PreGE2025 Lissu anazika ndoto za vijana wa CHADEMA kushika nafasi za ubunge na udiwani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ndoto za vijana wengi walio CHADEMA zinazikwa na Lissu. Lissu ana uhakika kwamba hawezi kushinda U-Rais. Wenzake wana uhakika wa kupambania ubunge na udiwani na hata kushinda.

Kwa kuwa anajua hawezi kushinda, anazuia hata wenzake wasipate mpaka yeye apate pia. Imagine kijana kama John Mrema, Pambalu, Catherine Ruge, Sugu. Ndoto zao zinaharibiwa na mtu mmoja kutokana na roho yake mbaya.
2020 vijana wangapi walipata uongozi ambao sasa wanazikwa?
 
Ndoto za vijana wengi walio CHADEMA zinazikwa na Lissu. Lissu ana uhakika kwamba hawezi kushinda U-Rais. Wenzake wana uhakika wa kupambania ubunge na udiwani na hata kushinda.

Kwa kuwa anajua hawezi kushinda, anazuia hata wenzake wasipate mpaka yeye apate pia. Imagine kijana kama John Mrema, Pambalu, Catherine Ruge, Sugu. Ndoto zao zinaharibiwa na mtu mmoja kutokana na roho yake mbaya.
pumbavu wewe, nyoooo[emoji57]
 
Hivi Ccm leo ni ya kuona kuwa Chadema itashinda majimbo ya uchaguzi. Mi naona anachokifanya Lissu ni sahihi sana katika kuionyesha dunia kuwa Tanzania kuna maigizo ya uchaguzi. Hao vijana unaowasema wananyimwa nafasi zao ni zipi ambazo hawakuziomba 2020 na 2024. Ambapo ilionekana Professor wa Chadema au upinzani kwa ujumla hawezi kujaza fomu kwa usahihi na ngumbalu wa Ccm ana weledi mkubwa wa kujaza fomu ambazo zimeshindikana kwa Prof.
 
Ndoto za vijana wengi walio CHADEMA zinazikwa na Lissu. Lissu ana uhakika kwamba hawezi kushinda U-Rais. Wenzake wana uhakika wa kupambania ubunge na udiwani na hata kushinda.

Kwa kuwa anajua hawezi kushinda, anazuia hata wenzake wasipate mpaka yeye apate pia. Imagine kijana kama John Mrema, Pambalu, Catherine Ruge, Sugu. Ndoto zao zinaharibiwa na mtu mmoja kutokana na roho yake mbaya.
Zimeshazikwa, sasa watuambie wanapigania nini tena?
 
Ndoto za vijana wengi walio CHADEMA zinazikwa na Lissu. Lissu ana uhakika kwamba hawezi kushinda U-Rais. Wenzake wana uhakika wa kupambania ubunge na udiwani na hata kushinda.

Kwa kuwa anajua hawezi kushinda, anazuia hata wenzake wasipate mpaka yeye apate pia. Imagine kijana kama John Mrema, Pambalu, Catherine Ruge, Sugu. Ndoto zao zinaharibiwa na mtu mmoja kutokana na roho yake mbaya.
Kupitia chaguzi za 2019/20/24 weka ushahidi wa ndoto za vijana wa cdm kutimia hadi leo Lisu kaja kuziua.
 
Ndoto za vijana wengi walio CHADEMA zinazikwa na Lissu. Lissu ana uhakika kwamba hawezi kushinda U-Rais. Wenzake wana uhakika wa kupambania ubunge na udiwani na hata kushinda.

Kwa kuwa anajua hawezi kushinda, anazuia hata wenzake wasipate mpaka yeye apate pia. Imagine kijana kama John Mrema, Pambalu, Catherine Ruge, Sugu. Ndoto zao zinaharibiwa na mtu mmoja kutokana na roho yake mbaya.
Sasa Lisu anazizikaje kwani CDM ilikuwa na Mbunge yoyote.
 
Mbona sioni kama kuna ndoto za mtu yeyote iliyozimwa na Lissu? Maaana vyama vipo 18 vilivyo saini sheria za uchaguzi, endapo kuna kijana au mtu yeyote aliekua na matumaini ya kugombea Urais, Ubunge au Udiwani na akaona Chadema haitashiriki si anaenda tu chama chochote kinachoshiriki na kugombea?
Au wamepigwa marufuku kuhamia vyama vingine hao vijana wanaozimwa ndoto zao?
 
Walimpenda wenyewe, wakamchagua wenyewe
Ndoto za vijana wengi walio CHADEMA zinazikwa na Lissu. Lissu ana uhakika kwamba hawezi kushinda U-Rais. Wenzake wana uhakika wa kupambania ubunge na udiwani na hata kushinda.

Kwa kuwa anajua hawezi kushinda, anazuia hata wenzake wasipate mpaka yeye apate pia. Imagine kijana kama John Mrema, Pambalu, Catherine Ruge, Sugu. Ndoto zao zinaharibiwa na mtu mmoja kutokana na roho yake mbaya.
Walimpenda wenyewe, wakamchagua wenyewe wacha wasome namba
 
Sisiemu na mama mmeshahinda kwa 100% bado mnatoa lectures kwa mpinzani aliyepo jela? Yani unamfundisha namna ya kukushinda? Kweli wachawi wapo
 
Ndoto za vijana wengi walio CHADEMA zinazikwa na Lissu. Lissu ana uhakika kwamba hawezi kushinda U-Rais. Wenzake wana uhakika wa kupambania ubunge na udiwani na hata kushinda.

Kwa kuwa anajua hawezi kushinda, anazuia hata wenzake wasipate mpaka yeye apate pia. Imagine kijana kama John Mrema, Pambalu, Catherine Ruge, Sugu. Ndoto zao zinaharibiwa na mtu mmoja kutokana na roho yake mbaya.
INAKUHUSU NINI WEWE MALAYA WA KISIASA WA CCM.

TUACHE NA CHADEMA YETU.SISI KUTOSHIRIKI UCHAGUZIO MNAUMIA NINI?
 
Wakome

Si walimchagua wenyewe
AKOME NANI? WEWE NA UMALAY WAKO WA CCM UNAHISI CHADEMA TUMEUMIA AU NYIE CCM NDIYO MNAUMIA ?KILA BAADA YA NUDA MNAANZISHA UZI

NA OLEWEKE MWANANCHI ATAYE PANGA MSTARI KWENYE UCHAGUZI MAJERAHA YANAMHUSU HASA TUKIGUNDUA NI WA CCM
 
Ndoto za vijana wengi walio CHADEMA zinazikwa na Lissu. Lissu ana uhakika kwamba hawezi kushinda U-Rais. Wenzake wana uhakika wa kupambania ubunge na udiwani na hata kushinda.

Kwa kuwa anajua hawezi kushinda, anazuia hata wenzake wasipate mpaka yeye apate pia. Imagine kijana kama John Mrema, Pambalu, Catherine Ruge, Sugu. Ndoto zao zinaharibiwa na mtu mmoja kutokana na roho yake mbatumia kichwa basi kufikisha ujumbe hiyo ni kauli ya chama lisu anaisimamia tu na unashangaza sana kama unaishi nnje ya nnchi hii hukuyaona 2019 2020 2024
 
Ndoto za vijana wengi walio CHADEMA zinazikwa na Lissu. Lissu ana uhakika kwamba hawezi kushinda U-Rais. Wenzake wana uhakika wa kupambania ubunge na udiwani na hata kushinda.

Kwa kuwa anajua hawezi kushinda, anazuia hata wenzake wasipate mpaka yeye apate pia. Imagine kijana kama John Mrema, Pambalu, Catherine Ruge, Sugu. Ndoto zao zinaharibiwa na mtu mmoja kutokana na roho yake mbaya.
Nyie wanafiki wakubwa na washenzi kabisa hizo nafasi za ubunge mbona 2020 hawakuzigusa ????

Mmeumia kweli chadema kutoshiriki uchaguzi sijui uchafuzi au CCM kupeana madaraka.
 
Ndoto za vijana wengi walio CHADEMA zinazikwa na Lissu. Lissu ana uhakika kwamba hawezi kushinda U-Rais. Wenzake wana uhakika wa kupambania ubunge na udiwani na hata kushinda.

Kwa kuwa anajua hawezi kushinda, anazuia hata wenzake wasipate mpaka yeye apate pia. Imagine kijana kama John Mrema, Pambalu, Catherine Ruge, Sugu. Ndoto zao zinaharibiwa na mtu mmoja kutokana na roho yake mbaya.
Mbona 2020 waligombea na mkaiba? Kwa nini mnaumia kususiwa? Jitangezieni ushindi. Of course, Chadema kushiriki uchaguzi mwaka huu wangeonekana hawajielewi.
 
Ndoto za vijana wengi walio CHADEMA zinazikwa na Lissu. Lissu ana uhakika kwamba hawezi kushinda U-Rais. Wenzake wana uhakika wa kupambania ubunge na udiwani na hata kushinda.

Kwa kuwa anajua hawezi kushinda, anazuia hata wenzake wasipate mpaka yeye apate pia. Imagine kijana kama John Mrema, Pambalu, Catherine Ruge, Sugu. Ndoto zao zinaharibiwa na mtu mmoja kutokana na roho yake mbaya.
Kwa ufupi ni mbinafsi.. jamaa
 
2020 kwa mpango kama huu walipata nini hao vijana wanaozikiwa ndoto zao?
 
Ndoto za vijana wengi walio CHADEMA zinazikwa na Lissu. Lissu ana uhakika kwamba hawezi kushinda U-Rais. Wenzake wana uhakika wa kupambania ubunge na udiwani na hata kushinda.

Kwa kuwa anajua hawezi kushinda, anazuia hata wenzake wasipate mpaka yeye apate pia. Imagine kijana kama John Mrema, Pambalu, Catherine Ruge, Sugu. Ndoto zao zinaharibiwa na mtu mmoja kutokana na roho yake mbaya.
Kura zao za 2020 wanazo hao unaowashabikia, waliporwa siyo kwa kificho kwani waliambiwa hamtarudi bungeni na kweli ikawa hivyo.
 
Back
Top Bottom