Lissu aonyeshe Uongozi katika suala la akina Halima Mdee na Wenzake,aachane na hayo mambo yake

Lissu hajawahi kuwa kiongozi mzuri, I hope he proves me wrong!!
 
Wapokelewe lakini wasipewe nafasi yoyote katika uchaguzi huu
 
Mdee na nyie wenzake ingekua TALIBAN'S mgepigwa chuma TU. Snitch wote 18.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Wachukue uwapeleke kwenye chama chako.
 
Mleta mada ana hoja ya msingi, kipindi hiki ikibidi hata kuungana na shetani ni kuungana naye ili kupamabana na adui. Wakina mdee bado wana ushawishi mkubwa sana hilo halipingiki, Ila tuachie muda ndio utakao ongea.
 
Watu wa mihemko hawawezi kukuelewa ila ukweli unayo hoja, hizi nyakati sio za kutengeneza adui bali ni za kubembelea asui arudi muungane ili kumoiga adui mwingine, na hao covid 19 watu tunasahau ubabe wa Magu kwenye kununua wapinzani hata kwa vitisho.

Esta Bulaya bado anaweza vutia watu wengi sana pale Bunda kumbuka ana wafuasi wake wa damu na anawasapoti pia hadi leo na kesho.

Na hakuna hata siku moja wame ikashifu CDM, michanho yao Bungeni mara zote iko against.
 
Siyo tu kwamba anapungukiwa hizo hekima na busara, ukweli ni kwamba hana tu kabisa. Mtu mwenye hekima na busara anajua nini cha kuongea, na wapi aongee nini. Hawezi kuwa mropokaji.
Ukitakaje kwa ajili ya hawo wasaliti wa chama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…