Lissu Anaungwa Mkono na Watu Wababaishaji wasio na Ushawishi wala kukubalika kwa Jamii

Ukishoboka sana na CHADEMA tutajua CCM inakosa mvuto hata kwa washabiki wake.

Yani badala ya kuitangaza CCM umerukia kuitangaza CHADEMA sasa.
CCM Haihitaji kutangazwa maana ilishajitangaza na sasa kazi zake zinajitangaza zenyewe na ndio maana inaendelea kuungwa mkono na kupigiwa kura za ndio kwa kishindo katika kila uchaguzi
 
Mzee wa kuhama hama

Umetoka Kwa makonda, umeenda Kwa kafulila now umekuja Kwa mbowe

Acha chadema wachague wanachokiona Bora kwao Kwa Maisha Yao

Mbona ccm huko mnaheshimu mawazo ya watu?

Kuna mwenezi mzuri kuwahi kutokea kama makonda? Mbona katolewa na ujapiga kelele ulikaa kimya?
 
CCM Haihitaji kutangazwa maana ilishajitangaza na sasa kazi zake zinajitangaza zenyewe na ndio maana inaendelea kuungwa mkono na kupigiwa kura za ndio kwa kishindo katika kila uchaguzi
Uchaguzi wa ndani wa CHADEMA haukuhusu.

Wewe si mwanachama wa CHADEMA unaleta fitina tu hapo.
 
Uchaguzi wa ndani wa CHADEMA haukuhusu.

Wewe si mwanachama wa CHADEMA unaleta fitina tu hapo.
Mimi ni mlipa kodi ndugu yangu ambaye nachangia na kufanikisha CHADEMA kupata na kupewa Ruzuku yake.
 
Mimi ni mlipa kodi ndugu yangu ambaye nachangia na kufanikisha CHADEMA kupata na kupewa Ruzuku yake.
Kulioa kodi hakukupi haki ya kuingilia uchaguzi wa ndani wa CHADEMA.

Umeanza kampeni za uchaguzi wa ndani wa CHADEMA wakati CHADEMA wenyewe hawajaruhusu kampeni hizo na bila hata ya kuwa mwanachama.

Unaleta fitina tu hapa.
 
WEWE dogo watu wanasema eti ni KISAMVU CHA KOPO unaliwa ni kweli???πŸ€£πŸ˜€πŸ€£
 
Kulioa kodi hakukupi haki ya kuingilia uchaguzi wa ndani wa CHADEMA.

Umeanza kampeni za uchaguzi wa ndani wa CHADEMA wakati CHADEMA wenyewe hawajaruhusu kampeni hizo na bila hata ya kuwa mwanachama.

Unaleta fitina tu hapa.
Mimi nawaambieni ukweli na siyo kuleta fitina.
 
Sio bure katumwa huyu,!, Lisu ni hatari kwa afya ya CCM!
 
Haahaa kina yeriko, boni yai na sugu wanakubalika na jamii?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbowe sasa naamini ashalishwa ngubiti, ila na Mimi nabubujikwa na machozi ya Furaha lucas kumkubali Mbowe, mitano Tena kwa Mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…