Ndugu zangu wa upande wa pili mimi mwanachama dormant wa mboga mboga, nina swali kwenu
Kwa kweli nimeshindwa kuelewa Lissu anatumia njia zipi kukusanya umati kwenye mikutano yake, bado nashindwa kukubali kama ni hizi spika za matangazo peke yake zinazopita masaa mawili kabla.
Leo alipita katika jimbo nililopo, gari la matangazo likapita masaa mawili tu kabla, lakini cha ajabu nimeshindwa kuelewa taarifa zimewafikiaje watu wote waliojaa uwanjani ndani ya masaa mawili tu?
Leo nimeshuhudia Impact ya Ponda kwa sie muslims, kwenye kila vijiwe vyetu vya dini yetu muamko umeibuka ghafla, sijui huwa tukoje inapotoka tu TAKBIIIR kwa kinywa cha sheikh mwenye ushawishi kiwango cha ponda msisimko unakuwa wa ajabu sana na kurudi nyuma inakuwa mwiko.
Viongozi wangu polepole najua unasoma humu, nashauri mshughulikie hili la Sheikh Ponda mapema litakwenda kuvuruga kila kitu. Kumbukeni Ponda ni kiongozi wa waumini wenye msimamo mkali, hawa walikuwa washa giveup kupiga kura, ujio wa Ponda unakwenda kuwaamsha vibaya mno.
WhatsApp. Hayo maspeaker ni danganya Toto. Taarifa nying8 zina pitia Social Media kama WhatsApp.
Polepole na CCM yake naona bado wamelala. Wao wafikiri mambo yanaenda kama kawaida. Lisu sio mjinga. Jamaa amekuwa well trained. Na anauhakika ataupata ushindi. Vinginevyo asingekuja.
Kikundi cha kampeni cha Lissu kina wataalam kutoka nchi tofauti ulimwenguni ambao wamedhamiria kumwangusha Rais Magufuli. Hawa watu wana namba za simu za watanzania wote.
Kupitia special Algorithmus wanaweza kutrace umri na interests za vijana ambao wako kwenye mikoa au maeneo anako kwenda kupiga kampeni.
Hao wataalam wanawatumia msg kwa WhatsApp, kwamba time gani watakuwa wapi na wao waje au waende huko.
Lissu amekuja kwa lengo la kushinda tu. Na kama atashindwa lazima atasababisha vurugu itokee. Tusikae tu na kuomba kwamba vurugu isitokee, ni lazima tuwe makini sana na tufanye kitu against it.
Polepole yeye bado ana mawazo ya kizamani ya kutumia conventional methodes katika mambo ya kupiga kampenibza uchaguzi, wakati team ya Lissu imesha jipanga vizuri sana jinsi gani ya kuwa manipulate vijana wa kitanzania. Vijana wengi wamesha kuwa brainwashed kiasi kwamba haya hizi propaganda za akina Polepole na Musiba za kuwaaminisha eti Lissu ni kibaraka wa mabeberu, hazifui dafu tena.
Ningemsihi Polepole kuwa makini sana na malengo ya hawa mabeberu, asije akajikuta hata hao wanachama wake wa CCM milionib17 anao wategemea, wakampigia kura Lissu. Unsichere na mzungu.
Zaidi ya hayo Lissu inaonekana amewapa vijana wengi ile imani ya kuwa wao kweli wanaweza leta mabadiliko nchini mwao. Vijana wengi hivi sasa wamepata nguvu ya kudhani wanaweza wakafanya wanacho taka vile vile na serikali haitaweza wafanya chochote.