Lissu aombe radhi kwa kumkejeli Rais Magufuli

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
10,940
Reaction score
7,849
Mambo yaliyomtokea Lissu mimi naona ni laana kutokana na kejeli dharau na matusi aliyomfanyia Rais Magufuli siku za mwanzo za utawala wake.

Rais Magufuli ni mtu mwenye imani ya Mungu. Kwa wale wenye kumbukumbu siku za mwanzo utawala wa Magufuli kuna viongozi wa CHADEMA walionesha uhasama mkubwa kwa Magufuli wakiongozwa na Lissu. Walichukia na hawakuamini kushindwa uchaguzi japo kwa kila dalili CCM ilionekana wangeshinda. Inaelekea Lissu mwenye imani kubwa na mabeberu wa kizungu baada ya kuhakikishiwa na wao wangeshinda hakuamini kushindwa.

Hapa ninakumbusha kauli ya kejeli na dharau ya Tundu Lissu nje ya Mahakama Kisutu mbele ya waandishi wa habari aliposema kwa kejeli na dharau huku akivuta mdomo '...katika nchi hii haijawahi kutokea rais wa hovyo kama Magufuli' kisha akasema 'narudia tena' akarudia maneno yake. Binafsi nilisikitika na kumuonea huruma lLssu.

Hivi leo binafsi naona yaliyompata Lissu kama laana kutokana na kumkejeli na kumdharau pia kumtusi kiongozi na mtu mwema anayependwa sana na wananchi. Badala ya Lissu kuendelea kutumika na ubeberu na hadi viongozi wa vyama vya mashoga arudi na kuomba msamaha.

Viongozi nchini mashuhuri kama Kinana wameomba radhi baada ya kumkosea Rais Magufuli ndio itakuwa Lissu?
 
Ww sema tu vizuri kuwa huyo unayetaka aombwe msamaha na Lissu alishindwa kuvumilia mambo ya kisiasa, akaamua aagize kilichomkuta Lissu, usijifiche kwenye laana wakati kila kitu kiko wazi. Huyo Kinana ameomba msamaha maana sio msafi, hivyo hana jinsi zaidi ya kuomba msamaha wa kiini macho. Hata shetani aliwahi kumjaribu Yesu kwa kumwambia amsujudie ili ampe ufalme wa dunia hii, huo ufalme aliohitaji Kinana, Lissu hautaki.

Hiyo ya kusema kuwa eti Lissu anaunga mkono ushoga inaonekana ni propaganda mliyoitengeneza kisha mkaiamini wenyewe. Tunataka mtumie hizo propaganda wakati wa kampeni, ili tuweke hadharani ukatili mliyofanya toka viroba huko ufukweni, mpaka operation za lile kundi lenu la watu wasiojulikana. Hata hivyo huna sababu ya kujificha kwenye kichaka cha laana, wakati mnapeleka mswaada wa kutoshitakiwa kwa hayo mliyowafanyia kina Lissu.
 
pale wauaji wanapoanza kuweweseka...umesema "yaliyomtokea Lissu unaona ni laana kutokana na kejeli dharau na matusi dhidi ya JPM"

SO mlimpiga risasi kwa sabb hizo ulizozianisha

kumbe ndio maana mambo za kutekana & mauaji yameshamiri awamu hii ya 5 kwa sabb hiyo eeh

Mungu yupo, malipo mtayapata hapa hapa duniani.
 
Ww sema tu vizuri kuwa huyo unayetaka aombwe msamaha na Lissu alishindwa kuvumilia mambo ya kisiasa, akaamua aagize kilichomkuta Lissu, usijifiche kwenye laana wakati kila kitu kiko wazi. Huyo Kinana ameomba msamaha maana sio msafi, hivyo hana jinsi zaidi ya kuomba msamaha wa kiini macho. Hata shetani aliwahi kumjaribu Yesu kwa kumwambia amsujudie ili ampe ufalme wa dunia hii, huo ufalme aliohitaji Kinana, Lissu hautaki.

Hiyo ya kusema kuwa eti Lissu anaunga mkono ushoga inaonekana ni propaganda mliyoitengeneza kisha mkaiamini wenyewe. Tunataka mtumie hizo propaganda wakati wa kampeni, ili tuweke hadharani ukatili mliyofanya toka viroba huko ufukweni, mpaka operation za lile kundi lenu la watu wasiojulikana. Hata hivyo huna sababu ya kujificha kwenye kichaka cha laana, wakati mnapeleka mswaada wa kutoshitakiwa kwa hayo mliyowafanyia kina Lissu.
Dr Mollel : Chadema walipanga njama za kumpiga risasi Lisu na wakaamua kumficha dereva!
 
Hapo si ndio palikuwa pazuri kwa polisi kuchukua ushahidi? Hilo shambulio la lisu liko hivyo kama anavyolisema na anayemtaja. Cha muhimu ni kulazimisha hivyo vifungu vya sheria vya kutoshitakiwa, maana ndio msaada pekee kwa sasa.
 
Mambo yaliyomtokea Lissu mimi naona ni laana kutokana na kejeli dharau na matusi aliyomfanyia Rais Magufuli siku za mwanzo za utawala wake.

Rais Magufuli ni mtu mwenye imani ya Mungu. Kwa wale wenye kumbukumbu siku za mwanzo utawala wa Magufuli kuna viongozi wa CHADEMA walionesha uhasama mkubwa kwa Magufuli wakiongozwa na Lissu. Walichukia na hawakuamini kushindwa uchaguzi japo kwa kila dalili CCM ilionekana wangeshinda. Inaelekea Lissu mwenye imani kubwa na mabeberu wa kizungu baada ya kuhakikishiwa na wao wangeshinda hakuamini kushindwa.

Hapa ninakumbusha kauli ya kejeli na dharau ya Tundu Lissu nje ya Mahakama Kisutu mbele ya waandishi wa habari aliposema kwa kejeli na dharau huku akivuta mdomo '...katika nchi hii haijawahi kutokea rais wa hovyo kama Magufuli' kisha akasema 'narudia tena' akarudia maneno yake. Binafsi nilisikitika na kumuonea huruma lLssu.

Hivi leo binafsi naona yaliyompata Lissu kama laana kutokana na kumkejeli na kumdharau pia kumtusi kiongozi na mtu mwema anayependwa sana na wananchi. Badala ya Lissu kuendelea kutumika na ubeberu na hadi viongozi wa vyama vya mashoga arudi na kuomba msamaha.

Viongozi nchini mashuhuri kama Kinana wameomba radhi baada ya kumkosea Rais Magufuli ndio itakuwa Lissu?
Mugufuli ana imani ya Mungu?
Magufuli ana imani ya Mungu?
Magufuli ana imani ya Mungu?
 
Back
Top Bottom