_276.jpg

Ndani ya dreamliner 787-8.Mwenyekiti wa saccos na wajumbe wake. Maendeleo ya vitu mabaya Sana. Manyumbu kazi mnayo Oct 28.
 
Ndugu zangu wa upande wa pili mimi mwanachama dormant wa mboga mboga, nina swali kwenu
Kwa kweli nimeshindwa kuelewa Lissu anatumia njia zipi kukusanya umati kwenye mikutano yake, bado nashindwa kukubali kama ni hizi spika za matangazo peke yake zinazopita masaa mawili kabla.

Leo alipita katika jimbo nililopo, gari la matangazo likapita masaa mawili tu kabla, lakini cha ajabu nimeshindwa kuelewa taarifa zimewafikiaje watu wote waliojaa uwanjani ndani ya masaa mawili tu?

Leo nimeshuhudia Impact ya Ponda kwa sie muslims, kwenye kila vijiwe vyetu vya dini yetu muamko umeibuka ghafla, sijui huwa tukoje inapotoka tu TAKBIIIR kwa kinywa cha sheikh mwenye ushawishi kiwango cha ponda msisimko unakuwa wa ajabu sana na kurudi nyuma inakuwa mwiko.

Viongozi wangu polepole najua unasoma humu, nashauri mshughulikie hili la Sheikh Ponda mapema litakwenda kuvuruga kila kitu. Kumbukeni Ponda ni kiongozi wa waumini wenye msimamo mkali, hawa walikuwa washa giveup kupiga kura, ujio wa Ponda unakwenda kuwaamsha vibaya mno.
Mmetutawala sisi km mifugo watu wanataka haki.uhuru na maendeleo
 
Watu wengi wanaenda kushangaa vioja vyake.

Huoni hata huku mtaani vikao vya mipasho, mikutano ya umbea hujaza kuliko mikutano ya maendeleo ngazi ya mtaa.
Bia yetu njoo huku uone CCM wamebariki ushoga kwa maandishi
Wee huoni number two anavyowasaga wanawake wetu. Yani dem hapiti mbele yake bila kumsugua. Aibu kwelix2
 
Wote hukusanywa na neno moja tu: USHOGA
Ndugu kuwa makini katika maneno yako, utapata 'Laana' bure, kwa ujira mdogo 7,000/- watu wanaoshiri moja kwa moja kwenye mikutano ya kampeni za CHADEMA/LISSU hawawezi kuchangamana kivyovyote juu ya suala la 'Ushoga' ,

Kuwa makini ndugu yangu, Mashekh (eg Ponds), maaskof , wachungaji. Wasomi, wengi ni Wapinzani/CHADEMA.

JE, wanasuport Ushoga ???!
 
Ndugu zangu wa upande wa pili mimi mwanachama dormant wa mboga mboga, nina swali kwenu
Kwa kweli nimeshindwa kuelewa Lissu anatumia njia zipi kukusanya umati kwenye mikutano yake, bado nashindwa kukubali kama ni hizi spika za matangazo peke yake zinazopita masaa mawili kabla.

Leo alipita katika jimbo nililopo, gari la matangazo likapita masaa mawili tu kabla, lakini cha ajabu nimeshindwa kuelewa taarifa zimewafikiaje watu wote waliojaa uwanjani ndani ya masaa mawili tu?

Leo nimeshuhudia Impact ya Ponda kwa sie muslims, kwenye kila vijiwe vyetu vya dini yetu muamko umeibuka ghafla, sijui huwa tukoje inapotoka tu TAKBIIIR kwa kinywa cha sheikh mwenye ushawishi kiwango cha ponda msisimko unakuwa wa ajabu sana na kurudi nyuma inakuwa mwiko.

Viongozi wangu polepole najua unasoma humu, nashauri mshughulikie hili la Sheikh Ponda mapema litakwenda kuvuruga kila kitu. Kumbukeni Ponda ni kiongozi wa waumini wenye msimamo mkali, hawa walikuwa washa giveup kupiga kura, ujio wa Ponda unakwenda kuwaamsha vibaya mno.
Maelekezo kutoka Juu mbinguni
 
Wee huoni number two anavyowasaga wanawake wetu. Yani dem hapiti mbele yake bila kumsugua. Aibu kwelix2
Mnaweza prove hili jambo??

Au ndio hearsay tu! Hamshindwi kuzusha mambo nyie.

Kama kiongozi wenu mmoja alitangaza Magufuli(Rais) amefariki, lakini mpaka sasa tupa nae!

Kwanini hii scandal ishindikane.
 
Acha uzwazwa wewe
Ndugu kuwa makini katika maneno yako, utapata 'Laana' bure, kwa ujira mdogo 7,000/- watu wanaoshiri moja kwa moja kwenye mikutano ya kampeni za CHADEMA/LISSU hawawezi kuchangamana kivyovyote juu ya suala la 'Ushoga' ,

Kuwa makini ndugu yangu, Mashekh (eg Ponds), maaskof , wachungaji. Wasomi, wengi ni Wapinzani/CHADEMA.

JE, wanasuport Ushoga ???!
 
Ndugu zangu wa upande wa pili mimi mwanachama dormant wa mboga mboga, nina swali kwenu
Kwa kweli nimeshindwa kuelewa Lissu anatumia njia zipi kukusanya umati kwenye mikutano yake, bado nashindwa kukubali kama ni hizi spika za matangazo peke yake zinazopita masaa mawili kabla.

Leo alipita katika jimbo nililopo, gari la matangazo likapita masaa mawili tu kabla, lakini cha ajabu nimeshindwa kuelewa taarifa zimewafikiaje watu wote waliojaa uwanjani ndani ya masaa mawili tu?

Leo nimeshuhudia Impact ya Ponda kwa sie muslims, kwenye kila vijiwe vyetu vya dini yetu muamko umeibuka ghafla, sijui huwa tukoje inapotoka tu TAKBIIIR kwa kinywa cha sheikh mwenye ushawishi kiwango cha ponda msisimko unakuwa wa ajabu sana na kurudi nyuma inakuwa mwiko.

Viongozi wangu polepole najua unasoma humu, nashauri mshughulikie hili la Sheikh Ponda mapema litakwenda kuvuruga kila kitu. Kumbukeni Ponda ni kiongozi wa waumini wenye msimamo mkali, hawa walikuwa washa giveup kupiga kura, ujio wa Ponda unakwenda kuwaamsha vibaya mno.

Kuna watu wanapedwa na nikipaji cha Mungu hakuna binadamu anaweza kuzuia
 
Back
Top Bottom