Lissu aombe radhi kwa kumkejeli Rais Magufuli

Tindo. kwenye issue ya ushoga hakuna anayemsingizia. Kasikilize Hard Talk. Iwapo kiingereza shida omba mtu akusaidie kukutafsiria.
 
Tindo. kwenye issue ya ushoga hakuna anayemsingizia. Kasikilize Hard Talk. Iwapo kiingereza shida omba mtu akusaidie kukutafsiria.

Narudia tena, hakuna mtu anayelazimishwa kuwa shoga bali ni nyege zake. Hadi tunavyozungumza hapa nchini wako mashoga kibao na tunawajua, je wameagizwa na kiongozi gani wawe mashoga? Hizo propaganda za kizee mtaenda kuwapelelea watu wa huko vijijini wasiojua lolote. Kama ccm ndio wamepanga hii kuwa silaha yao, basi safari hii mtaucheza mziki bila nguo.
 
Sasa umeanza kututukania kamanda wetu.
Tangu lini Lissu akawa CCM?
 
Hapo si ndio palikuwa pazuri kwa polisi kuchukua ushahidi? Hilo shambulio la lisu liko hivyo kama anavyolisema na anayemtaja. Cha muhimu ni kulazimisha hivyo vifungu vya sheria vya kutoshitakiwa, maana ndio msaada pekee kwa sasa.
Lissu na dereva wake ni mashahidi wakuu. Kwa nini hawataki kuja? Kwa nini dereva wa Lissu aliona gari linalowafuatilia tokea bungeni lakini hakusema?
 

VICHEKESHO WATU WANAKUPIGA RISASI HALAFU WANASEMA UNA LAANA. LAANA INATOLEWA NA SERIKALI!!. kAMA YAMEFANYIKA MENGI BASI WAGOMBEA WAJADILI HOJA WAZI NA KWA UHURU. Manufaa ni nchi haya mambo ya kuombana misamaha kila siku leo kinana, kesho yule. Aliyetaka kuuliwa mwenyewe kasema hata lipiza kisasi. uongozi ni mpito hata Magu ataondoka na watakuja wengine
 
Magu ndiye aombe samahani kwa kutaka kumuua mwenzie, hata kama alimtusi, sheria zetu hazisemi anaye mtukana rais apigwe risasi hadi afe.
 
Mathayo 6:5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna Mungu atae sikiliza unafiki na ushoga unaoongea uyo Mungu atakuwa incomplete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…