Uchaguzi 2020 Lissu anazidi kuumbuka, kila hoja anayoanzisha inaonekana haina mashiko kwa Watanzania

NAWAKUMBUSHA TU WAKUU.

Tanzania ni moja kati ya The Poorest Countries in the World (MASIKINI ZAIDI DUNIANI) inashika nafasi ya 8 kutoka chini. ( Focus economy 2019- 23)
MIAKA 60 YA UHURU.

CCM imetufikisha hapa

list ya poorest countries ni kutokana western wanavotaka, kama walivowaambia somalia walipe ili watolewe kwenye list ya nchi maskini
 
Haya yako ni madhara yanayotokana na nchi kuwa na mfumo wa hovyo kabisa wa elimu!
 
Elimu ndogo inaonekana. Hata haujui unachoongela. Umesema JK alikuwa na mahusiano mazuri lakini ukawa unaibiwa. Watu wanakuuliza diplomasia nzuri inahusianaje na kuibiwa? Tayari umekwisha sahau ulichokisema ama unajifanya chizi?
Nimemuuliza Allen anamuuliza nani? Maana maswala ya kuibiwa yanatoka wapi?
 
Kwa kawaida mshindani wako akikosea ndo mtu ufurahi. Hata kwenye mpira, mpinzani wako akianguka, huendi kumnyanyua ,bali unatumia hiyo nafasi kujipatia ushindi.
Sasa kama Lissu hakujiandaa kugombea urais, kwa nini unaweweseka?
Huyo aliyejiandaa kugombea mbona matumbo moto kila wakisikia LISSU anatajwa? Amemkaribisha museven katikati ya kampeni, leo kamkaribisha Evarist Ndaishiaye, ili mradi tu wamtia joto.
 
Masuala ya elimu yameingia vipi hapa?
Kama hujui athari katika mahusiano ya kidiplomasia yaliyosababishwa na utawala huu, kiasi cha kuanzisha thread kutetea ukitumia tu ziara ya Rais wa Burundi, suala la elimu ni lazima lihusike hapa!
 
Nchi yangu ina mtihani hata wewe utakuwa ni msomi tena wa degree Mungu aingilie kati.
 
Kwa huyo Burundi asingekuja alikuwa tishio. Kwa huyo Rais wa Burundi sio raia Waltz atarudi kwao na kiu ya Wanzania iko pale pale. Mm nsshindwa kukitetea kwa kuwa hoja mnazokuja nazo ni za kitoto sana kumbuka jukwaa hili lina watu waelewa sana
 
Elimu ndogo inaonekana. Hata haujui unachoongela. Umesema JK alikuwa na mahusiano mazuri lakini ukawa unaibiwa. Watu wanakuuliza diplomasia nzuri inahusianaje na kuibiwa? Tayari umekwisha sahau ulichokisema ama unajifanya chizi?
Hapana mimi sio mtu wa level hiyo unavyodhania. Huyo aliyesema JK alikuwa na mahusiano mazuri lakini tukaibiwa ndio ana matatizo ya akili.

Mimi hapa hoja yangu kubwa ni kuwa Lissu ni muongo,Tanzania ina mahusiano mazuri ya kidiplomasia tofauti na yeye anavyonadi.
Sas kuwa na uhusiano mzuri wa kidiplomasia ndio uibiwe? Sio kweli maana kama ni hivyo tungeruhusu wachina wachukue pembe za ndovu bure.

Usipanc, Chadema hamna mgombea urais.
 
Tumbo joto? Ziara ya Ndiashaye ni muhimu sana kwa taifa letu. JPM is the best.
 
Kwa huyo Burundi asingekuja alikuwa tishio. Kwa huyo Rais wa Burundi sio raia Waltz atarudi kwao na kiu ya Wanzania iko pale pale. Mm nsshindwa kukitetea kwa kuwa hoja mnazokuja nazo ni za kitoto sana kumbuka jukwaa hili lina watu waelewa sana
Wamekutoa wapi akina minyoo?
 
Nchi yangu ina mtihani hata wewe utakuwa ni msomi tena wa degree Mungu aingilie kati.
Bro mimi la saba tu, ila nimemsikia Lissu akinadi sera zake anadai JPM ameua diplomatic relations ya Tanzania. Lakini sio kweli mfano ni ziara ya Leo ya rais wa Burundi.
 
Mahusiano mazuri ya uenyekiti wa mzunguko wa SADC na EAC? Hahahaaa... Kweli JF ina watu wa aina mbalimbali... Akili yako ni sawa na mwenyekiti wako. Kungekuwa na uwezo wa kuonyesha IQ ya mtu wa upande wa 2 kabla ya kumjibu ingependeza. Nisingekuwa nawajibu baada yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…