Lissu Anaungwa Mkono na Watu Wababaishaji wasio na Ushawishi wala kukubalika kwa Jamii

Na katika kuamua kwao wameamua Mwamba Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti wao.ndio Maana unaona wanaendelea kumuunga mkono hadharani kabisa.tofauti na Lissu Anaungwa mkono na watu kama SATIVA watu ambao ni aibu kwa jamii na Taifa kwa namna wanavyotukana matusi ya nguoni hovyo hovyo mitandaoni

Kwa nini mambo ya ndani ya nani anaongoza CHADEMA yanakusumbua sana wakati wewe si mwanachama wa CHADEMA?
 
Hayanisumbui hata kidogo.lakini ni lazima ufahamu kuwa mimi ni mlipa kodi ambayo inatumika pia kuilipa CHADEMA Ruzuku
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ukiangalia aina ya watu wanaomuunga mkono lissu unabakia unasikitika,kushangaa na kucheka sana.ni watu wababaishaji,wasiojitambua ,wasio na ushawishi ndani ya chama na nje ya chama. Ni watu wenye taswira Mbaya sana kwa jamii na wasiokubalika wala kuungwa mkono kwa matendo na kauli zao.

Waswahili wanasema ya kuwa ukitaka kumjua mtu vizuri basi angalia watu waliomzunguka au watu wanaomuunga mkono au watu anaoshinda nao na kushirikiana nao. Kwa sababu ndege wafananao huruka pamoja. Mtu mwenye hekima ,busara ,staha na mwenye ushawishi kwa watu ni lazima utaona akizungukwa na watu wenye akili ,hekima,busara.
funua maandiko, uone yesu aliungwa mkono na watu wa aina gani, then uje kulinganisha na mashudu uloandika hapa.

mpenda haki yeyote, huungwa mkono na wengi, bila kujali ni watu wa aina gani.
 
Kwani Mbowe amekuwa anakuwa madarakani kwa kupigiwa kura au kulazimisha kwa nguvu? Si amekuwa anachaguliwa na wana CHADEMA wenyewe kuendelea kuwa Mwenyekiti wao?
Kwa hiyo unataka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ukiangalia aina ya watu wanaomuunga mkono lissu unabakia unasikitika,kushangaa na kucheka sana.ni watu wababaishaji,wasiojitambua ,wasio na ushawishi ndani ya chama na nje ya chama. Ni watu wenye taswira Mbaya sana kwa jamii na wasiokubalika wala kuungwa mkono kwa matendo na kauli zao.

Ni watu ambao hawawezi kukaa na mwenye akili Timamu na anayejitambua wakafanya majadiliano au mashauriano ya jambo fulani. Ni watu ambao hawaeleweki wala kuelewa kitu chochote kile .hawana adabu wala staha wala hekima ya midomo yao.ni watu ambao wakifungua vinywa vyao unapata aibu ya kuendelea kusikiliza wanachozungumza.

Waswahili wanasema ya kuwa ukitaka kumjua mtu vizuri basi angalia watu waliomzunguka au watu wanaomuunga mkono au watu anaoshinda nao na kushirikiana nao. Kwa sababu ndege wafananao huruka pamoja. Mtu mwenye hekima ,busara ,staha na mwenye ushawishi kwa watu ni lazima utaona akizungukwa na watu wenye akili ,hekima,busara ,maarifa,ushawishi ,makini na wenye utulivu.

Lakini kinyume chake ni kuwa ni rahisi sana kukuta mtu aliyekosa hekima,adabu,ushawishi ,biashara ,akili,kujitambua akizungukwa na watu wa Hovyo hovyo wababaishaji,wenye mihemuko ,watukana matusi utafikiri vichaa au wendawazimu au wagonjwa wa akili.

Ni ngumu kukuta Mchungaji na Mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu akiwa amezungukwa na kuambatana muda wote na walevi,wavuta bangi ,watumiaji wa madawa ya kulevya ,wahuni wahuni na watu wa Hovyo hovyo.kwa sababu hata hao walevi na wahuni wahuni na wavuta bangi ni lazima waogope hata kumsogelea kwa sababu ya tabia zao mbaya na mienendo yao mibaya ambayo wanajua ni aibu kwa jamii na mbele za watu waliostaarabika.hata Nnzi hawakai pasafi bali hufuata penye uvundo na uchafu.

Kwa hiyo Lissu alitakiwa kujitathmini na kujiuliza hata kabla ya kuingia kwenye sanduku la kura kwamba ni kwanini hauungwi mkono na viongozi wenzake wenye ushawishi ndani ya chama? Kwanini wote wanamkimbia na kuogopa hata kujinajibisha au kujihusisha naye au kuonekana naye hadharani?

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sawa,, wewe humuungi mkono, kwan una akili, una ushawishi?
 
Hapa umeandika ukweli mtupu aiseee, nimeshangaa kuona Sativa mtukanaji wa kule X katoa hela ya Mheshimiwa Lissu kuchukulia form ?
 
Ya Tundu lisu yanakuhusu nini wewe *bwa
 
Hayanisumbui hata kidogo.lakini ni lazima ufahamu kuwa mimi ni mlipa kodi ambayo inatumika pia kuilipa CHADEMA Ruzuku
Wewe kuwa mlipa kodi hakukupi haki yoyote ya kuingilia mambo ya ndani ya uchaguzi wa CHADEMA.

Zaidi, wewe mwana CCM tukikuona unamshabikia kiongozi fulani wa CHADEMA tunapata shaka na huyo kiongozi na kuona labda CCM mmemnunua ndiyo maana mna m promote.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ukiangalia aina ya watu wanaomuunga mkono lissu unabakia unasikitika,kushangaa na kucheka sana.ni watu wababaishaji,wasiojitambua ,wasio na ushawishi ndani ya chama na nje ya chama. Ni watu wenye taswira Mbaya sana kwa jamii na wasiokubalika wala kuungwa mkono kwa matendo na kauli zao.

Ni watu ambao hawawezi kukaa na mwenye akili Timamu na anayejitambua wakafanya majadiliano au mashauriano ya jambo fulani. Ni watu ambao hawaeleweki wala kuelewa kitu chochote kile .hawana adabu wala staha wala hekima ya midomo yao.ni watu ambao wakifungua vinywa vyao unapata aibu ya kuendelea kusikiliza wanachozungumza.

Waswahili wanasema ya kuwa ukitaka kumjua mtu vizuri basi angalia watu waliomzunguka au watu wanaomuunga mkono au watu anaoshinda nao na kushirikiana nao. Kwa sababu ndege wafananao huruka pamoja. Mtu mwenye hekima ,busara ,staha na mwenye ushawishi kwa watu ni lazima utaona akizungukwa na watu wenye akili ,hekima,busara ,maarifa,ushawishi ,makini na wenye utulivu.

Lakini kinyume chake ni kuwa ni rahisi sana kukuta mtu aliyekosa hekima,adabu,ushawishi , busara ,akili,kujitambua akizungukwa na watu wa Hovyo hovyo wababaishaji,wenye mihemuko ,watukana matusi utafikiri vichaa au wendawazimu au wagonjwa wa akili.

Ni ngumu kukuta Mchungaji na Mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu kifuani pake akiwa amezungukwa na kuambatana muda wote na walevi,wavuta bangi ,watumiaji wa madawa ya kulevya ,wahuni wahuni na watu wa Hovyo hovyo.kwa sababu hata hao walevi na wahuni wahuni na wavuta bangi ni lazima waogope hata kumsogelea kwa sababu ya tabia zao mbaya na mienendo yao mibaya ambayo wanajua ni aibu kwa jamii na mbele za watu waliostaarabika.hata Nnzi hawakai pasafi bali hufuata penye uvundo na uchafu.

Kwa hiyo Lissu alitakiwa kujitathmini na kujiuliza hata kabla ya kuingia kwenye sanduku la kura kwamba ni kwanini haungwi mkono na viongozi wenzake wenye ushawishi ndani ya chama? Kwanini wote wanamkimbia na kuogopa hata kujinasibisha au kujihusisha naye au kuonekana naye hadharani?

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kama CCM mnajiamini iga muone😂
 
Wewe kuwa mlipa kodi hakukupi haki yoyote ya kuingilia mambo ya ndani ya uchaguzi wa CHADEMA.

Zaidi, wewe mwana CCM tukikuona unamshabikia kiongozi fulani wa CHADEMA tunapata shaka na huyo kiongozi na kuona labda CCM mmemnunua ndiyo maana mna m promote.
Tangia lini Mwamba akanunuliwa?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ukiangalia aina ya watu wanaomuunga mkono lissu unabakia unasikitika,kushangaa na kucheka sana.ni watu wababaishaji,wasiojitambua ,wasio na ushawishi ndani ya chama na nje ya chama. Ni watu wenye taswira Mbaya sana kwa jamii na wasiokubalika wala kuungwa mkono kwa matendo na kauli zao.

Ni watu ambao hawawezi kukaa na mwenye akili Timamu na anayejitambua wakafanya majadiliano au mashauriano ya jambo fulani. Ni watu ambao hawaeleweki wala kuelewa kitu chochote kile .hawana adabu wala staha wala hekima ya midomo yao.ni watu ambao wakifungua vinywa vyao unapata aibu ya kuendelea kusikiliza wanachozungumza.

Waswahili wanasema ya kuwa ukitaka kumjua mtu vizuri basi angalia watu waliomzunguka au watu wanaomuunga mkono au watu anaoshinda nao na kushirikiana nao. Kwa sababu ndege wafananao huruka pamoja. Mtu mwenye hekima ,busara ,staha na mwenye ushawishi kwa watu ni lazima utaona akizungukwa na watu wenye akili ,hekima,busara ,maarifa,ushawishi ,makini na wenye utulivu.

Lakini kinyume chake ni kuwa ni rahisi sana kukuta mtu aliyekosa hekima,adabu,ushawishi , busara ,akili,kujitambua akizungukwa na watu wa Hovyo hovyo wababaishaji,wenye mihemuko ,watukana matusi utafikiri vichaa au wendawazimu au wagonjwa wa akili.

Ni ngumu kukuta Mchungaji na Mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu kifuani pake akiwa amezungukwa na kuambatana muda wote na walevi,wavuta bangi ,watumiaji wa madawa ya kulevya ,wahuni wahuni na watu wa Hovyo hovyo.kwa sababu hata hao walevi na wahuni wahuni na wavuta bangi ni lazima waogope hata kumsogelea kwa sababu ya tabia zao mbaya na mienendo yao mibaya ambayo wanajua ni aibu kwa jamii na mbele za watu waliostaarabika.hata Nnzi hawakai pasafi bali hufuata penye uvundo na uchafu.

Kwa hiyo Lissu alitakiwa kujitathmini na kujiuliza hata kabla ya kuingia kwenye sanduku la kura kwamba ni kwanini haungwi mkono na viongozi wenzake wenye ushawishi ndani ya chama? Kwanini wote wanamkimbia na kuogopa hata kujinasibisha au kujihusisha naye au kuonekana naye hadharani?

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kitendo cha wewe mwenye upeo wa 'kihayawani' kudai ya kuwa hafai hii inamaana ya kwamba anafaa sana.
 
Hatuna cha kuiga maana sisi ni chama kiongozi Barani Afrika na Dunia kwote kwa ujumla wake
Ndo maana mnaishia kutoa fomu ya mgombea mmoja tu kwenye chama chenu ruhusu mchuano muone mtakachoambulia mnajiita chama cha Mapinduzi ila mnaogopa kufanya hayo mapinduzi🤯
 
Mchuano na nani? Wenye chama ndio tumeamua kuwa Fomu ya Urais ni Moja tu kwa ajili yake Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.hii ni baada ya kufanya kazi kubwa sana ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi iliyoleta tabasamu na matumaini makubwa kwa mamilioni ya watanzania
 
Back
Top Bottom