Minya Zero mara tatu.Hawakumuengua lowasa iwe lisu,hivi kupata kichekesho hiki unaminya ngapi vile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Minya Zero mara tatu.Hawakumuengua lowasa iwe lisu,hivi kupata kichekesho hiki unaminya ngapi vile.
Ametoa ahadi wapi wakati kila siku hapa mnatunanga eti mgombea wetu anaelezea risasi tu hasemo sera na atawafanyia ni i watanzani??Ukitafuta wadhamini unatakiwa kuhutubia Mkutano wa hadhara na kutoa ahadi
Yaani mwaka huu kuna kuna Bundi huko CCM. Wagombea wao hadi sasa hawajui hatima yao. Na muda unazidi kuyoyoma. Hii hali ilikuwa ikiwakuta wapinzani miaka ya nyuma. This time kibao kimebadilika.
Sema ujasiri wa watanzania upo kwenye keyboard.Wajaribu, wathubutu, tutawafundisha adabu, watajuta!
Wewe una akili timamu kweli?Huyu jamaa anashida kichwani maana alituambia Magu ameanza kutoa rushwa mapema leo anasemaje
Hata hivyo tuko pazuri mno.Sema ujasiri wa watanzania upo kwenye keyboard.
Tanzania ingekuwa na watu jasiri serious kama John Heche, Tundu Lisu. HALIMA MDEE , John Mnyika na wengine kama hao angalau 1000, utawala wa kimabavu wa ccm ungeshafika kikomo miaka 10 iliyopita.
Nchi hii ujinga umetamalaki, raia hawajui haki zao za msingi na wanaojaribu kuwaelimisha kuhusu haki zao wanaonekana wasaliti.
Serikali ikitimiza wajibu wake kama kujenga barabara na miundombinu mingine , wananchi wengi kutokana na ujinga wao wanahisi wanafanyiwa upendeleo.
Baadhi ya watanzania ni sawa na mtu ambaye anatoa hela kwenye ATM halafu anaishukuru ATM kwa kumpa pesa ambazo ni zake.
Mkuu naona umepiga msumari kuliko! Tusubiri jibu.Na iweje bodi ya mikopo ya elimu ya juu tanzania kuanza kupokea pesa za wahitaji kabla ya matokeo? au ufaulu ni lazima kwa wote? ila tofauti ni vigezo vinginevyo? kunako hasi , chanya haikosekani!!
Mkuu najua unajua ulichokiandika siyo sahihi. Chama chako kikikupitisha na NEC (tume ya taifa ya uchaguzi) ikawa haijakupitisha bado, hapo wewe hata ukiongea unaongea na wanachama wako tu. Ndiyo maana sheria inamtambua mtu kuwa ni mgombea pale tu akishateuliwa na NEC. Tarehe ya uteuzi ni tarehe 25 August. Kama kwa mfano kampeni zingekua zimepangwa kuanza tr 1 September, mtu ambaye ameshateuliwa na tume akianza kampeni kabla ya tr 1 September atakua ameanza kampeni kabla.Sheria ilimaanisha baada ya kuteuliwa na chama chako usianze kampeni kabla Tume haijakupitisha.Lissu anacheza na akili zenu ambazo siku zote hazitaki kufikiri.
Mkuu mbna wewe umeshatufokea? Baada ya hapo tuambie wapi amekosa hekima?Yaani kumchagua lisu tumepotea sana wanachadema
Lisu ana akili nyingi sana lakini hana hekima kabisa
..afadhali ya nyarandu mara mia kuliko lisu
Naomba msinifokee maoni yangu tu..
Hiki chaka kimejaa watu wa hovyo balaaPale shujaa lissu anapowapa masisiemu somo, tatizo ni wengi mazezeta hivyo somo halitawaingia mapema, maana kichwani wamejaa topeView attachment 1536749
Puguza upayukaji, wote walielezea malengo yao baada ya kuchukua fomu, wapo walioahidi ubwabwa, hata jpm alisema ya kwakeYeye ametuma maombi tume ya kugombea kiti cha urais, anaanzaje kuwaambia wananchi kwamba akiingia ikulu, huyu ni sawa na mwanafunzi kafanya mtihani wa kumaliza form six anapokuwa anasubiri matokeo, hawezi tena kuanza kuomba kujaza form za kujiunga chuo kikuu. Lazima asubiri matokeo na ajue kama ame pass au la. Lissu anapata wapi uthibitisho kama tume imempitisha?
Chadema siku zote tunawaambia mnaendeshwa na mihemko, hamuwezi kuchanga za kuambiwa na zenu. Halafu mtasema tume imewaonea wakati mmeyafanya weneywe tena mmeanza kutoa ahadi, maana yake mnanadi ilani kabla ya kipenga. Tupa kule wajinga hawa
Again nakuambia, kukutana na watu siyo lazima uhutubie Mkutano wa hadhara.Ukifuatilia mikutano ya Lissu haina tofauti na kampeni anasimama kila eneo anahutubia siyo kwenye Ofisi za chama pekee.Ndio maana anahutubia kwenye ofsi za chama tu. Na analifahamu hilo. Sasa kupata wadhamini miambili wenye kadi kila mkoa unadhani hao unakutana nao wapi?? Kuna wenye kadi na wasio na kadi wote watakufata.
Nyie si mmefanya mambo mazuri kwa watanzania?? Sasa woga wa nini?
Siyo wewe unayeweweseka kweli?Lissu aache kuweweseka!
Umenikumbusha! Ila, MKATA UMEME alikuwa ni Lubuva, tofauti na wa sasa, ambaye hafichi UKADA wake kwa CCM!Hawakumuengua lowasa iwe lisu,hivi kupata kichekesho hiki unaminya ngapi vile.
Ni wivu tu. Watu wanamfata fata. Na ndio maana akisimamishwa barabarani hafanyi mkutano anawasalimia tu. Akifika ofisi ya chama ndio anaongea na wananchi kuhusu vidonda na operesheni zake ambazo nyie mnaponda.Again nakuambia, kukutana na watu siyo lazima uhutubie Mkutano wa hadhara.Ukifuatilia mikutano ya Lissu haina tofauti na kampeni anasimama kila eneo anahutubia siyo kwenye Ofisi za chama pekee.
Yes tumetekeleza na hatuna uoga wowote na maigizo yananyofanywa. Nyinyi mnasema kila siku mnamuhitaji huyu bwana ili asimamie utawala sheria lakini cha ajabu ameanza kuzivunja hizo sheria kabla hata hajaanza kuzisimamia.
Yani unavyoongea Kama unazijua sheria za uchaguzi? , Sio kutujazia saver tu hapaAgain nakuambia, kukutana na watu siyo lazima uhutubie Mkutano wa hadhara.Ukifuatilia mikutano ya Lissu haina tofauti na kampeni anasimama kila eneo anahutubia siyo kwenye Ofisi za chama pekee.
Yes tumetekeleza na hatuna uoga wowote na maigizo yananyofanywa. Nyinyi mnasema kila siku mnamuhitaji huyu bwana ili asimamie utawala sheria lakini cha ajabu ameanza kuzivunja hizo sheria kabla hata hajaanza kuzisimamia.