Lissu, anzisha chama chako achana na Mbowe

Lissu, anzisha chama chako achana na Mbowe

Kweli sema figisu za usajili lakini naamini siku ya kwanza tu akitangaza kuanzisha ndio itakuwa mwisho wa upinzani uchwara
Labda hicho chama kiwe na wapumbavu watupu .

Anzisheni msajili Vyama tuwaone.

Mwisho Tanzania haiwezi toa usajili Kwa Vyama vya vibaraka wa EU na Amsterdam
 
Lissu hajawah anzisha kitu chochote cha maana toka azaliwe....

Labda familia
Hana hicho kipaji Bali yeye anachoweza ni kuropoka,kufitini, kutanga tanga na kupinga Kila kitu.

Muulize huyo Lisu kwamba Je Kuna kitu kipi Cha maana Serikali imefanya uone kama atakujibu.

Toka amezaliwa Hadi atakufa yeye anapinga tuu 😂😂😂
 
Ndio ataanza sasa uone.
Kila kitu huwa na mwanzo.
Kaanzisheni mbona mnajizungusha? Mushapewa go ahead huko
20241221_221806.jpg
20241221_155058.jpg
 
Kama ipo ipo tu tusiingie kwenye mawazo kama ya misisiyemu ambayo tumeilalamikia muda mrefu kwamba inaengua wapinzani wao ili wapite bila kupingwa tunampenda sana mh Lissu lakini litakuwa kosa kubwa kuzuia wengine wasigombee mwacheni huyo Mbowe agombee ila muhimu kuwe na uchaguzi huru na wa haki na wajumbe wa mkutano mkuu wafanye tafakuri ya kina hasa katika kuhakikisha wanamchagua mwenyekiti ambaye atatutoa tulipo na kutupeleka mbele zaidi.Wajumbe kuweni waadilifu na msikubali kurubuniwa na mgombea yeyote hiyo tarehe 20 Januari mtangulizeni Mungu mbele . Sanduku la kura liamue inshala mwamba Lissu atashinda
Chawa unaleta Dua la kuku kwenye siasa? 😂😂

Hela mnazo lakini?
 
Lissu mwenyewe anajua akitoka nje ya chadema ndio amekufa kisiasa ndio maana hakufanya hivyo .
Siasa ni team work Tena ya watu makini na wenye ela .
Siasa za sashivi sio za Miaka ya 60 ambazo michango ya wanachama tu inatosha tu.
Lisu ni maalim Seif wa bara akitoka chadema imekishwa hata alivyotoka CUF imekwisha
 
Katika mwanasiasa mwenye wafuasi wengi hapa tanzania ni lissu yaani kama itatokea Leo akaanzisha chama chake basi kitakua na fanbase kubwa sana kuzidi vyama vyote nashangaa anaendelea kupoteza mda Kwa diktekta mbowe ambaye chama amekifanya kama geto lake
Tapeli kakutapeli nini? Tuache umalaya wa kujitia ujuaji
 
Upo sahihi.
Lakini na yeye atawawala miaka 30 kwenye hicho chama chache. Ipo hivyo..sisi ni africa.
 
Itakuwa ndiyo mwisho wake kisiasa!
Hicho chama mpaka kipate Usajiri ni leo?
Na kama unavyojua Msajiri ni Mtumishi wa Serikali ya CCM.
Bora akomae humo humo!
 
Back
Top Bottom