Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Wee shit tayarisheni ticket yake kwenda Ubelgiji haraka sanaaa...Kweli sema figisu za usajili lakini naamini siku ya kwanza tu akitangaza kuanzisha ndio itakuwa mwisho wa upinzani uchwara
Sahihi kabisa lissu ana watuKweli sema figisu za usajili lakini naamini siku ya kwanza tu akitangaza kuanzisha ndio itakuwa mwisho wa upinzani uchwara
HujitambuiWee shit tayarisheni ticket yake kwenda Ubelgiji haraka sanaaa...
HujielewiLissu hajawah anzisha kitu chochote cha maana toka azaliwe....
Labda familia
Usipanic mkuu... Maisha ndivyo yalivyo...Hujielewi
Asante sana mkuu shit mwingineHujitambui
Hawatampa usajili......wanamuogopa kama ukoma wa kwanza JK....Katika mwanasiasa mwenye wafuasi wengi hapa tanzania ni lissu yaani kama itatokea Leo akaanzisha chama chake basi kitakua na fanbase kubwa sana kuzidi vyama vyote nashangaa anaendelea kupoteza mda Kwa diktekta mbowe ambaye chama amekifanya kama geto lake
Duuh hatariHawatampa usajili......wanamuogopa kama ukoma wa kwanza JK....
Lissu ni mkubwa kuzidi chadema ngoja atoke ndio utajuaUmaarufu unatokana na taasisi,
ukitoka kwenye taasisi nguvu na support inapungua
Issue sio kuwa na wafuasi wengi,fedha ndio inayoendesha siasa.Katika mwanasiasa mwenye wafuasi wengi hapa tanzania ni lissu yaani kama itatokea Leo akaanzisha chama chake basi kitakua na fanbase kubwa sana kuzidi vyama vyote nashangaa anaendelea kupoteza mda Kwa diktekta mbowe ambaye chama amekifanya kama geto lake
Mmmh, basi pole sana,Lissu ni mkubwa kuzidi chadema ngoja atoke ndio utajua
Kamsaidie kufungua huku jf hakuna msajiliKatika mwanasiasa mwenye wafuasi wengi hapa tanzania ni lissu yaani kama itatokea Leo akaanzisha chama chake basi kitakua na fanbase kubwa sana kuzidi vyama vyote nashangaa anaendelea kupoteza mda Kwa diktekta mbowe ambaye chama amekifanya kama geto lake
Kama ana watu ana hofu gani si atashindaSahihi kabisa lissu ana watu
We kwani unahofu Gani na lissuKama ana watu ana hofu gani si atashinda
Wafuasi ndio hela yenyewe tumia akili kidogoIssue sio kuwa na wafuasi wengi,fedha ndio inayoendesha siasa.