PreGE2025 Lissu anazika ndoto za vijana wa CHADEMA kushika nafasi za ubunge na udiwani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ndoto za vijana wengi walio CHADEMA zinazikwa na Lissu. Lissu ana uhakika kwamba hawezi kushinda U-Rais. Wenzake wana uhakika wa kupambania ubunge na udiwani na hata kushinda.

Kwa kuwa anajua hawezi kushinda, anazuia hata wenzake wasipate mpaka yeye apate pia. Imagine kijana kama John Mrema, Pambalu, Catherine Ruge, Sugu. Ndoto zao zinaharibiwa na mtu mmoja kutokana na roho yake mbaya.
Huu ni mtaji kwa ACT, nadhauri wakimbilie huko watatoboa tu na kisha ACT kitakuwa chama kikuu cha upinzani
 
Waende Wakagombee ACT ama hata CCM...... Chadema ipo ndani ya Mioyo ya Watanzania....!
CHADEMA badala ya kuwa nje wakopambana na CCM wameamua kuwa ndani ya mioyo ya Watanzania??

Ila moyoni mwangu hawapo
 
Ndoto za vijana wengi walio CHADEMA zinazikwa na Lissu. Lissu ana uhakika kwamba hawezi kushinda U-Rais. Wenzake wana uhakika wa kupambania ubunge na udiwani na hata kushinda.

Kwa kuwa anajua hawezi kushinda, anazuia hata wenzake wasipate mpaka yeye apate pia. Imagine kijana kama John Mrema, Pambalu, Catherine Ruge, Sugu. Ndoto zao zinaharibiwa na mtu mmoja kutokana na roho yake mbaya.
Anaokoa wasiuawe. Nyie mnawaua wakitaka kugombea ubunge, shetani nyie
 
Ndoto za vijana wengi walio CHADEMA zinazikwa na Lissu. Lissu ana uhakika kwamba hawezi kushinda U-Rais. Wenzake wana uhakika wa kupambania ubunge na udiwani na hata kushinda.

Kwa kuwa anajua hawezi kushinda, anazuia hata wenzake wasipate mpaka yeye apate pia. Imagine kijana kama John Mrema, Pambalu, Catherine Ruge, Sugu. Ndoto zao zinaharibiwa na mtu mmoja kutokana na roho yake mbaya.
Hadi disemba mtatoa machozi ya damu sababu ya chadema kukataa kushiriki..

Tunasubiri nyuzi nyingine ya chadema utakayo anzisha...
 
Kuanzia June tutajadili watia nia, Lissu atakuwa ameshafungwa na kusahaulika
 
Nifakukumbusha utakapoitaja CHADEMA na Lisu kuanzia hiyo Jumanne.

Najua huwezi kutoa hayo maneno mawili kwenye mawazo yako.
Nilikwambia wanaishi akilini mwako bure
 
Kuna vyama vingi, hata ccm wanaweza kwenda kugombea, chama bila misimamo hakiwezi kuwa chama.
 
Back
Top Bottom