Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utopolo mtupu, ungejua hakuna mtanzania makini na Mzalendo atakaye pigia kura genge la wahuni ungejikalia kimya tu. Lissu mmemwingiza chaka, angegombea ubunge tu ingekuwa kheri kwake.
Lissu anakera sana,yani anafanya sifa mpka wagombea wa ccm wanapotea....mtoa pesa wa serikali kawa ombaomba na kipigo anachopigwa hatasau.atarudi kwenye ladies free ya raisNdugu zangu wa upande wa pili mimi mwanachama dormant wa mboga mboga, nina swali kwenu
Kwa kweli nimeshindwa kuelewa Lissu anatumia njia zipi kukusanya umati kwenye mikutano yake, bado nashindwa kukubali kama ni hizi spika za matangazo peke yake zinazopita masaa mawili kabla.
Leo alipita katika jimbo nililopo, gari la matangazo likapita masaa mawili tu kabla, lakini cha ajabu nimeshindwa kuelewa taarifa zimewafikiaje watu wote waliojaa uwanjani ndani ya masaa mawili tu?
Leo nimeshuhudia Impact ya Ponda kwa sie muslims, kwenye kila vijiwe vyetu vya dini yetu muamko umeibuka ghafla, sijui huwa tukoje inapotoka tu TAKBIIIR kwa kinywa cha sheikh mwenye ushawishi kiwango cha ponda msisimko unakuwa wa ajabu sana na kurudi nyuma inakuwa mwiko.
Viongozi wangu polepole najua unasoma humu, nashauri mshughulikie hili la Sheikh Ponda mapema litakwenda kuvuruga kila kitu. Kumbukeni Ponda ni kiongozi wa waumini wenye msimamo mkali, hawa walikuwa washa giveup kupiga kura, ujio wa Ponda unakwenda kuwaamsha vibaya mno.
Mkuu huyu Tundu Lissu ni kiboko. Juzi kapita hapa Shinyanga gari likawa linatangaza kwamba atapita hapo mjini lakini hatakuwa na mkutano. Wee, raia wakajikusanya kwamba walimzuia asipite bile kuacha neno sasa policcm wakaanza kuzuia watu wasikusanyike. Wakatishia kuwapiga mabomu raia wakasambaa. Kama nusu saa wakasikia jamaa amekaribia mjini raia wakarudi kama wote polisi walipomwona Tundu Lissu wakagwaya mikia down! Jamaa likapiga show hapo kama ya nusu saa! Lissu amekubarika!Sasa nendeni mkamkamate mbele ya T. LISSU mzee wa maamuzi, kama hajawaamuru watu wawashugulikie.!!
Mkuu wafungashe mabegi tu kwa AMANI...Agombee ubunge ili mumpige risasi kisha mumvue ubunge? Safari hii anataka cheo unachoweza kuagiza mtu apigwe risasi na kuvua watu ubunge. Na yeye anataka aone raha ya kumiliki kundi la watu wasiojulikana fullstop.
AI see 😂 😂 😂 😂 😂 😂Lukuvi alisema ana kamzizi ka kuvuta watu,itakua ni kweli
Kuhusu ponda inahitajka sindano Moja tu
Maendeleo hayana chama
Bwana bwana balaa hilo 😂 😂 😂Eehhh ndio mnataka kumkamata na kesi ya kizushi??
Sahivi hampapati ng'ooo , harudi kwake mpaka kampeni ziishe.
Sasa nendeni mkamkamate mbele ya T. LISSU mzee wa maamuzi, kama hajawaamuru watu wawashugulikie.!!
Hahaaaa 😂 😂 😂 kmmk
Wabheja sana Ngalo Mkuu ...kuna karai linagombea hapo ...akatafute kazi nyingine BOB MAKANI lazima TUMPIGIE SALUTIMkuu huyu Tundu Lissu ni kiboko. Juzi kapita hapa Shinyanga gari likawa linatangaza kwamba atapita hapo mjini lakini hatakuwa na mkutano. Wee, raia wakajikusanya kwamba walimzuia asipite bile kuacha neno sasa policcm wakaanza kuzuia watu wasikusanyike. Wakatishia kuwapiga mabomu raia wakasambaa. Kama nusu saa wakasikia jamaa amekaribia mjini raia wakarudi kama wote polisi walipomwona Tundu Lissu wakagwaya mikia down! Jamaa likapiga show hapo kama ya nusu saa! Lissu amekubarika!
kuwapiga mabomu
Oyaa 😂Madhara ya kuzaliwa na mtu aliyemwaga akiwa amelewa
Hela ya kuwajengea wastaafu (wenye majumba kibao) ipo lkn kupandisha mishahara ya wafanyakazi wanyonge inasubiri reli ikamilike.Ni bora aedelee kukagua miradi maana akienda kwenye mikutano ya kampeni ndiyo anaharibu zaidi.Swali moja tu CCM watujibu,hizo nyumba za wastaafu zilipangiwa bajeti bungeni?
Lakini napata likes nyingi sanaNafikiri wewe ni mjinga sana humu ndani......most of your posts huwa una andika ujinga tu
I got a reason to add you in my ignore listWatu wengi huwa wanaenda wakiwa wamebeba sumaku wanataka kujaribu kumvuta Lissu kama atanasa. Si unajua jamaa ana vyuma mwili mzima.
Nimekupa Like ...niko Picnic mpaka sasa hujapata mtoto.....njoo pande hizi na SPANALakini napata likes nyingi sana
Wakuu zangu haya ya maneno ya sindano ya fuu yanatoka wapi katika tz yetu ?nashangaa na bado nashangaa !! Maneno mazito mmoLukuvi alisema ana kamzizi ka kuvuta watu,itakua ni kweli
Kuhusu ponda inahitajka sindano Moja tu
Maendeleo hayana chama
Ndugu zangu wa upande wa pili mimi mwanachama dormant wa mboga mboga, nina swali kwenu
Kwa kweli nimeshindwa kuelewa Lissu anatumia njia zipi kukusanya umati kwenye mikutano yake, bado nashindwa kukubali kama ni hizi spika za matangazo peke yake zinazopita masaa mawili kabla.
Leo alipita katika jimbo nililopo, gari la matangazo likapita masaa mawili tu kabla, lakini cha ajabu nimeshindwa kuelewa taarifa zimewafikiaje watu wote waliojaa uwanjani ndani ya masaa mawili tu?
Leo nimeshuhudia Impact ya Ponda kwa sie muslims, kwenye kila vijiwe vyetu vya dini yetu muamko umeibuka ghafla, sijui huwa tukoje inapotoka tu TAKBIIIR kwa kinywa cha sheikh mwenye ushawishi kiwango cha ponda msisimko unakuwa wa ajabu sana na kurudi nyuma inakuwa mwiko.
Viongozi wangu polepole najua unasoma humu, nashauri mshughulikie hili la Sheikh Ponda mapema litakwenda kuvuruga kila kitu. Kumbukeni Ponda ni kiongozi wa waumini wenye msimamo mkali, hawa walikuwa washa giveup kupiga kura, ujio wa Ponda unakwenda kuwaamsha vibaya mno.
Nipo PhD ya magufuliUnasoma darasa la ngapi?