Lissu, anzisha chama chako achana na Mbowe

Wajumbe wote ni chawa wa mwamba
Sasa alipoamua kugombea alikuwa hajui hilo? Au kalifahamu hilo baada ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi? Kelele za nini sasa, afanye kampeni au aache.

Mtu mwenye akili alipaswa kulijua hilo, mwamba ni mwenyekiti miaka 20, na harakati za chama wanafanya wote, alikosea wapi.

Akubali kushindana, incumbency huwa wanashindwa pia, wajumbe siyo mazombie ni watu wanaakili timamu.

Atulie, afanye kampeni zake vizuri adubirie kura.
 
Kuanzisha chama muda huu na kwa wakati huu ni kuendeleza utitiri wa vyama vingi visivyo na tija. TAL anapaswa kushinda na aunganishe nguvu na vyama makini kuiondoa CCM madarakani.. Ikishindikana basi anapaswa kuondoka na kujiunga na chama makini ACT Wazalendo ili kuikabili CCM na washirika wake Chadema
 
Kuhama sio rahisi kiiivyo!! Unavyodhani,vigingi ni vingi mbele yake,kungekuwa na sheria yamgombea huru ingekuwa rahisi,,gumzo looote kwasasa si uchaguzi wa CDM au mbowe,ni TL tu..
 
Sawa
 
Itakuwa ndiyo mwisho wake kisiasa!
Hicho chama mpaka kipate Usajiri ni leo?
Na kama unavyojua Msajiri ni Mtumishi wa Serikali ya CCM.
Bora akomae humo humo!

Subiri uone tusiandikie mate wakati wino upo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…