Uchaguzi 2020 Lissu apokelewa Tarime kwa kishindo

Nyie si ndio kuwa mnalilia kuhusu malimbikizo ya stahiki zenu za miaka nenda rudi kuto kulipwa? Wengine kilio kutopandishwa madaraja? Yote hayo yamefanyika hamsemi hamuoni ila mnaona kutopandisha mishahara. Je mfumuko wa bei Tanzania umeongezeka kwa kiwango gani? Ukilinganisha na mishahara isiyoongezwa?
 
Huku roho inakuuma[emoji23][emoji1787]
Ungejua hata punje tu siumii hata usinge sema.. lissu mi namkubali Kama mtu anaeweza kuleta hoja na kuzitetea tatizo uwasilishaji wake!.. anawasilisha Kama anachamba na mihemko!!.. anafit kuwa Challenger ila sioni kufit Kama kiongozi..
 
Yaleyaleee
 
Lissu ni kama Yesu alivyopokelewa kwa shangwe akiingia Jerusalem. Kweli Lissu tulikumiss sana. Usisite kufika Mbeya, Kyela, Vwawa na Tunduma.
Huko tutakuja kwenye kampeni mkuu. Yani ni balaa watu wamechoka kudadadeki. Magufuli umewafanya nini watanzania?
 
Pamoja na mbinu za wajumbe kupiga Kura sitini bado wakati huu watachemka madudu no mengi mno.
 
Kuna mtu kakataza walinzi wake wasimuonyeshe hizi picha, zinamuuma kichizi.
 
Walikuwa wanaongea mpaka wanarusha mate, eti oooh Chadema imekufa naona sasa wanaona aibu
 
Kuna mtu kakataza walinzi wake wasimuonyeshe hizi picha, zinamuuma kichizi.
Zinamuuma Nini ss wakati huyo mtetezi wenu wa mashoga na mabeberu anayepitakwenye hizo barabara ndio nafsi yake Kama bado inauhai itakuwa inamsuta saana! Vinginevyo ni liroboti lililokuwa 'programmed' kupinga Kila kitu! Ni aibu kwa mwenye akili timamu hata kushiriana na mpuuzi huyu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…