Lissu aombe radhi kwa kumkejeli Rais Magufuli

Ww sema tu vizuri kuwa huyo unayetaka aombwe msamaha na Lissu alishindwa kuvumilia mambo ya kisiasa, akaamua aagize kilichomkuta Lissu, usijifiche kwenye laana wakati kila kitu kiko wazi. Huyo Kinana ameomba msamaha maana sio msafi, hivyo hana jinsi zaidi ya kuomba msamaha wa kiini macho. Hata shetani aliwahi kumjaribu Yesu kwa kumwambia amsujudie ili ampe ufalme wa dunia hii, huo ufalme aliohitaji Kinana, Lissu hautaki.

Hiyo ya kusema kuwa eti Lissu anaunga mkono ushoga inaonekana ni propaganda mliyoitengeneza kisha mkaiamini wenyewe. Tunataka mtumie hizo propaganda wakati wa kampeni, ili tuweke hadharani ukatili mliyofanya toka viroba huko ufukweni, mpaka operation za lile kundi lenu la watu wasiojulikana. Hata hivyo huna sababu ya kujificha kwenye kichaka cha laana, wakati mnapeleka mswaada wa kutoshitakiwa kwa hayo mliyowafanyia kina Lissu.
Huyo lissu aliyejipendekeza kwa acacia na kupewa kibaru kuwatetea hao wezi ndio msafi? Alituambia makontena ya mchanga wa dhahabu ni mali ya acacia tukijaribu kuwazuia tutanyolewa kama taifa. Mwanasheria gani kama kweli mzalendo anatumiwa na kampuni za kibeberu kudhulumu taifa lake mabilioni.
 
Mikataba yote ya madini na wazungu wameingia kina JK, Mkapa na Magufuli. Lete mkataba wowote alioingia na hao Acacia. Naona unamezeshwa propaganda mfu na ww unazitapika hapa jukwaani kama zilivyo. Ni hatua gani wamechukuliwa hao walioingia mikataba na hayo makampuni, ili tujue kweli kuna vita ya kupambania hizo raslimali?
 
Mambo yaliyomtokea Lissu mimi naona ni laana kutokana na kejeli dharau na matusi aliyomfanyia Rais Magufuli siku za mwanzo za utawala wake.

Rais Magufuli ni mtu mwenye imani ya Mungu. Kwa wale wenye kumbukumbu siku za mwanzo utawala wa Magufuli kuna viongozi wa CHADEMA walionesha uhasama mkubwa kwa Magufuli wakiongozwa na Lissu. Walichukia na hawakuamini kushindwa uchaguzi japo kwa kila dalili CCM ilionekana wangeshinda. Inaelekea Lissu mwenye imani kubwa na mabeberu wa kizungu baada ya kuhakikishiwa na wao wangeshinda hakuamini kushindwa.

Hapa ninakumbusha kauli ya kejeli na dharau ya Tundu Lissu nje ya Mahakama Kisutu mbele ya waandishi wa habari aliposema kwa kejeli na dharau huku akivuta mdomo '...katika nchi hii haijawahi kutokea rais wa hovyo kama Magufuli' kisha akasema 'narudia tena' akarudia maneno yake. Binafsi nilisikitika na kumuonea huruma lLssu.

Hivi leo binafsi naona yaliyompata Lissu kama laana kutokana na kumkejeli na kumdharau pia kumtusi kiongozi na mtu mwema anayependwa sana na wananchi. Badala ya Lissu kuendelea kutumika na ubeberu na hadi viongozi wa vyama vya mashoga arudi na kuomba msamaha.

Viongozi nchini mashuhuri kama Kinana wameomba radhi baada ya kumkosea Rais Magufuli ndio itakuwa Lissu?
Unasemaje kuwa ni laana kutoka kwa Mungu wakati Magufuli ndiye aliyeagiza apigwe risas unataka kusema kuwa Mungu ndiye alimuagiza Magufuli kumuua Lissu? Nataka kukuhakkkishia kuwa Mungu muumbaji wa mbingu na ardhi hana tabia hiyo. Labda kama unamuelezea Mungu mwingine.

Mungu wetu ni mvumilivu, si mwepesi wa hasira, tena ni Mungu mwenye upendo mwingi. Ni Mungu anayetamani watu wake wawe huru, uhuru wa kuzungumza, uhuru wa kujumuika. Unadhani Magufuli anayo hata chembe ya tabia ya Mungu. Kwa hakika Mungu hawezi kutumia mtu katili, asiyependa kukosolewa, anayewakandamiza watu wenye mawazo tofauti na yake, anayependa sifa, asiyeuzuia mdomo wake.

Magufuli halikuwa chaguo la Mungu. Ni kama vile wa Israel walivyodai kuongozwa na Sauli, Munhu akawaacha ili wajifunze madhara ya kumkataa. Magufuli aliinhizwa Ikulu kwa nguvu tu na kwa kimba kura, hivyo hawezi kuwa chaguo la Mungu
 
Mda si mrefu hili nalo ndugai atakataza kutajwa bungeni
 
Hapo si ndio palikuwa pazuri kwa polisi kuchukua ushahidi? Hilo shambulio la lisu liko hivyo kama anavyolisema na anayemtaja. Cha muhimu ni kulazimisha hivyo vifungu vya sheria vya kutoshitakiwa, maana ndio msaada pekee kwa sasa.
Dereva ametoroshwa lissu anataka kurudi akisindikizwa na maajent wa ubeberu eti akagombee urais. Ana wazimu.
 
Mambo yaliyomtokea Lissu mimi naona ni laana kutokana na kejeli dharau na matusi aliyomfanyia Rais Magufuli siku za mwanzo za utawala wake.

Rais Magufuli ni mtu mwenye imani ya Mungu. Kwa wale wenye kumbukumbu siku za mwanzo utawala wa Magufuli kuna viongozi wa CHADEMA walionesha uhasama mkubwa kwa Magufuli wakiongozwa na Lissu. Walichukia na hawakuamini kushindwa uchaguzi japo kwa kila dalili CCM ilionekana wangeshinda. Inaelekea Lissu mwenye imani kubwa na mabeberu wa kizungu baada ya kuhakikishiwa na wao wangeshinda hakuamini kushindwa.

Hapa ninakumbusha kauli ya kejeli na dharau ya Tundu Lissu nje ya Mahakama Kisutu mbele ya waandishi wa habari aliposema kwa kejeli na dharau huku akivuta mdomo '...katika nchi hii haijawahi kutokea rais wa hovyo kama Magufuli' kisha akasema 'narudia tena' akarudia maneno yake. Binafsi nilisikitika na kumuonea huruma lLssu.

Hivi leo binafsi naona yaliyompata Lissu kama laana kutokana na kumkejeli na kumdharau pia kumtusi kiongozi na mtu mwema anayependwa sana na wananchi. Badala ya Lissu kuendelea kutumika na ubeberu na hadi viongozi wa vyama vya mashoga arudi na kuomba msamaha.

Viongozi nchini mashuhuri kama Kinana wameomba radhi baada ya kumkosea Rais Magufuli ndio itakuwa Lissu?
Ujaweka namba ya simu upewe teuzi mbona
 
Takataka imeandika takataka
 
Kwa sababu magufuli ni mungu basi anaemtukana anapata laana

Lissu For Future and For now
Nikuulize tu mambo machache?
Umesema yaliyomtokea Lissu ni laana kwa kumkejeli Jpm?
Kuna sheria yeyote ile ambayo Lissu Kama raia wa Tz aliikiuka kwa hicho unachoita kuwa ni kejeli kwa rais? Na Kama jibu ni ndio sheria za nchi zinapaswa kumtia hatiani kwa kosa hilo si ndio?
Na je Kama ni laana kutokana na kumkejeli huyo ulitaja kuwa ni kipenzi Cha wananchi na mwenye imani ya mungu. Sasa huoni kuwa unapaswa kututuibitishia kuwa waliohisika na kumpiga TAL risasi walikuja kumnyamazisha kutokana na hizo unazoziita kejeli na kuwa mnyororo wa tukio lake unahusiana na kumkejeli huyo mtu inaweza kuwa unawajua walimshambulia?
 
Ww sema tu vizuri kuwa huyo unayetaka aombwe msamaha na Lissu alishindwa kuvumilia mambo ya kisiasa, akaamua aagize kilichomkuta Lissu, usijifiche kwenye laana wakati kila kitu kiko wazi. Huyo Kinana ameomba msamaha maana sio msafi, hivyo hana jinsi zaidi ya kuomba msamaha wa kiini macho. Hata shetani aliwahi kumjaribu Yesu kwa kumwambia amsujudie ili ampe ufalme wa dunia hii, huo ufalme aliohitaji Kinana, Lissu hautaki.

Hiyo ya kusema kuwa eti Lissu anaunga mkono ushoga inaonekana ni propaganda mliyoitengeneza kisha mkaiamini wenyewe. Tunataka mtumie hizo propaganda wakati wa kampeni, ili tuweke hadharani ukatili mliyofanya toka viroba huko ufukweni, mpaka operation za lile kundi lenu la watu wasiojulikana. Hata hivyo huna sababu ya kujificha kwenye kichaka cha laana, wakati mnapeleka mswaada wa kutoshitakiwa kwa hayo mliyowafanyia kina Lissu.
Na bado! Laana itamwandama hadi kifo usicheze na mtu anayeamini Mungu kwelikweli.
 
Nimeishia kucheka tu, hivi mnapotaka kuandika huwa mmefanya utafiti kwanza juu ya yale mnayotaka kuandika?

Im very bored with your bullshit
Mambo yaliyomtokea Lissu mimi naona ni laana kutokana na kejeli dharau na matusi aliyomfanyia Rais Magufuli siku za mwanzo za utawala wake.

Rais Magufuli ni mtu mwenye imani ya Mungu. Kwa wale wenye kumbukumbu siku za mwanzo utawala wa Magufuli kuna viongozi wa CHADEMA walionesha uhasama mkubwa kwa Magufuli wakiongozwa na Lissu. Walichukia na hawakuamini kushindwa uchaguzi japo kwa kila dalili CCM ilionekana wangeshinda. Inaelekea Lissu mwenye imani kubwa na mabeberu wa kizungu baada ya kuhakikishiwa na wao wangeshinda hakuamini kushindwa.

Hapa ninakumbusha kauli ya kejeli na dharau ya Tundu Lissu nje ya Mahakama Kisutu mbele ya waandishi wa habari aliposema kwa kejeli na dharau huku akivuta mdomo '...katika nchi hii haijawahi kutokea rais wa hovyo kama Magufuli' kisha akasema 'narudia tena' akarudia maneno yake. Binafsi nilisikitika na kumuonea huruma lLssu.

Hivi leo binafsi naona yaliyompata Lissu kama laana kutokana na kumkejeli na kumdharau pia kumtusi kiongozi na mtu mwema anayependwa sana na wananchi. Badala ya Lissu kuendelea kutumika na ubeberu na hadi viongozi wa vyama vya mashoga arudi na kuomba msamaha.

Viongozi nchini mashuhuri kama Kinana wameomba radhi baada ya kumkosea Rais Magufuli ndio itakuwa Lissu?
 
Kitu cha hovyo kikoje? Umetoa hoja ya hovyo.
Ukiniambia maana ya "hoja hovyo",nitakuomba msamaha na kukupa binti yangu au kijana wangu ushughulike.
 
Mambo yaliyomtokea Lissu mimi naona ni laana kutokana na kejeli dharau na matusi aliyomfanyia Rais Magufuli siku za mwanzo za utawala wake.

Rais Magufuli ni mtu mwenye imani ya Mungu. Kwa wale wenye kumbukumbu siku za mwanzo utawala wa Magufuli kuna viongozi wa CHADEMA walionesha uhasama mkubwa kwa Magufuli wakiongozwa na Lissu. Walichukia na hawakuamini kushindwa uchaguzi japo kwa kila dalili CCM ilionekana wangeshinda. Inaelekea Lissu mwenye imani kubwa na mabeberu wa kizungu baada ya kuhakikishiwa na wao wangeshinda hakuamini kushindwa.

Hapa ninakumbusha kauli ya kejeli na dharau ya Tundu Lissu nje ya Mahakama Kisutu mbele ya waandishi wa habari aliposema kwa kejeli na dharau huku akivuta mdomo '...katika nchi hii haijawahi kutokea rais wa hovyo kama Magufuli' kisha akasema 'narudia tena' akarudia maneno yake. Binafsi nilisikitika na kumuonea huruma lLssu.

Hivi leo binafsi naona yaliyompata Lissu kama laana kutokana na kumkejeli na kumdharau pia kumtusi kiongozi na mtu mwema anayependwa sana na wananchi. Badala ya Lissu kuendelea kutumika na ubeberu na hadi viongozi wa vyama vya mashoga arudi na kuomba msamaha.

Viongozi nchini mashuhuri kama Kinana wameomba radhi baada ya kumkosea Rais Magufuli ndio itakuwa Lissu?
Kwa ni raisi asimuombe msamaha kwa kushindwa kumuua
 
Back
Top Bottom