Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Katika mwanasiasa mwenye wafuasi wengi hapa tanzania ni lissu yaani kama itatokea Leo akaanzisha chama chake basi kitakua na fanbase kubwa sana kuzidi vyama vyote nashangaa anaendelea kupoteza mda Kwa diktekta mbowe ambaye chama amekifanya kama geto lake