Lissu, anzisha chama chako achana na Mbowe

Lissu, anzisha chama chako achana na Mbowe

Kila hila zitashindwa, ya gizani yatashindwa.
Mungu atawaumbua wote wenye hila za siasa za nchi hii ili kutaka waendelee kufanya wafanyayo.
 
Kweli sema figisu za usajili lakini naamini siku ya kwanza tu akitangaza kuanzisha ndio itakuwa mwisho wa upinzani uchwara
Hata Mimi nitakua mwanachama wake. Mbowe nimeamini ni tapeli. Kama kwenye siasa Hana kipya Cha kufanya ilikua vyema amuachie lissu asukume gurudumu la cdm. Kama kweli angekua na nia njema.
 
Katika mwanasiasa mwenye wafuasi wengi hapa tanzania ni lissu yaani kama itatokea Leo akaanzisha chama chake basi kitakua na fanbase kubwa sana kuzidi vyama vyote nashangaa anaendelea kupoteza mda Kwa diktekta mbowe ambaye chama amekifanya kama geto lake
Fact yan! Akibakia Chadema atakosa sifa za kuaminisha jamii kuhusu katiba mpya wakati ya ndani ya chama imekaa ki dictator!
 
Lissu mwenyewe anajua akitoka nje ya chadema ndio amekufa kisiasa ndio maana hakufanya hivyo .
Siasa ni team work Tena ya watu makini na wenye ela .
Siasa za sashivi sio za Miaka ya 60 ambazo michango ya wanachama tu inatosha tu.
 
Huna akili
 
Back
Top Bottom