Lissu, anzisha chama chako achana na Mbowe

Lissu, anzisha chama chako achana na Mbowe

Kama ipo ipo tu tusiingie kwenye mawazo kama ya misisiyemu ambayo tumeilalamikia muda mrefu kwamba inaengua wapinzani wao ili wapite bila kupingwa tunampenda sana mh Lissu lakini litakuwa kosa kubwa kuzuia wengine wasigombee mwacheni huyo Mbowe agombee ila muhimu kuwe na uchaguzi huru na wa haki na wajumbe wa mkutano mkuu wafanye tafakuri ya kina hasa katika kuhakikisha wanamchagua mwenyekiti ambaye atatutoa tulipo na kutupeleka mbele zaidi.Wajumbe kuweni waadilifu na msikubali kurubuniwa na mgombea yeyote hiyo tarehe 20 Januari mtangulizeni Mungu mbele . Sanduku la kura liamue inshala mwamba Lissu atashinda
 
Hamna kitu hapo
 
Kweli sema figisu za usajili lakini naamini siku ya kwanza tu akitangaza kuanzisha ndio itakuwa mwisho wa upinzani uchwara
Hivi mnadhani chama cha siasa kitachangia nn kwenye maisha yetu? Kama ni maendeleo na mageuzi ya miserable na kiuchumi endelevu wananchi tuamke wenyewe. Vyama vya siasa viko chini ya serikali akipingana sana wanakifuta.
Kwahiyo msijidanganye kuna kitu atafanya cha yofauti.
 
Katika mwanasiasa mwenye wafuasi wengi hapa tanzania ni lissu yaani kama itatokea Leo akaanzisha chama chake basi kitakua na fanbase kubwa sana kuzidi vyama vyote nashangaa anaendelea kupoteza mda Kwa diktekta mbowe ambaye chama amekifanya kama geto lake
Ushauri mbovu wa kiwango cha rami, hakuna kukimbia vita ,lissu anashinda
 
Lisu ni mwanaharakati tuu na sio kiongozi. Aanzishe Chama cha harakati uongozi ni karma ambayo yeye Hana.
 
Unaweza ukakuta hata mwandishi mwenyewe ni miongoni mwa wale wanaowashwa na pilipili wasizokula.
 
Labda ashirikiame na CCM vinginevyo asahau kupata usajili wa kudumu...ataoigwa danadana hdi anafika 75 chama hajakiona mtaani.
 
Katika mwanasiasa mwenye wafuasi wengi hapa tanzania ni lissu yaani kama itatokea Leo akaanzisha chama chake basi kitakua na fanbase kubwa sana kuzidi vyama vyote nashangaa anaendelea kupoteza mda Kwa diktekta mbowe ambaye chama amekifanya kama geto lake
Kinachoanzisha chama ni pesa ni maneno.

Fukara huyo ataanzisha chama kipi Hadi kiwe kama Chadema?

Lisu alitoka NCCR alikuta Chadema imesimama .

By the way hana hiyo jeuri ,Mbowe ni mfanyabiashara ana uthibutu na mbinu za kuweza kuanzisha vitu,huyo ropo ropo Kuna nini anaweza?

Kwanza Chadema hakikisheni hapiti Ili tuone.
 
Katika mwanasiasa mwenye wafuasi wengi hapa tanzania ni lissu yaani kama itatokea Leo akaanzisha chama chake basi kitakua na fanbase kubwa sana kuzidi vyama vyote nashangaa anaendelea kupoteza mda Kwa diktekta mbowe ambaye chama amekifanya kama geto lake
kimsingi lissu ndo kachangia kuidhoofisha chadema, alianza kampeni za kuwaondoa vijana waliojitolea kubeba spika bila malipo, akina zitto kafulila luhwanya mdee, akawaondoa think tank akina prof kitila mkumbo prof safari,

hakuishia hapo akachana katiba kwa kuondoa ukomo wa mwenyekiti, akamleta lowasa kwa twoten, chama kikalia mpwaa, akina dr.slaa wakaona wajiweke kando. akaleta biashara ya kutembea na majina ya wagombea mfukoni

yeye lissu na mwenzie wakaleta siasa za black panther, tukawambia .taishia mupigwa risasi hakusikia. tukamweleza biashara ya kupanda jukwaani na kvant zitakutokea puani. hakusikia.

siasa za kuchaniana mashati hakuna sehemu zilishaleta tija. sasa wenzie washituka wanaona keshakuwa mzigo wanamdrop kimyakimya.

unafuatwa faragha haya haukubaliani na hoja ya mgeni wako basi malizana nae kistaarabu, sio unaanza kuropoka hovyo, eti dogo abdul alikuwa anampanga, hivi kweli lissu ndo wakupangwa na dogo kweli?
 
Back
Top Bottom