Uchaguzi 2020 Lissu anatumia njia gani kukusanya mafuriko yake?

Ndugu zangu wa upande wa pili mimi mwanachama dormant wa mboga mboga, nina swali kwenu
Kwa kweli nimeshindwa kuelewa Lissu anatumia njia zipi kukusanya umati kwenye mikutano yake, bado nashindwa kukubali kama ni hizi spika za matangazo peke yake zinazopita masaa mawili kabla.

Leo alipita katika jimbo nililopo, gari la matangazo likapita masaa mawili tu kabla, lakini cha ajabu nimeshindwa kuelewa taarifa zimewafikiaje watu wote waliojaa uwanjani ndani ya masaa mawili tu?

Leo nimeshuhudia Impact ya Ponda kwa sie muslims, kwenye kila vijiwe vyetu vya dini yetu muamko umeibuka ghafla, sijui huwa tukoje inapotoka tu TAKBIIIR kwa kinywa cha sheikh mwenye ushawishi kiwango cha ponda msisimko unakuwa wa ajabu sana na kurudi nyuma inakuwa mwiko.

Viongozi wangu polepole najua unasoma humu, nashauri mshughulikie hili la Sheikh Ponda mapema litakwenda kuvuruga kila kitu. Kumbukeni Ponda ni kiongozi wa waumini wenye msimamo mkali, hawa walikuwa washa giveup kupiga kura, ujio wa Ponda unakwenda kuwaamsha vibaya mno.
WhatsApp. Hayo maspeaker ni danganya Toto. Taarifa nying8 zina pitia Social Media kama WhatsApp.

Polepole na CCM yake naona bado wamelala. Wao wafikiri mambo yanaenda kama kawaida. Lisu sio mjinga. Jamaa amekuwa well trained. Na anauhakika ataupata ushindi. Vinginevyo asingekuja.

Kikundi cha kampeni cha Lissu kina wataalam kutoka nchi tofauti ulimwenguni ambao wamedhamiria kumwangusha Rais Magufuli. Hawa watu wana namba za simu za watanzania wote.
Kupitia special Algorithmus wanaweza kutrace umri na interests za vijana ambao wako kwenye mikoa au maeneo anako kwenda kupiga kampeni.

Hao wataalam wanawatumia msg kwa WhatsApp, kwamba time gani watakuwa wapi na wao waje au waende huko.

Lissu amekuja kwa lengo la kushinda tu. Na kama atashindwa lazima atasababisha vurugu itokee. Tusikae tu na kuomba kwamba vurugu isitokee, ni lazima tuwe makini sana na tufanye kitu against it.

Polepole yeye bado ana mawazo ya kizamani ya kutumia conventional methodes katika mambo ya kupiga kampenibza uchaguzi, wakati team ya Lissu imesha jipanga vizuri sana jinsi gani ya kuwa manipulate vijana wa kitanzania. Vijana wengi wamesha kuwa brainwashed kiasi kwamba haya hizi propaganda za akina Polepole na Musiba za kuwaaminisha eti Lissu ni kibaraka wa mabeberu, hazifui dafu tena.

Ningemsihi Polepole kuwa makini sana na malengo ya hawa mabeberu, asije akajikuta hata hao wanachama wake wa CCM milionib17 anao wategemea, wakampigia kura Lissu. Unsichere na mzungu.

Zaidi ya hayo Lissu inaonekana amewapa vijana wengi ile imani ya kuwa wao kweli wanaweza leta mabadiliko nchini mwao. Vijana wengi hivi sasa wamepata nguvu ya kudhani wanaweza wakafanya wanacho taka vile vile na serikali haitaweza wafanya chochote.
 
Watu wengi huwa wanaenda wakiwa wamebeba sumaku wanataka kujaribu kumvuta Lissu kama atanasa. Si unajua jamaa ana vyuma mwili mzima.
Halafu we dada kutoka Fisiemu nataka nioshe rungu langu kwako, na vumbi la Lubumbashi ninalo kabisa hapa. Maana naona una kiherehere sana. 😘
 
Wewe utakuwa unafumuliwa malinda! maana kimutokacho mtu, ndicho kiujazacho moyo wake!! mtoto sio riziki wewe!! Wazazi wako wamepata hasara!!
 
Ndugu zangu wa upande wa pili mimi mwanachama dormant wa mboga mboga, nina swali kwenu
Kwa kweli nimeshindwa kuelewa Lissu anatumia njia zipi kukusanya umati kwenye mikutano yake, bado nashindwa kukubali kama ni hizi spika za matangazo peke yake zinazopita masaa mawili kabla.

Leo alipita katika jimbo nililopo, gari la matangazo likapita masaa mawili tu kabla, lakini cha ajabu nimeshindwa kuelewa taarifa zimewafikiaje watu wote waliojaa uwanjani ndani ya masaa mawili tu?

Leo nimeshuhudia Impact ya Ponda kwa sie muslims, kwenye kila vijiwe vyetu vya dini yetu muamko umeibuka ghafla, sijui huwa tukoje inapotoka tu TAKBIIIR kwa kinywa cha sheikh mwenye ushawishi kiwango cha ponda msisimko unakuwa wa ajabu sana na kurudi nyuma inakuwa mwiko.

Viongozi wangu polepole najua unasoma humu, nashauri mshughulikie hili la Sheikh Ponda mapema litakwenda kuvuruga kila kitu. Kumbukeni Ponda ni kiongozi wa waumini wenye msimamo mkali, hawa walikuwa washa giveup kupiga kura, ujio wa Ponda unakwenda kuwaamsha vibaya mno.

Chema chajiuza.
 
Waislamu tupo nyuma ya Lissu anatutetea kwenye mambo mengi tumuunge mkono.
 
Sipati picha kampeni kuishia dar kwenye waislam wengi, huku ponda
 
Kesho Patanuka.

Huku Maalim Seif, Kule Tundu, Hapa Mbowe Pale Sheikh Ponda.

Mtajua Hamjui Yaani![emoji23][emoji23]

Hii haitawezekana tena. Chopa zimezuiliwa kuruka rasmi tangu sasa. Sababu za msingi bado hazijatolewa
 
Its my hope Lissu alikuwa na plan b baada ya hii ya chopa kuzuiliwa.
 
Wanaccm wengi wanasubiri tarehe 28 kufanya uasi, sio maneno yangu Ni maneno ya wanaccm kindakindaki

Magu aanze kufungasha
 
Usiongee kwa nguvu..

Bado tutakihitaji chama chetu kurudi tena baada ya kumuachia TL kwa hii mitano. So tusingependa distraction ya kiwango kikubwa
 
peoplessssssssssssss powerrrrrrrr hahahahahaahah haki, uhuru na maendeleo ya watu.
 
Haya bwana zamu yenu ringeni ila tutarudi kwa kishindo 2025 tukiwa na mgombea sahihi
 
Back
Top Bottom