Kofianyeupe
Member
- Mar 8, 2020
- 95
- 94
Hivi mnatumia akili za wapi. Au mungu amejaza usaha kwenye vichwa vyenu?Hii nchi ina wachawi wengi kuliko waganga.
Huyo lissu aliyejipendekeza kwa acacia na kupewa kibaru kuwatetea hao wezi ndio msafi? Alituambia makontena ya mchanga wa dhahabu ni mali ya acacia tukijaribu kuwazuia tutanyolewa kama taifa. Mwanasheria gani kama kweli mzalendo anatumiwa na kampuni za kibeberu kudhulumu taifa lake mabilioni.Ww sema tu vizuri kuwa huyo unayetaka aombwe msamaha na Lissu alishindwa kuvumilia mambo ya kisiasa, akaamua aagize kilichomkuta Lissu, usijifiche kwenye laana wakati kila kitu kiko wazi. Huyo Kinana ameomba msamaha maana sio msafi, hivyo hana jinsi zaidi ya kuomba msamaha wa kiini macho. Hata shetani aliwahi kumjaribu Yesu kwa kumwambia amsujudie ili ampe ufalme wa dunia hii, huo ufalme aliohitaji Kinana, Lissu hautaki.
Hiyo ya kusema kuwa eti Lissu anaunga mkono ushoga inaonekana ni propaganda mliyoitengeneza kisha mkaiamini wenyewe. Tunataka mtumie hizo propaganda wakati wa kampeni, ili tuweke hadharani ukatili mliyofanya toka viroba huko ufukweni, mpaka operation za lile kundi lenu la watu wasiojulikana. Hata hivyo huna sababu ya kujificha kwenye kichaka cha laana, wakati mnapeleka mswaada wa kutoshitakiwa kwa hayo mliyowafanyia kina Lissu.
Huyo lissu aliyejipendekeza kwa acacia na kupewa kibaru kuwatetea hao wezi ndio msafi? Alituambia makontena ya mchanga wa dhahabu ni mali ya acacia tukijaribu kuwazuia tutanyolewa kama taifa. Mwanasheria gani kama kweli mzalendo anatumiwa na kampuni za kibeberu kudhulumu taifa lake mabilioni.
Unasemaje kuwa ni laana kutoka kwa Mungu wakati Magufuli ndiye aliyeagiza apigwe risas unataka kusema kuwa Mungu ndiye alimuagiza Magufuli kumuua Lissu? Nataka kukuhakkkishia kuwa Mungu muumbaji wa mbingu na ardhi hana tabia hiyo. Labda kama unamuelezea Mungu mwingine.Mambo yaliyomtokea Lissu mimi naona ni laana kutokana na kejeli dharau na matusi aliyomfanyia Rais Magufuli siku za mwanzo za utawala wake.
Rais Magufuli ni mtu mwenye imani ya Mungu. Kwa wale wenye kumbukumbu siku za mwanzo utawala wa Magufuli kuna viongozi wa CHADEMA walionesha uhasama mkubwa kwa Magufuli wakiongozwa na Lissu. Walichukia na hawakuamini kushindwa uchaguzi japo kwa kila dalili CCM ilionekana wangeshinda. Inaelekea Lissu mwenye imani kubwa na mabeberu wa kizungu baada ya kuhakikishiwa na wao wangeshinda hakuamini kushindwa.
Hapa ninakumbusha kauli ya kejeli na dharau ya Tundu Lissu nje ya Mahakama Kisutu mbele ya waandishi wa habari aliposema kwa kejeli na dharau huku akivuta mdomo '...katika nchi hii haijawahi kutokea rais wa hovyo kama Magufuli' kisha akasema 'narudia tena' akarudia maneno yake. Binafsi nilisikitika na kumuonea huruma lLssu.
Hivi leo binafsi naona yaliyompata Lissu kama laana kutokana na kumkejeli na kumdharau pia kumtusi kiongozi na mtu mwema anayependwa sana na wananchi. Badala ya Lissu kuendelea kutumika na ubeberu na hadi viongozi wa vyama vya mashoga arudi na kuomba msamaha.
Viongozi nchini mashuhuri kama Kinana wameomba radhi baada ya kumkosea Rais Magufuli ndio itakuwa Lissu?
Dereva ametoroshwa lissu anataka kurudi akisindikizwa na maajent wa ubeberu eti akagombee urais. Ana wazimu.Hapo si ndio palikuwa pazuri kwa polisi kuchukua ushahidi? Hilo shambulio la lisu liko hivyo kama anavyolisema na anayemtaja. Cha muhimu ni kulazimisha hivyo vifungu vya sheria vya kutoshitakiwa, maana ndio msaada pekee kwa sasa.
Ujaweka namba ya simu upewe teuzi mbonaMambo yaliyomtokea Lissu mimi naona ni laana kutokana na kejeli dharau na matusi aliyomfanyia Rais Magufuli siku za mwanzo za utawala wake.
Rais Magufuli ni mtu mwenye imani ya Mungu. Kwa wale wenye kumbukumbu siku za mwanzo utawala wa Magufuli kuna viongozi wa CHADEMA walionesha uhasama mkubwa kwa Magufuli wakiongozwa na Lissu. Walichukia na hawakuamini kushindwa uchaguzi japo kwa kila dalili CCM ilionekana wangeshinda. Inaelekea Lissu mwenye imani kubwa na mabeberu wa kizungu baada ya kuhakikishiwa na wao wangeshinda hakuamini kushindwa.
Hapa ninakumbusha kauli ya kejeli na dharau ya Tundu Lissu nje ya Mahakama Kisutu mbele ya waandishi wa habari aliposema kwa kejeli na dharau huku akivuta mdomo '...katika nchi hii haijawahi kutokea rais wa hovyo kama Magufuli' kisha akasema 'narudia tena' akarudia maneno yake. Binafsi nilisikitika na kumuonea huruma lLssu.
Hivi leo binafsi naona yaliyompata Lissu kama laana kutokana na kumkejeli na kumdharau pia kumtusi kiongozi na mtu mwema anayependwa sana na wananchi. Badala ya Lissu kuendelea kutumika na ubeberu na hadi viongozi wa vyama vya mashoga arudi na kuomba msamaha.
Viongozi nchini mashuhuri kama Kinana wameomba radhi baada ya kumkosea Rais Magufuli ndio itakuwa Lissu?
Dereva ametoroshwa lissu anataka kurudi akisindikizwa na maajent wa ubeberu eti akagombee urais. Ana wazimu.
Takataka imeandika takatakaMambo yaliyomtokea Lissu mimi naona ni laana kutokana na kejeli dharau na matusi aliyomfanyia Rais Magufuli siku za mwanzo za utawala wake.
Rais Magufuli ni mtu mwenye imani ya Mungu. Kwa wale wenye kumbukumbu siku za mwanzo utawala wa Magufuli kuna viongozi wa CHADEMA walionesha uhasama mkubwa kwa Magufuli wakiongozwa na Lissu. Walichukia na hawakuamini kushindwa uchaguzi japo kwa kila dalili CCM ilionekana wangeshinda. Inaelekea Lissu mwenye imani kubwa na mabeberu wa kizungu baada ya kuhakikishiwa na wao wangeshinda hakuamini kushindwa.
Hapa ninakumbusha kauli ya kejeli na dharau ya Tundu Lissu nje ya Mahakama Kisutu mbele ya waandishi wa habari aliposema kwa kejeli na dharau huku akivuta mdomo '...katika nchi hii haijawahi kutokea rais wa hovyo kama Magufuli' kisha akasema 'narudia tena' akarudia maneno yake. Binafsi nilisikitika na kumuonea huruma lLssu.
Hivi leo binafsi naona yaliyompata Lissu kama laana kutokana na kumkejeli na kumdharau pia kumtusi kiongozi na mtu mwema anayependwa sana na wananchi. Badala ya Lissu kuendelea kutumika na ubeberu na hadi viongozi wa vyama vya mashoga arudi na kuomba msamaha.
Viongozi nchini mashuhuri kama Kinana wameomba radhi baada ya kumkosea Rais Magufuli ndio itakuwa Lissu?
Mambo yaliyomtokea Lissu mimi naona ni laana kutokana na kejeli dharau na matusi aliyomfanyia Rais Magufuli siku za mwanzo za utawala wake.

Nikuulize tu mambo machache?Lissu For Future and For now
Na bado! Laana itamwandama hadi kifo usicheze na mtu anayeamini Mungu kwelikweli.Ww sema tu vizuri kuwa huyo unayetaka aombwe msamaha na Lissu alishindwa kuvumilia mambo ya kisiasa, akaamua aagize kilichomkuta Lissu, usijifiche kwenye laana wakati kila kitu kiko wazi. Huyo Kinana ameomba msamaha maana sio msafi, hivyo hana jinsi zaidi ya kuomba msamaha wa kiini macho. Hata shetani aliwahi kumjaribu Yesu kwa kumwambia amsujudie ili ampe ufalme wa dunia hii, huo ufalme aliohitaji Kinana, Lissu hautaki.
Hiyo ya kusema kuwa eti Lissu anaunga mkono ushoga inaonekana ni propaganda mliyoitengeneza kisha mkaiamini wenyewe. Tunataka mtumie hizo propaganda wakati wa kampeni, ili tuweke hadharani ukatili mliyofanya toka viroba huko ufukweni, mpaka operation za lile kundi lenu la watu wasiojulikana. Hata hivyo huna sababu ya kujificha kwenye kichaka cha laana, wakati mnapeleka mswaada wa kutoshitakiwa kwa hayo mliyowafanyia kina Lissu.
Na bado! Laana itamwandama hadi kifo usicheze na mtu anayeamini Mungu kwelikweli.
Mambo yaliyomtokea Lissu mimi naona ni laana kutokana na kejeli dharau na matusi aliyomfanyia Rais Magufuli siku za mwanzo za utawala wake.
Rais Magufuli ni mtu mwenye imani ya Mungu. Kwa wale wenye kumbukumbu siku za mwanzo utawala wa Magufuli kuna viongozi wa CHADEMA walionesha uhasama mkubwa kwa Magufuli wakiongozwa na Lissu. Walichukia na hawakuamini kushindwa uchaguzi japo kwa kila dalili CCM ilionekana wangeshinda. Inaelekea Lissu mwenye imani kubwa na mabeberu wa kizungu baada ya kuhakikishiwa na wao wangeshinda hakuamini kushindwa.
Hapa ninakumbusha kauli ya kejeli na dharau ya Tundu Lissu nje ya Mahakama Kisutu mbele ya waandishi wa habari aliposema kwa kejeli na dharau huku akivuta mdomo '...katika nchi hii haijawahi kutokea rais wa hovyo kama Magufuli' kisha akasema 'narudia tena' akarudia maneno yake. Binafsi nilisikitika na kumuonea huruma lLssu.
Hivi leo binafsi naona yaliyompata Lissu kama laana kutokana na kumkejeli na kumdharau pia kumtusi kiongozi na mtu mwema anayependwa sana na wananchi. Badala ya Lissu kuendelea kutumika na ubeberu na hadi viongozi wa vyama vya mashoga arudi na kuomba msamaha.
Viongozi nchini mashuhuri kama Kinana wameomba radhi baada ya kumkosea Rais Magufuli ndio itakuwa Lissu?
Kwa ni raisi asimuombe msamaha kwa kushindwa kumuuaMambo yaliyomtokea Lissu mimi naona ni laana kutokana na kejeli dharau na matusi aliyomfanyia Rais Magufuli siku za mwanzo za utawala wake.