Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Ukishoboka sana na CHADEMA tutajua CCM inakosa mvuto hata kwa washabiki wake.Tangia lini Mwamba akanunuliwa?
Yani badala ya kuitangaza CCM umerukia kuitangaza CHADEMA sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishoboka sana na CHADEMA tutajua CCM inakosa mvuto hata kwa washabiki wake.Tangia lini Mwamba akanunuliwa?
CCM Haihitaji kutangazwa maana ilishajitangaza na sasa kazi zake zinajitangaza zenyewe na ndio maana inaendelea kuungwa mkono na kupigiwa kura za ndio kwa kishindo katika kila uchaguziUkishoboka sana na CHADEMA tutajua CCM inakosa mvuto hata kwa washabiki wake.
Yani badala ya kuitangaza CCM umerukia kuitangaza CHADEMA sasa.
Very good Question.Process ya uchaguzi wa ndani wa CHADEMA kimsingi ni ya wanachama wa CHADEMA.
Wao ndio wanaamua nani atawafaa.
Wewe ni mwanachama wa CHADEMA?
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiangalia aina ya watu wanaomuunga mkono lissu unabakia unasikitika,kushangaa na kucheka sana.ni watu wababaishaji,wasiojitambua ,wasio na ushawishi ndani ya chama na nje ya chama. Ni watu wenye taswira Mbaya sana kwa jamii na wasiokubalika wala kuungwa mkono kwa matendo na kauli zao.
Ni watu ambao hawawezi kukaa na mwenye akili Timamu na anayejitambua wakafanya majadiliano au mashauriano ya jambo fulani. Ni watu ambao hawaeleweki wala kuelewa kitu chochote kile .hawana adabu wala staha wala hekima ya midomo yao.ni watu ambao wakifungua vinywa vyao unapata aibu ya kuendelea kusikiliza wanachozungumza.
Waswahili wanasema ya kuwa ukitaka kumjua mtu vizuri basi angalia watu waliomzunguka au watu wanaomuunga mkono au watu anaoshinda nao na kushirikiana nao. Kwa sababu ndege wafananao huruka pamoja. Mtu mwenye hekima ,busara ,staha na mwenye ushawishi kwa watu ni lazima utaona akizungukwa na watu wenye akili ,hekima,busara ,maarifa,ushawishi ,makini na wenye utulivu.
Lakini kinyume chake ni kuwa ni rahisi sana kukuta mtu aliyekosa hekima,adabu,ushawishi , busara ,akili,kujitambua akizungukwa na watu wa Hovyo hovyo wababaishaji,wenye mihemuko ,watukana matusi utafikiri vichaa au wendawazimu au wagonjwa wa akili.
Ni ngumu kukuta Mchungaji na Mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu kifuani pake akiwa amezungukwa na kuambatana muda wote na walevi,wavuta bangi ,watumiaji wa madawa ya kulevya ,wahuni wahuni na watu wa Hovyo hovyo.kwa sababu hata hao walevi na wahuni wahuni na wavuta bangi ni lazima waogope hata kumsogelea kwa sababu ya tabia zao mbaya na mienendo yao mibaya ambayo wanajua ni aibu kwa jamii na mbele za watu waliostaarabika.hata Nnzi hawakai pasafi bali hufuata penye uvundo na uchafu.
Kwa hiyo Lissu alitakiwa kujitathmini na kujiuliza hata kabla ya kuingia kwenye sanduku la kura kwamba ni kwanini haungwi mkono na viongozi wenzake wenye ushawishi ndani ya chama? Kwanini wote wanamkimbia na kuogopa hata kujinasibisha au kujihusisha naye au kuonekana naye hadharani?
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Embu acha kunidhalilisha hapa. Hivi mimi ndio wa kunifananisha na mtu kama SATIVA? Hivi unaona huyo jamaa yupo sawa kichwani mwake? Uwe na adabu
Machawa ya ccm yamepoteanaVery good Question.
Uchaguzi wa ndani wa CHADEMA haukuhusu.CCM Haihitaji kutangazwa maana ilishajitangaza na sasa kazi zake zinajitangaza zenyewe na ndio maana inaendelea kuungwa mkono na kupigiwa kura za ndio kwa kishindo katika kila uchaguzi
Mimi ni mlipa kodi ndugu yangu ambaye nachangia na kufanikisha CHADEMA kupata na kupewa Ruzuku yake.Uchaguzi wa ndani wa CHADEMA haukuhusu.
Wewe si mwanachama wa CHADEMA unaleta fitina tu hapo.
CCM haina chawa bali imesheheni wazalendo wa kweli na dhati.Machawa ya ccm yamepoteana
Kulioa kodi hakukupi haki ya kuingilia uchaguzi wa ndani wa CHADEMA.Mimi ni mlipa kodi ndugu yangu ambaye nachangia na kufanikisha CHADEMA kupata na kupewa Ruzuku yake.
WEWE dogo watu wanasema eti ni KISAMVU CHA KOPO unaliwa ni kweli???🤣😀🤣Ndugu zangu Watanzania,
Ukiangalia aina ya watu wanaomuunga mkono lissu unabakia unasikitika,kushangaa na kucheka sana.ni watu wababaishaji,wasiojitambua ,wasio na ushawishi ndani ya chama na nje ya chama. Ni watu wenye taswira Mbaya sana kwa jamii na wasiokubalika wala kuungwa mkono kwa matendo na kauli zao.
Ni watu ambao hawawezi kukaa na mwenye akili Timamu na anayejitambua wakafanya majadiliano au mashauriano ya jambo fulani. Ni watu ambao hawaeleweki wala kuelewa kitu chochote kile .hawana adabu wala staha wala hekima ya midomo yao.ni watu ambao wakifungua vinywa vyao unapata aibu ya kuendelea kusikiliza wanachozungumza.
Waswahili wanasema ya kuwa ukitaka kumjua mtu vizuri basi angalia watu waliomzunguka au watu wanaomuunga mkono au watu anaoshinda nao na kushirikiana nao. Kwa sababu ndege wafananao huruka pamoja. Mtu mwenye hekima ,busara ,staha na mwenye ushawishi kwa watu ni lazima utaona akizungukwa na watu wenye akili ,hekima,busara ,maarifa,ushawishi ,makini na wenye utulivu.
Lakini kinyume chake ni kuwa ni rahisi sana kukuta mtu aliyekosa hekima,adabu,ushawishi , busara ,akili,kujitambua akizungukwa na watu wa Hovyo hovyo wababaishaji,wenye mihemuko ,watukana matusi utafikiri vichaa au wendawazimu au wagonjwa wa akili.
Ni ngumu kukuta Mchungaji na Mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu kifuani pake akiwa amezungukwa na kuambatana muda wote na walevi,wavuta bangi ,watumiaji wa madawa ya kulevya ,wahuni wahuni na watu wa Hovyo hovyo.kwa sababu hata hao walevi na wahuni wahuni na wavuta bangi ni lazima waogope hata kumsogelea kwa sababu ya tabia zao mbaya na mienendo yao mibaya ambayo wanajua ni aibu kwa jamii na mbele za watu waliostaarabika.hata Nnzi hawakai pasafi bali hufuata penye uvundo na uchafu.
Kwa hiyo Lissu alitakiwa kujitathmini na kujiuliza hata kabla ya kuingia kwenye sanduku la kura kwamba ni kwanini haungwi mkono na viongozi wenzake wenye ushawishi ndani ya chama? Kwanini wote wanamkimbia na kuogopa hata kujinasibisha au kujihusisha naye au kuonekana naye hadharani?
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mimi nawaambieni ukweli na siyo kuleta fitina.Kulioa kodi hakukupi haki ya kuingilia uchaguzi wa ndani wa CHADEMA.
Umeanza kampeni za uchaguzi wa ndani wa CHADEMA wakati CHADEMA wenyewe hawajaruhusu kampeni hizo na bila hata ya kuwa mwanachama.
Unaleta fitina tu hapa.
Naona hoja zangu zimekuwa nzito mpaka mmeanza kutapatapa.WEWE dogo watu wanasema eti ni KISAMVU CHA KOPO unaliwa ni kweli???🤣😀🤣
Ukweli huwezi kuujua hata ukiwekwa mbele ya pua yako.Mimi nawaambieni ukweli na siyo kuleta fitina.
Kataa au kubali tujue ukweliNaona hoja zangu zimekuwa nzito mpaka mmeanza kutapatapa.
Kwa ccm ni kweliSio bure katumwa huyu,!, Lisu ni hatari kwa afya ya CCM!