Lissu, anzisha chama chako achana na Mbowe

Lissu, anzisha chama chako achana na Mbowe

Lisu Hana kipaji cha maamuzi na hekima maalimu alikuwa nacho .
Nachangamsha genge mkuu hakuna mpinzani wa kufanana na maalim Seif Tanzania Mungu amlaze mahala pema peponi
 
Basi taaaisi ya cuf ingekua baada ya kutoka Seif.
Lile pandikizi Lipumba ndiyo liliua chama na CUF haijawahi kuwa institution, Maalim ndiyo ilikuwa institution yenyewe.
Slaa na Zitto walitoka kipindi wakiwa na ushabiki wa mawaluwalu kibao lakini leo wamepotea wenyewe.
 
Lisu ni maalim Seif wa bara akitoka chadema imekishwa hata alivyotoka CUF imekwisha
Pamoja na kwamba generally huwa ninazikibali harakati za Lissu lakini kwamba akitoka CHADEMA imekwisha ni kichekesho, hana ubavu huo na yeye si nguvu zilizoibeba CHADEMA tofauti na Maalim. Huko Uarabuni michango mingi ya CUF ilipokuwa ikitokea ilikuwa inakuja kwa sababu ya Maalim, bila fedha za Waarabu CUF isingesumama vile na zilipokata CUF ikajifia natural death.
Lissu is a very aggressive fighter lakini uongozi ni zaidi ya kuwa 'fighter', uongozi unahitaji sana strategies and sensible plannings. Serikali unaweza kuiongoza ile style ya 'one man show' kama alivyokuwa alifanya Jiwe kwa kuwa unakuwa na vyombo vya dola with 100% loyalty lakini ukiwa kwenye opposition you need a very compact team jambo ambalo kwa Lissu kutengeneza timu na kui-handle ni changamoto somehow hii tumejionea from these current events.
 
Lissu hajawah anzisha kitu chochote cha maana toka azaliwe....

Labda familia
Wacha wamdanganye! Huyo ni kama SAMAKI tu, na huko aliko, ni kwenye maji! Akitoka tu ndani ya maji, hawezi kujisogeza hata sentimita tano! 'NGUVU YA MAMBA KUMAYI!!!!'
 
Lissu hatakiwi kuondoka baada ya uchaguzi kama akishindwa haitakuwa tofauti na Msigwa, pia ndicho ambacho wapinzani wanachotarajia afanye. Hatakiwi kuwapa hiyo nguvu.
 
Katika mwanasiasa mwenye wafuasi wengi hapa tanzania ni lissu yaani kama itatokea Leo akaanzisha chama chake basi kitakua na fanbase kubwa sana kuzidi vyama vyote nashangaa anaendelea kupoteza mda Kwa diktekta mbowe ambaye chama amekifanya kama geto lake
Lisu anataka Uenyekiti kwa kumshambulia Mwenyekiti hadharani
Hakuna atakaekuamini,hapa ndipo alipojichanganya
 
Lissu hatakiwi kuondoka baada ya uchaguzi kama akishindwa haitakuwa tofauti na Msigwa, pia ndicho ambacho wapinzani wanachotarajia afanye. Hatakiwi kuwapa hiyo nguvu.
Gia aliyoingilia ndio inamuharibia,unatakaje uenyekiti kwa kumshambulia Mwenyekiti hadharani?
 
Gia aliyoingilia ndio inamuharibia,unatakaje uenyekiti kwa kumshambulia Mwenyekiti hadharani?
Shida ni kuPersonalise alichosema kama mashambulizi kwa Mbowe, hajaongea mambo binafsi ila yanayoihusu nafasi ya Mwenyekiti kama cheo. Ni kama Rais anakosolewa kama Rais na sio yeye binafsi.
 
Japo Mboe nimzee wa maslahi lakini anambinu na utulivu wa kuoganaizi wanachama na kuweka mpango wa kuhakisha chama kinasavaivu.

Lisu hanaweledi wa uongozi,nimtu anaehitaji mtu mbeleyake kwaajili ya muongozo hasa katika mambo yanayohitaji busara.

Anapapara sana na nimpenda misifa hata isiyo stahiki.
Akianzisha chama kitakuwa kama chama cha wahunitu.

Lisu anafaasana mahakamani katika fani yake ya uwakili ambapo mbwembwe na manenomaneno mengine hutumika.
 
Katika mwanasiasa mwenye wafuasi wengi hapa tanzania ni lissu yaani kama itatokea Leo akaanzisha chama chake basi kitakua na fanbase kubwa sana kuzidi vyama vyote nashangaa anaendelea kupoteza mda Kwa diktekta mbowe ambaye chama amekifanya kama geto lake
Ushauri wa hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom