Upuuzi mtupu una andikaNdoto za vijana wengi walio CHADEMA zinazikwa na Lissu. Lissu ana uhakika kwamba hawezi kushinda U-Rais. Wenzake wana uhakika wa kupambania ubunge na udiwani na hata kushinda.
Kwa kuwa anajua hawezi kushinda, anazuia hata wenzake wasipate mpaka yeye apate pia. Imagine kijana kama John Mrema, Pambalu, Catherine Ruge, Sugu. Ndoto zao zinaharibiwa na mtu mmoja kutokana na roho yake mbaya.
Wanaomwita mama hawakosei, huyo ni mama tu wa kawaida, anaburuzwa na wateule wake na wajanja wa nchi hiiAcheni utoto, nani akigombea atatangazwa mbunge? Serikali za mitaa ilikuwaje? Tulishiriki 2020 tulipata nini?
Mama Samia, hautotawala milele. Acha legacy nzuri ya kukumbukwa maana uongozi ni wa muda tu ila legacy ni MILELE
Utaelewa tuUpuuzi mtupu una andika
Chaguzi kuu tatu za 2019,2020 na 2024 kwani CDM hawakushiriki?Walipata nn zaidi ya vifo na kufungwa?
CDM wapo sahihi,wasishiriki chaguzi ambazo tume na vyombo vya dola vinageuka wakala wa CCM kuiba kura
Washinde uchaguzi wapi? ccm wamebaka haki ya kuchagua sasa Tanzania ni Nchi ya kifalume hakuna Uchaguzi kuna Tumeccm ya kuwachagulia watu siyo chaguo la wapiga kuraNdoto za vijana wengi walio CHADEMA zinazikwa na Lissu. Lissu ana uhakika kwamba hawezi kushinda U-Rais. Wenzake wana uhakika wa kupambania ubunge na udiwani na hata kushinda.
Kwa kuwa anajua hawezi kushinda, anazuia hata wenzake wasipate mpaka yeye apate pia. Imagine kijana kama John Mrema, Pambalu, Catherine Ruge, Sugu. Ndoto zao zinaharibiwa na mtu mmoja kutokana na roho yake mbaya.
Uchaguzi upi ? Hakuna Uchaguzi kuna kusimikwa kwa nguvu za kishetaniKwani chama ni chadema pekee yake!!, Kuna ccm,Act, tadea,chauma n.k.
Bahati nzuri Tanzania kuna vyama 19, hivyo hao 55 wahamie vyama vingine ili waingie kwenye kinyang'anilo cha huo ubunge au udiwani kwani chadema sio baba au mama yao.Ndoto za vijana wengi walio CHADEMA zinazikwa na Lissu. Lissu ana uhakika kwamba hawezi kushinda U-Rais. Wenzake wana uhakika wa kupambania ubunge na udiwani na hata kushinda.
Kwa kuwa anajua hawezi kushinda, anazuia hata wenzake wasipate mpaka yeye apate pia. Imagine kijana kama John Mrema, Pambalu, Catherine Ruge, Sugu. Ndoto zao zinaharibiwa na mtu mmoja kutokana na roho yake mbaya.
Hizo zilishazikwa na dola siku nyingi wala sio CHADEMA.Ndoto za vijana wengi walio CHADEMA zinazikwa na Lissu. Lissu ana uhakika kwamba hawezi kushinda U-Rais. Wenzake wana uhakika wa kupambania ubunge na udiwani na hata kushinda.
Kwa kuwa anajua hawezi kushinda, anazuia hata wenzake wasipate mpaka yeye apate pia. Imagine kijana kama John Mrema, Pambalu, Catherine Ruge, Sugu. Ndoto zao zinaharibiwa na mtu mmoja kutokana na roho yake mbaya.
ccm huigiza uchaguzi lakini hakuna Uchaguzi bali Tumeccm hubaka na kunajisi chaguzi zote kisha kujipachika ushindi kwa njia haramu za kishetaniUpuuzi mtupu una andika
Chaguzi kuu tatu za 2019,2020 na 2024 kwani CDM hawakushiriki?Walipata nn zaidi ya vifo na kufungwa?
CDM wapo sahihi,wasishiriki chaguzi ambazo tume na vyombo vya dola vinageuka wakala wa CCM kuiba kura
Watajua wenyeweNdoto za vijana wengi walio CHADEMA zinazikwa na Lissu. Lissu ana uhakika kwamba hawezi kushinda U-Rais. Wenzake wana uhakika wa kupambania ubunge na udiwani na hata kushinda.
Kwa kuwa anajua hawezi kushinda, anazuia hata wenzake wasipate mpaka yeye apate pia. Imagine kijana kama John Mrema, Pambalu, Catherine Ruge, Sugu. Ndoto zao zinaharibiwa na mtu mmoja kutokana na roho yake mbaya.
Wajumbe walifanya kosa kubwa sana kumkabidhi Lissu chama.Kuna tofauti kati ya kuongoza uharakati na kuongoza chama Cha siasaNdoto za vijana wengi walio CHADEMA zinazikwa na Lissu. Lissu ana uhakika kwamba hawezi kushinda U-Rais. Wenzake wana uhakika wa kupambania ubunge na udiwani na hata kushinda.
Kwa kuwa anajua hawezi kushinda, anazuia hata wenzake wasipate mpaka yeye apate pia. Imagine kijana kama John Mrema, Pambalu, Catherine Ruge, Sugu. Ndoto zao zinaharibiwa na mtu mmoja kutokana na roho yake mbaya.
Kosa lipi ? Hakuna kosa lisu siyo mnafiki siyo chawa, kwani nyinyi si mnataka kubaki ccm nenda huko hamia huko huku kwa wapenda haki acha wapiganie hakiWajumbe walifanya kosa kubwa sana kumkabidhi Lissu chama.Kuna tofauti kati ya kuongoza uharakati na kuongoza chama Cha siasa
Ndoto za vijana wengi walio CHADEMA zinazikwa na Lissu. Lissu ana uhakika kwamba hawezi kushinda U-Rais. Wenzake wana uhakika wa kupambania ubunge na udiwani na hata kushinda.
Kwa kuwa anajua hawezi kushinda, anazuia hata wenzake wasipate mpaka yeye apate pia. Imagine kijana kama John Mrema, Pambalu, Catherine Ruge, Sugu. Ndoto zao zinaharibiwa na mtu mmoja kutokana na roho yake mbaya.
Lissu ni mbinafsi sana.Anataka wakose woteNdoto za vijana wengi walio CHADEMA zinazikwa na Lissu. Lissu ana uhakika kwamba hawezi kushinda U-Rais. Wenzake wana uhakika wa kupambania ubunge na udiwani na hata kushinda.
Kwa kuwa anajua hawezi kushinda, anazuia hata wenzake wasipate mpaka yeye apate pia. Imagine kijana kama John Mrema, Pambalu, Catherine Ruge, Sugu. Ndoto zao zinaharibiwa na mtu mmoja kutokana na roho yake mbaya.
Upo sahihi hao vijana mbona hawakuwa na ndoto kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaaNi ndoto za mchana kama madiwani wanatenguliwa sembuse wabunge. Wapiganie mabadiliko tuachane na watu wa ndoto za mchana
Hakuna ruzuku pombe wala nyama za bureWajumbe walifanya kosa kubwa sana kumkabidhi Lissu chama.Kuna tofauti kati ya kuongoza uharakati na kuongoza chama Cha siasa